
DStv is pleased to announce that SuperSport has secured all Premier League live rights for the remainder of the 2008/2009 season and for the whole of next season. MultiChoice will offer discounted DStv decoders to former GTV subscribers wishing to view these Barclays Premier League matches.
Please note that our Special offer to ex GTV subscribers is Tshs 119,000 for Single view Decoder, smart card and repoint/ realignment of dish. DStv is happy to announce its sales promotion with price special offer TShs 199,000/- fully installedfor DStv single view decoder.
Below are monthly fee breakdowns:- ·
DStv premium bouquet with over 65 great TV channels for $ 74 per month ·
DStv Compact bouquet with over 34 great TV channels for $ 25 per month ·
DStv family bouquet with over 25 great TV channels for $ 19 per month. ·
DStv Easy View bouquet with over 10 great TV channels for Tshs 36,000/= per year.
You can pay your monthly subscription fee in Tshs as well depending on the dollar exchange rate which is 1330/=.
Please contact me directly if you require more clarifications.
Good day.
Regards,
Technovision Electronics
(0752/0787 262909)
DStv Accredited Installer
Call us for more details


Hoja yangu bwana Michuzi ni kwamba ni kwa nini, hadi leo hii hao Multi choice na wengine wanaquote prices kwa dolar? kwani shilingi yetu ina nini? usimamizi wa hivi vyombo uko wapi jamani? halafu anasema kuwa 'itadepend' na exchange rate na huku ameshasema ya kwake ya 1330. wizi mtupu!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHuu ni wizi wa mchana kweupe!!!
yaani nchi ya kiafrika mnauziwa direct TV kwa bei (package) hizo hata siamini duh!..
Jamani Tanzania ni bahari ya fedha au macho yangu....
rip off
ReplyDeletemsije mkatuambia mumekamatwa na CREDIT CRUNCH kama wala jamaa wananihii...
ReplyDeleteDuuuuh!!!Na haya Makarai ya GTV??? Na ivi Ving'amuzii??? Au yatakuwa chuma chakavu... Mm ni mteja wa DSTV lkn naendelea kusisitiza...
ReplyDeleteUshauri kwa Baraka Shelukindo na uongozi mzima wa MULTICHOICE TANZANIA... Gharama za DSTV [PREMIUM)zipo juu saana hali halisi ya Mtanzania mwenye kwenda kazini kuanzia J3 hadi Ijumaa saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni!!!... Mfano nakaa Kijitonyama na ninafanya kazi mjini...Natoka nyumbani saa 12 na nusu alfajiri narudi saa 1 jioni muda huo nitaangalia habari ktk TBC 1 TV hadi saa 3 kisha nitaangalia Movie hadi saa 5 halafu naenda kulala kwa hiyo natumia masaa matano tuu kuangalia DSTV kwa cku ...pamoja na familia yangu ukizingatia familia yangu ina watoto wa shule kwa hiyo nime-wazuia kabisa kuangalia TV hadi weekend tena nawapa muda wa masaa mawili tu jioni kwa hiyo roughly kwa wiki natumia Masaa 43 kati ya 168 ambayo wanani-charge!!!! hapo nimewahi nyumbani sijapita ktkt Pub/Bar/Container/Stoo/Grocery etc... sijaenda kusalimia ndg. jamaa na marafiki Mgawo wa Umeme,Foleni ya Magari etc. kwanini msianzishe utaratibu wa kama wa TANESCO au DAWASCO??? Unalipia kile unachotumia LUKU au Meter???? Yaani...
WAY FORWARD....
Kuanzia Feb mwaka huu silipii tena hadi mimi au mke wangu...Niwe/awe likizo!!!! Dish litabaki kama Prestige/Pambo/White Elephant/Status etc. juu ya nyumba yangu.
Mdau Mpenda Keroro.
Uongozi wa Multichoice chukueni hatua... Pamoja na GTV kutangaza kufilisika i will remain ur loyal customer But!!!! please please!!
Evaton kumbe noma ana
ReplyDeleteUle msemo wa 'the curse from Sir Alex' unaanza kumwandama kocha wa Liverpool, baada ya Liverpool FC kutolewa nje ya kombe la FA na kupoteza ndoto ya kusonga mbele na kubeba mojawapo ya makombe maarufu ya kandanda hapa Uingereza.
ReplyDeleteKatika dakika ya 118 Everton ilijipatia bao la ushindi dhini ya timu ya Liverpool iliyokuwa inaonyesha matumaini ya kufanya vizuri ktk msimu huu wa soka la hapa Uingereza.
Bao la Everton lilifungwa kiufundi na kijana asiye na jina mwenye umri wa miaka 19 kwa jina Dan Gosling. Pia mchezaji wa Liverpool Lucas alilambishwa kadi nyekundu ktk dakika ya 71 na Liverpool kucheza kwa dakika 50 wakiwa na wachezaji kumi tu.
Kushindwa kwa Liverpool leo ni kama lipizo kwa Ushindi wa bao moja dhini ya Everton wiki iiyopita ktk mechi ya premier league.
Gerard na Torres walionekana wakichechemea kwa maumivu na kubadilishwa kabla ya dakika 90 za mwanzo kuisha. Kutokana na hayo kuna wasiwasi mkubwa kwa vile kocha wa Liverpol alimuuza mshambuliaji Robbie Keane siku chache zilizopita kwa Tottenham.
Mi inaniuma sana hivi ni kwanini hizo bei zao ziwe kwa dola?????mi naomba bei zao ziwe fixed kama ni 90,000 TSH kwa premium iwe hiyoyo sio mara dola ikipanda basi na bei inabadilika Depending na exchange rate ya doller.HII SIO FARE KABISA.
ReplyDeletePILI mko juu sana,yaani bei zenu ziko juu punguzeni angalau kidogo ili wengi wafaidike.
Mimi ni muhanga wa GTV kuna vitu vinavyozidi kunishangaza hapa TZ
ReplyDelete1.Watu wanapenda faida kupitiliza.GTV na DSTV wanatumia Same decoders.hakukuwa na haja ya kucharge decorder mpya .sana sana wangecharge card tu badala ya madude yote
2.naungana na wadau wengine.channell wanazooffer ni nyingi sana ambazo i'm watu huwa wala hawaangalii.wangezigroup kitofauti na kucharge less ingesaidia.wengine hatuna muda wa kuangalia channell zote.kwangu naona ni WIZI wa mchana tu
Huo ndio utandawazi bwana.Kama hakuna competitors wa nguvu kupambana na DSTV,basi DSTV ataendelea kututesa anavyotaka.Ila Gharama ziko juu sana si mchezo.MULTICHOICE msiwe wababe mlifanyie kazi ili suala.Ukienda kulipia pale DSTV,say Dar offices,karibu watu wote wanafanana na 'fweza'.Yaani wanaonekana kabisaaa ni watu wenye uwezo,tofauti na kwenye foleni za umeme wa LUKU.
ReplyDeletehahahhahahaa
ReplyDeleteBaba Erick nimekukubali, vipi watoto hawajambo? ndo unataka kufidia loss uliyopata kutoka kwa waingereza GTV?
Lakini ulitumia akili sana kutokutanga tanga, muone mwenzio fadhili anavyo haha
Big up FK
ni ukweli usiofichika kuwa gharama za gtv ni kubwa mno kulinganisha na maisha halisi ya mtanzania kwa sasa!yaani ni wizi mtupu..hali halisi ya maisha haituruhusu kuangalia tv kwa muda mrefu na upatapo hiyo nafasi pia kuna program maalum pia ambazo utapendelea kuangalie labda mpira,movies etc..na wao (dstv) kwa kulitambua hilo wamejitahidi kuvitenganisha hivyo vitu na kuviweka katika package ambazo ni kubwa ktk malipo! nadhani mamlaka husika inabidi iamke na kuliangalia hili vinginevyo watanzania tutaendelea kukamuliwa bila mtetezi..vinginevyo basi waanzishe package nyingine maalumu kwa week ends tuu yaani ijumaa,jumamosi na jumapili then wanakata hadi wiki inayofuata...otherwise ni wizi mtupu
ReplyDeleteKatika hili lazima niseme ukweli kwamba DSTV you are not being sensible in your marketing!Mtanzania gani wa kawaida ata afford premium ya $74 per month?Na kwa muda gani atakao angalia hizo mechi katika kila siku?Hana kazi nyingine za kufanya?Au mnataka Dstv iwe kwa mafisadi tu na wauza unga?Au mishahara yetu mnajifanya hamuijui?Kuangalia Dstv siyo kuxury jamani.Kila mtu siku hizi anataka maisha bora zaidi.Kama siyo yeye mwenyewe basi kwa watoto wake ili wasije wakawa mazumbukuku kama walivyo ingizwa mkenge wazazi wao na ma Doctors in Parasitology(PhDeez-Harvard?).Tafadhalini jamani,kama ni huo utajiri basi hautafutwi hivyo.Mbona watanzania mnatugueza mataahira kiasi hicho?Au kwa sababu hatuna mtetezi?Gharama za simu za mkononi, its one of the highest in the world,why?gharama za internet balaa,per hour ni kichaa,tofauti kabisa na nchi zingine duniani!Lini mtu atajenga uwezo wa ku save pesa zake? Tunaomba gharama zenu kwanza zizingatie uwezo kimapato wa wateja wenu,pili,kwamba kila mtu angependa kuwa na Dstv nyumbani kwake,tatu,muda wa masaa machache sana kwa siku ambao mtu atakuwa kamaliza kazi zake na yuko huru kuangalia Dstv,nne,siyo wote watakao jiunga na Dstv watafanya biashara ya kuonesha wengine mechi za mpira kwa malipo,tano,tariff zenu ziwe customer-friendly.Na hapa ninge propose kwamba tariff iwe wastani wa kati ya $15 hadi $25 kwa single view decoders,sita,please Dstv,think of the long-term benefits in revenues and not just one or two seasons.Treat us fairly just like any other global customers in all the continents,please,for god sake watu sasa wako macho jamani!heeee!Hakuna tatizo mkitoza kwa Dola ya Marekani au kulingana na prevailing exchange rate.Nani asiyejua kwamba uchumi wa Tanzania bado "Nyanya?".Ma shillingi utayapeleka wapi nchi za nje?Kwa noti yako ya shs.elfu kumi hata chewing gum huwezi kupata nchi za ulaya!nani atataka noti yako ya tanzania,akanunulie nini?Ni hilo tu wakuu.
ReplyDeleteWHAT A RIP OFF!!! DSTV SHOULD BE ASHAMED OF ITSELF TAKING ADVANTAGE OF THE CITIZENS FROM THE POOREST COUNTRY IN THE WORLD WHICH IS TANZANIA. HERE IN UK WE GET 500 CHANNELS A MONTH FOR $20.
ReplyDeleteNimesoma maoni ya wachangiaji wengine hapo juu - nimeguswa sana, nikiwa m1 wa wahanga wa GTV. Nashauri tuanzishe mjadala wa kujadili hizo price tunazo-chajiwa kwa ajili ya kulipia hiyo TV si sawa na kipato cha mwananchi wa ki-tanzania wa kawaida, mwenye pato la US $ 744 kwa mwaka:
ReplyDeleteZingatia kuwa watanzania wengi pato lao kwa mwaka ni chini ya US $ 744 kwa mwaka. Hii ikiwa na maana kuwa kwa mwezi ni sawa na $ 62: (US $ 744/12 = US $ 62 kwa mwezi), wakati hao DSTV wanachaji US $ 74 kwa mwezi??!!! (katika hiyo $62 kwa mwezi – hujapiga pamba, hujahonga, hujapombeka – nk: Huu ni wizi wa macho – macho, na watanzania inabidi tufumbuke macho - TUAMKE, na sio kuwa-aachia hawa wawekezaji uchwara kuja kutonyonya. Inatakiwa bei zao zizingatie pato halisi la mtanzania. Nahitaji kufanya ‘economic analysis katika hili, lakini kwanza nataafuta data kutoka sehemu mbalimbali dunia: Nataka tuanzishe mjadala katika hili, may be, may be hawa jamaa wanaweza kusikiliza kilio chetu. Otherwise, wanataka DSTV iwe ya mafisadi wa EPA?? HAIWEZEKANI - ¡!!! Hii ni nchi yetu wote…..!!!
Nahitaji kujua:
i). Pay TV katika nchi zingine (eg. UK, USA, SWEDEN, DENmark, Holand, Japan, China, na kwingineko wanachaji vipi gharama zao na kiasi gani ‘in US $ ?!
ii) Na wanachaji kwa staili ipi - staili ipi?!!!, Je ni kama LUKU za tanesco au fixed kama ya DSTV –so much less”
wadau tushirikiane katika hili.
CHONDE CHONDE MISUPU – weka huu mjadala tuweze kuusikiliza maoni ya watu wengine.
Hii DSTV ni kwa mafisadi tu, haipo hapo kwa kuwasaidia watanzania wa kipato cha chini. Kwanza wanachaji kwa dola, ni watanzania wangapi hata hiyo dola hawajawahi kuiona.
ReplyDeleteHalafu ni ghali sana, hapa UK tunalipa hiyo Premium ni £45 pm Sky (Unaona channels 200+ movies, soccer, pono, etc)inashuka kwa channels kupungua mpaka £18pm hayo madish, decoder zote zinatolewa bure. Bado kampuni nyingine zina offer zao za chini zaidi ya hapo, mfano ukijiunga miezi 3 ya mwanzo bure ama half price. Sasa hapo TZ ni wizi mtupu, chanels 65 tu ni $74 sawa na roughly £37. Sio fair hata kidogo kulingana na uchumi huo. Hawa ni sawa na wauza mafuta, too greedy!!!
itakufa baada ya muda si mrefu, baada ya kuendesha kwa hasara, kama wanawateja basi huko osterbay ambao ni wachache zidhani watazalisha pesa yakuwalipa mishahara yao let alone to run the whole thing.
ReplyDeletekwani hapo bongo hakuna wataalam wa mitambo, ili kuwakomesha hao dstv.
ReplyDeletehttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Dish_Network_channels
ReplyDeletewww.directv.com
www.dishnetwork.com
watanganyika angalieni hizo site mtashangaa jinsi tunavyoibiwa kulinganisha na kipato chetu.
kwanza vifaa vyote na installation ni bure, pia miezi 3 ya mwanzo bure
Kuna Kitengo TCRA www.tcra.go.tz cha kushughulikia malalamiko yenu yote mnayongelea hapa.
ReplyDeleteTumieni furasa hio kuliko kupiga domo huku kwenye mitandao.
Andika barua kwa CCC ya TCRA. mambo yatashughulikiwa.
Lets keep the Debate Going Oooooon please!Watanzania mlioko huko nchi za nje hebu tuelezeni huko kwenu taratibu za maDISH zikoje?Wengine wamesha anza kutueleza.Thank you very much for that.Others should also do the same.Jamani tutakufa.Watanzania tumegeuzwa Majinga kupindukia.Ustaarabu wetu utatuponza.Wakimya wageni wanadhani tu wajinga sana.Everybody will be faccing us!Dstv tunaipenda sana.Lakini pawepo na Fair Play.Kama katika nchi zingine taratibu ziko vile vipi sisi hapa tugeuzwe wajinga kiasi hicho?Utamu wa biashara ya TV channeling ni kuwa na wateja wengi sana iwezekanavyo.Hata Makampuni yanayo lipia Matangazo yao ya Biashara yakijua kwamba uteja wa Dstv Tanzania ni mkubwa hata wao watapata biashara kubwa zaidi.Tatizo liko wapi?The problem is "we have a very inept government leadership".Impotent to say the least! Eti kuna CCC ya TCRA!WALIKUWA WAPI SIKU ZOTE HIZO?
ReplyDeletepremium kwa uk £45.25 per month kwa rate ya leo $67. Na hii package unaangalia kutumia sky HD (rangi ya ukweli). all sports, na variety pack. pamoja na spanish league. Na hii bei ni kubwa kwa ajili mechi zinachezwa hapa, mishahara ya wafanyakazi ni bei mbaya. kwa mfano ligi ya italia tunaona kwenye TV za kawaida tu.
ReplyDeletehalafu hiyo package kuna vitu kibao kama broadband free ukiwa na simu yao ya ndani.
roho inaniuma sana kila mfanyabiashara sijui anaambiwa TZ ni kichwa cha mlevi au vipi....
bado kuna tv zingine kama virgin media, sentanta ambazo ni rahisi zaidi.
pay per view ni bei mbaya , luku ni bei mbaya hata uk ukiamua mechi moja wanakula. sema unaweza ukachagua channels gani unataka ziwe kwenye package yako
ReplyDelete