marehemu mwalimu musa yohana tuguta


Ndugu Wanajumuia,


Kwa niaba ya mwanajumuia mwenzetu Fadhili Tuguta.Ambaye amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mwalimu Musa Yohana Tuguta,Jitihada zinafanyika ili kusafilisha mwili wa Marehemu nyumbani kwa mazishi.

Ili kufanikisha hilo Kutakuwa na harambee Siku ya Jumapili Tarehe 15/Feb/2009 Saa Kumi jioni Mahali ni SAFARI HALL Address ni


9651 Bissonnet,


Houston,


Tx 77036.

Msaada wako wa hali na mali unaitajika mwanajumuiya.




Mfiwa anapatikana katika Address hii


14515 Briar Forest Apt 1822,


Houston,


TX ,


77077


na simu ni 713-2591211.




Mfiwa kwa sasa yupo Dallas ambapo marehemu alikuwa amelazwa mpaka kifo kilipomfika,atakuwepo hapa Houston kuanzia Ijumaa hivyo tufike kumfariji katika kipindi hiki kigumu sana kwake.




Pia kuwakuwa na kuudwa kwa kamati itakayosimamia suala zima la msiba huu hivyo tujitokeze hiyo Ijumaa jioni saa Moja.




Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na wafuatao:-


Fadhili Tuguta 713-259-12112


Daudi Mayocha 832-641-03553-


Lulu Rajabu 832-723-99424


Manzi Ulimwengu 281-935-92075


Simon Makangula 713-384-0255




Kama Ilivyo ada wakina Baba/kaka Vinywaji na Wakina Mama/dada Chakula
Makangula Simon
Tanzania Houston Community

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...