Kamanda wa mkoa maalumu wa Kipolis wa Dar es Salaam Afande Suleiman Kova akipokea traksuti 22 alizokabidhiwa na meneja wa masoko na uhusiano wa kampuni ya Bayport Hamidu Bisanga ikiwa ni msaada wa kampuni hiyo kwa timu ya polsi inayoshiriki michuano ya klabu bingwa netiboli kwa nchi za afrika mashariki na ya kati huko zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. TATIZO LA SLAA NA MWENZAKE LINAHITAJI UCHUNGUZI WA KINA KULIKO UNAOUFANYA KWENYE JEZI HIZO. MVINYO UMETELEKEZWA WAPI? MBONA KWA MKEMIA HAUJAFIKA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...