Marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa pamoija na Rais Jakaya Kikwete wakiwa wamejumuika pamoja katika sherehe za kumpongeza Polycarp Kadinali Pengo kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu zilizofanyika katika viwanja vya Msimbazi centre, jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Muadhama Kardinali Polycarp Pengo, Askofu Mkuu jimbo katoliki Dar es Salaam, akimkaribisha JK usiku kuamkia leo kwenye viwanja vya Msimbazi Centre katika sherehe za maadhimisho ya miaka 25 ya Uaskofu wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. MUNGU AKUPE AFYA NJEMA BABA ASKOFU MUNGU AKUONGEZEE MAISHA MAREFU KWANI BADO TUNAKUHITAJI

    OMBI LANGU MTUMISHI WA MUNGU TUZIDI KUWAOMBEA WENZETU WANAOTAKA NDOA ZA JINSIA MOJA KWANI HILO SIO AGIZO LA MUNGU


    WOTE TUSEME AMEEEEEEEEEEEEEEEENI

    ReplyDelete
  2. Dear Holiness archbishop Pengo, I wish you all the best in your pastoral activities, may God be grant you many more years.

    ReplyDelete
  3. hon. muadhama;

    hiyo ilikuwa fursa nzuri sana kuwakumbusha hao rafiki zako kuwa taifa liaenda mrama,ufisadi umekithiri na hali za watu ni mbaya.

    kama umelitekeleza hilo basi thumbs up.

    shukran

    ReplyDelete
  4. MUNGU KATUAMBIA TUJE TUZAANE TUUJAZE ULIMWENGU SASA WOTE TUKIWA KAMA HAWA MAASKOFU KUTAKUWA NA WATU DUNIA KWELI.

    DAH KWELI JAMAA AMEWEZA KUISHI MIAKA 25 BILA TENDO LA NDOA.HIKI KITU SIAMINI.

    KWA MWANAUME KAMILI HAIWEZEKANI .UKIKOSA MWANAMKE HATA TOILET NA SABUNI.

    HAPA WIZI MTUPU

    ReplyDelete
  5. Muhadhama Cardinali tunakutakia afya njema, maisha marefu na uchaji wa Mungu ili urndelee kulitumikia taifa hili. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki ili uendelee kukemea Maovu katika nchi hii. Hapo kwenye hii picha ni matumaini yangu kuwa ulikuwa unamwambia JK kuwa waumini wako tunakerwa sana na haka kamdudu UFISADI In the name of the Father, Son and the Holy Spirit.Amen

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  6. tanzania haina dini? sasa mbona sherehe za kidini zinahusisha viongozi wa nchi? nilidhani watanzania tunasisitiza dini na siasa kwenda njia tafauti!!!!

    ReplyDelete
  7. Mungu ibariki Afrika, mungu ibariki Tz.
    Wabariki viongozi wetu wawe na upendo kwa raia na pia waweze kulitumikia taifa letu kwa umoja.
    Nakupongeza baba Askofu(Pengo) mungu akubariki.
    Ameeeeeeni.

    ReplyDelete
  8. BABA ASKOFU KWAKWELI NAWAPONGEZA SANA WOTE WATANZANIA KWA KUKUWEZESHA KUKUFIKISHA MIAKA 25 YA UASIKOFU WAKO UTULIVU WA NCHI YETU NDIO UMEWEZA KUTUFIKISHA HAPO HII NIDHAHIRI YA POZI YA WIONGOZI ULIOPIGA NAO PICHA KWAKWELI NIMEMISS SANA HALFA HII UKIZINGATIA NIPO MBALI NA NCHI YETU TANZANIA MUNGU IBARIKI TANZANIA NAWATU WAKE NAUMOJA TULIONAO.
    AMINA
    R Y

    ReplyDelete
  9. WEWE UNAYEJIITA DIDDY,
    WOTE MNGEBAKI BILA KUOA INGEKUWAJE, UNAULIZA SWALI AMBALO HALIPO? NDIYO MAANA WOTE HAMJABAKI BILA KUOA, JIBU LAKO.
    PILI, KUOA AU KUTOOA SIYO ISSUE. WANGAPI WANAOA NA WANAKWENDA NJE YA NDOA, IWE WACHUNGAJI WALIOOA KANISANI. JE, UTANIAMBIA KUOA AU KUTOOA NDIYO KUTATUFIKISHA MBINGUNI AU KUTUPA USAFI WA MOYO? MBELE ZA MUNGU HATUKUBALIKI KWA KUOA AU KUTOOA. KUTOOA NI UAMUZI WA MTU BINAFSI KULINGANA NA MAFUNDISHO YA MT. PAULO.
    WAPO WANAOOA MAKANISANI MWAO, NA WANAO WANAWAKE MTAANI, WENGINE WANAJIHUSISHA NA KUUZA VIUNGO VYA ALBINO, WAKATI WAMEOA, JE KUOA NDILO SULUHISHO? LA HASA, NI USAFI WA MOYO WA MTEULE WA MUNGU..... ELIMIKA, NA ANGALIA USIMNYOOSHEE KIDOLE MWENZAKO....

    ReplyDelete
  10. aleluya,Mungu akuzidishie wingi wa uhai na utele na huduma njema ya kusaidia watu NA KUWAKUMBUSHA AO ULIONAO HAPO VIONGOZI TZ KUNA UFISADI WA HALI YA JUU NA UPENDELEO KTK SEKTA ZA UMMA SAAAANA
    USIOGOPE BABA MHASHAMU KUWAKEMEA MAANA mana roma iko juu.
    wee annon unaesema eti haiwezekani why unamtusi mhashamu?wee wa dini ile -----nini??SHINDWAAAAA
    ILA BABA MHASHAMU NNA MENGI YA KUSEMA OLA APA NI NGUMU NI MANENO MAZITOOOOO SANA

    ReplyDelete
  11. KWAKO MKAGUA MAONI
    Sitaki kukufundisha kazi ila naamini sana upo hapo kwa sababu unajua kazi yako. Maoni ya DIDDY hapo juu kama wewe umeona yanafaa kuonwa na jamii basi huijui kazi yako. Nakushauri utoe, nia ya hii blog ni kuelimisha na kuburudisha na si kukashifiana. Ikifikia mahali mtu unaingilia imani za watu na wewe unapitisha basi hii ni uhatarishaji wa amani. Imenigusa sana na natarajia kutoikuta kesho.
    Ubarikiwe.
    Mkristo Mkatoliki

    ReplyDelete
  12. We anon wa February 23, 2009 7:31 PM, nachoona DIDDY kaailisha (criticized) hakukashifu (did not ofend or abuse). Kama unajuwa elimu, criticism is part and parcel.

    Si kazi ya medieta kuzuia criticism bali matusi na mfano wake. usifikiri hajui.

    Kuwa mvumilivu.

    ReplyDelete
  13. MICHUZI
    HILI NI TUSI LA NGUONI KABISA KWA MHASHAMU BABA ASKOFU KARDINAL
    KWANINI UMERUHUSU HALI YA HEWA ICHAFULIWE APA NA UYO ANNON APO JUU?
    UNATAKA TUANZE TUKANA UMU NDANI?KWA HABARI ZA IMANI?
    TUKISEMA WAI---- WANAISHI NA MAJINI NA MAPEPO NI MALAIKA KWAO,WASHIRIKINA,ELIMU ---- NI UHUNI MTUPU KULE nk nk
    me sina dini nilishaacha cku nyingi baada ya kuona kila mtu/imani hazieleweki nani aaminiwe!yan sisali kabisa na life lasonga,najua one thing God exists basi.
    si itakua vita umu bloguni
    CHUJA MAMBO YA KUWEKA UMU NDANI,,
    tukaneni mtakavo sasa

    ReplyDelete
  14. WANAUME WEUPE WANA MATATIZO SANA,SIJUI KWANINI????
    wee chunguza sana na fatilia wanaume weupe yalabi utachoka
    nisaidieni jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...