Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dat True KP maana hwa Wabunge si Wanaume wala Wanawake ,Maana tena Wanawake Wabunge ndo zaidi wanajijua hata kukupa ruksa ya kula hamna wewe ni kazi tuu,Ndo wanawatia Jeuri hawa Wawekezaji wa Kigeni na Wazawa kunyanyasa wafanyakazi wao ukienda huko TWICO wakija Ofisini Maboss wanawapa Hela kwa Kweli Tanzania Zaidi Tuijuavyo?
ReplyDeleteUmenifurahisha sana kp...nimecheka sana ila uyasemayo ni kweli 100%. Kama viongozi wetu wangetiwa uchungu na mateso ya watanzania walio wengi, hakika tungekuwa mbali!Big up kp!
ReplyDeleteTanzania Tanzania Nakupenda kwa Moyo wote Nchi yangu Tazania ,Huwez kumpenda wa nje wakati aliyekaribu yako humdhamini huu si Uongo tuu hawa Wabunge wanajijali wao na Familia zao hii Nchi Bora Iuzwe tuu hamna kiongoz hapa Tanzania!!!!!Tena kuna waziri mmoja mama huyo ni balaaaa hadi aibu
ReplyDeleteUkitaka kuona ni wabinafsi Angalia Majimbo yao Maendeleo O kutwa wamejazana Dar wanakula Chips tuuu na kulala bungeni tuuu!!!Mrisho Mpoto kaimba bora majengo tufuge Kuku ndo tunaloliweza tuuu
ReplyDelete