modo akitoka unyoya baada ya kiatu kumvuka katikati ya shoo. inasemekana hii ilikuwa moja ya mbwembwe za lady in red 2009 ya mama wa mitindo asia khamsini
shati la obama lililobuniwa na dizaina hadija mwanambona nalo lilitia fora sana


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Hili shati na bei yake vinapatikana vipi kwa wadau nje ya bongo??

    Mdauz jp

    ReplyDelete
  2. Ingefurahisha kuona siku moja wamarekani weusi wanafurahia yale mazuri yanayotokea huku afrika na kuyanadi katika nchi yao nasikitika kuona sisi WATANZANIA tulivyokuwa NAIVE katika ulimwengu huu leo hii isaidie nini kuweka picha ya obama ni afadhali wangeweka waliopigania nchi hii hadi kufikia hapa tulipo leo na maendeleo tuliyofikia tuwacheni mambo haya tuwatuze viongozi waliopigania taifa hii ingefurahisha zaidi kuona picha ya wasisi kama vile mwali julis kiana tusijidanganye na kujipendekeza hivi karibu hata ubalozi wa USA ulisema siokwa sasbu rais wa USA ana asili ya kiafrika tukadhani ndio tegemeo lamaisha yetu aibu kwa kwa wabunifu wetu na hapa ndio wanaonesha udhaifu wao wakutosamini vilivyo vyo na kunadi vya watu poleni kwa maradhi sungu mlionayo wabunifu

    ReplyDelete
  3. Hivi ndugu mbunifu ungeweka picha ya Bibi Kidude au hata ya Joti wa orijino komedi ungekosa nini jamani? mpaka uweke picha ya marekani ndio uonekane umekamilika? Mmmh kweli bado safari ni ndefu!

    ReplyDelete
  4. Mchangiaji wa pili,Hapa nadhani huyu mbunifu kaangalia kipi kinaweza kulipa kama akitumia,mf. sasa hv obama ni figure ya dunia nzima so hakika hilo shati litapata biashara popote pale duniani kama ukilinganisha angemweka mpigania uhuru wa tanzania kama mchangia mada wa pili ulivyosema.si kama nakataa ulichosema ni kweli na ni sawa ila mbunifu huwa pia anaangalia apate vipi kirahisi kirahisi pia. Na sidhani kama atakuwa hana hao watu unaowataka kwenye ubunifu wake jaribu kuchunguza labda alishatumia hao watu kama ulivyopendekeza. Hata kama ingekuwa ni wewe kwenye biashara ungeangalia jinsi ya kupata kwa urahisi na ki-uhalali maaana biashara si majaribio.

    ReplyDelete
  5. @ anony February 11, 2009 12:17PM Naomba nikwambie kuwa watu tunaishi kulingana na NYAKATI!!! Hata mtoto mdogo leo ukimuuliza about Obama anajua. Na usisahau kuwa hii fashion show ni Business. Kwa taarifa yako sasa ivi weka shati la JK hapo na la Obama ndio utajua namaanisha nini kusema tunaishi kulingana na nyakati. Utakuja kuwasimulia wajukuu zako baadae kuhusu ushabiki huu tulio nao kwa Obasa sasa!! Nagira.

    ReplyDelete
  6. ni lini waafrika wataacha kumnadi obama? Obama sio wetu ni wa wamarekani na hata tukimuweka kila mahali na kumtunza kama mfalme haitobadili hali ya afrika wala policy za US kwa afrika. Obama ni mmarekani, amechaguliwa kuwa raisi wa marekani na wamarekani. amechaguliwa kiongoza marekani kwa manufaa ya wamarekani. amkeni ndugu zangu!!!!

    ReplyDelete
  7. Salaams to all...
    Mimi ni Belinda mbunifu wa hizo khanga za Histori-Kali...na moja ya matoleo yetu ni hiyo khanga iliyo buniwa vizuri kuwa shati na Bibie Mwanamboka...Big UP to you lil sister...good job.
    Kaka Michu naomba nafasi nijibu hoja zote mbili kama ifuatavyo
    1. Kwa swali la bei na upatikanaji wa mashati ya khanga ya Obama naomba wapatie contact ya Bi Hadija Mwanamboka.

    2. Comments za annonymous hapo juu...zinasikitisha sana na kufurahisha pia.... nafurahi kuwa the person noticed kuwa it is very creative work done on a khanga to present one of Africa's history makers.... that is our vision - documenting, preserving, celebrating history by the use of our Swahili khanga culture.
    It is a pity that he misses the bigger picture of the Obama phenomena.... haina maana kuwa Obama will help/assist Africa as a continent...the Obama enigma does more than that....it shows and proves that any son of Africa can achieve anything in this world regardless of the challenges we face as a people.... HOPE and the Audacity of HOPE my friend... unaweza kuona ni kidogo lakini...fikiria tena... hata balozi (mzungu) akisema that is not the word of GOD wanacho jaribu kukuambieni ni kuwa yeye ni exception to the rule (all Blacks wajinga kama wewe!).Design ya Obama siyo ya kwanza katika mradi wetu... tunazo nyingi sana zinazoonyesha wanahistoria wetu na wa Dunia nzima... (tunao akina CHe Guevara,Martin Luther King, Malcolm X, Traore, HAile Sellasie, na wengine wengi....if you thinnk hatuna BAba wa Taifa...... unanchekesha sana who do you think we are....ask first then judge please) ... lengo letu ni ku-share utamaduni wetu mzuri wa khanga na dunia nzima...the world is a village my dear.... sasa Obama happens to be the most current history maker na Khadija kama mbunifu mzuri kaonyesha namna mbali nyingine nzuri ya wanaume kuvaa khanga na kupendeza pamoja na kusherehekea historia.... nashangaa kuwa wewe hapo ulipo nina hakika una Tee shirts zaidi ya kumi zinazo onyesha ulimbukeni wetu kwa akina Versace, Valentino, NIKE, Fifty cents etc etc etc.... stop hating ..... hatutofika mpenzi..... BIG UP HADIJA... KEEP IT UP nitakupa designs zetu zote uzibunie ubunaji wa hali ya juu.... my contact is +255 773 975 445 the name is Belinda..... talk to me.....

    ReplyDelete
  8. OOOPPPSS I forgot to answer anon 2 ...by the way Wamarekani WEUSI na WEUPE wanafurahia utamaduni wetu na wanafuatilia sana juu ya MOTHERLAND...... and our history.....ila wabaya sie tusio share utamaduni wetu nao...wanatushangaa sana... what is your contribution towards making the world aware of your origins and culture if I may ask ?!!!!
    belinda. 0773 975 445.

    ReplyDelete
  9. huyu mbunifu kalenga soko la kimataifa sio mbaya hapa ni ubunifu wa kupata soko sio kumuenzi mtu tu bila pesa hapendwi mtu hapa pesa tu utatengeneza shati lina sura ya mrema nani anamjua nani atanunua may be utauza mawili tu ukiwa luck

    ReplyDelete
  10. MCHANGIAJI #2...BUNI YA KWAKO HALAFU WEKA PICHA YA MWL. NYERERE, HALAFU NENDA KAWEKE SOKONI NA HIYO YA OBAMA HALAFU JIBU UTAPATA..

    WATU WANASAKA NOTI SASA HIVI NA RECESSION HII WEWE UNALETA ZAKO HAPA..

    ...HABARI NDIYO HIYO....

    ReplyDelete
  11. Mbona hapa huyu dada anongelea kuhusu KANGA kanga zipo kwa karne nyingi hapa sisi wengine kutoka mambabu na mabibi tunakumbuka wao ni kanga na kama mwanamume kuvaa kanga hilo sio jipya kwa baadhi yetu hapa Tz baba zetu na mababu wanavaa kanga hata kabla ya mabo haya huvaa wakiwa ndani ya nyumba na kikubwa katika kanga ukichokifanya ni kuweka hizo picha za hao watu lakini ukiongela kanga zipo around zaidi ya mika elfu kwa hilo hakuna jipya kwani kanga hapa nchini zilikuwa zinawekwa viongozi au maeneo marufu na wazee wetu pina ndani yake utakuta maneno ya mafumbo ukiongelea kanga tutakupa histaria zake kwa ukamilifu naelea unafanya kazi nzuri lakini tuwe realist

    ReplyDelete
  12. mimi nimefurai kumwona bigiiii blaza na mkewe kwa mbali,wanakura raha tu ....

    ReplyDelete
  13. hao ndio masupermodel wa bongo kama wanavyojiita wenyewe kuvaa viatu vya kuporomka. shida kweli, haya kama huyo hata miss dunia aendi labda kariakoo, mnavaa sana mitumba ndio maana hampati size ukikiona kizuri kwenye mitumba mnabeba tu. haya sasa profit kwa muuzaji hasara kwa mvaaji maana next time utaacha mguu stajini, spend, spend, dada nenda dukani.

    ReplyDelete
  14. Kiatu kilikuwa kikubwa nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...