"......sio kizizi joketi. hii fulanazzz ni kama yunifomu ya kazi tu; haina maana ingine. tatizo nnayo moja tu kwa hiyo...."anajitetea mkuu wa wilaya ya nanihii anapobwamba kwenye mnuso fulani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 35 mpaka sasa

  1. hivi videmu navyo. especially jockate sikapendi. kanajidai sana.kimbelembele kila kitu. hana uzuri wowote.

    ReplyDelete
  2. Oyaa Basil nakuona mzee wa kuuza sura!!!!

    ReplyDelete
  3. Watu wenye roho za korosho utawajua tu. Sasa wee mtoa maoni wa 1, huyo Jokate kakuudhi nini? Kama we ni mwanaume basi nadhani unamtamani ila status yako haiendani nae, na kama wewe ni demu basi huna lolote, wivu tu unakusumbua! Maisha yamekugonga. Stress zako zisikufanye kuwa na chuki kwa watu bila sababu ya msingi, haitosaidia kuziondoa, badala yake ongea vizuri na watu bila ubaguzi, utasaidiwa.
    Kwa kukusaidia, kumwona Jokate akishughulika na mambo mbalimbali ni ushahidi tosha kuwa anapendwa ndo maana wanapenda kumtumia. Acha ushamba na wivu usio na msingi. Ni hayo tu. Nawasilisha.

    ReplyDelete
  4. Wivu ndilo tatizo lako. na utaumia sana kwa watoto wazuri kama hao. hupendi kuona mwenzio akiwa kama Joketi? yatakushinda. mtoto wa watu yuko bomba na ni intelligency vibaya.

    ReplyDelete
  5. Wee Anon namba moja hapo juu wivu gani huo ulio nao.....Huyo Michuzi ndo umeona mwanaume wa kulilia wivu Khaaa.....Hiyo fulana mwenzio anaitumia kunasia totos......Mwanaume anapenda sana sifa huyu.......(Michuzi HABARI NDIYO HIYO!!!)

    ReplyDelete
  6. Mkuu wa wilaya naona kafriji kanaonngezeka au ndio mambo ya ukuu wa wilaya?

    kila la kheri tupo pamoja

    ReplyDelete
  7. HAhaha watu wannaanza kuuwa joketi duh! Michuzi Fulanaz si mchezo Made In Kisarawe nini? naona Haichuji Hata kwasabuni ya Komesha au Moi. Kamuwaaaaaaaa Michuzi Flsha Flash Flash bila kutumia hirizi watakuja tu mikonozzzzz. Fulanaz hiyo bado kutinga ikulu tu itafutie Mjusi wake. Pazi wa Pazi.

    ReplyDelete
  8. Anon wa kwanza, pole kwa kuumia na jackate mbona ni kaschana kazuri tu, kanajituma kachangamfu na naamini kanaheshima kwa watu pia sidhani kama umemmuelewa vema, hiyo tabia ya kuchacharika ambayo wewe umeitafsiri ni kimbelembele, ni tabia nzuri hasa kwa wanawake wanatakiwa wawe hodari wachangamfu wabunifu na kujituma bila kuchoka kwa maana ya kujiongeza.simfahamu sana ila mara nyingi ninapomuona kwenye baadhi ya vipindi vya tv au makongamano namuona yuko makini tu.

    ReplyDelete
  9. wewe anony wa kwanza

    jelousyyyyyyyyyyyyyyyyyy, utakosa ku move on kwa jelous , get life. wacha kufatilia huyu simpendi huyu hana uzuri back offfffffff.watu wapo kazini wewe ohohoohooo.ulitaka afanyeje avae gunia angekuwa mchafu mgesemaje leo dada watu msafi ajaipenda anatumikia kazi yake pia mnalalamika, get life mdau.

    ReplyDelete
  10. anon wa 10.31 kakufanya nini kiumbe wa mungu mpaka humpendi hivo jitahidi kuwapenda binadamu wezako na wewe utajipenda usijaribu kumchukia mtu tu bila sababu huo ndo mwanzo wa kitu kimoja kibaya sana ktk maisha kinaitwa WIVU

    ReplyDelete
  11. HUO NI WIVU ANONYMOUS 1. JOCKATE NI MTOTO MZURI NA MREMBO. NAMFAHAMU VIZURI NA TUNASALI WOTE OALE ST PETER. MPE HAKI YAKE KAMA NI MZURI NI MZURI TU NO MATTER MAMBO MENGINE YA KIBINADAMU YANAYOWEZA KUTOKEA HATA KWA MTU YOYOTE. BIGUP JOCKATE MI NAKUFAGILIA SANA

    ReplyDelete
  12. Ingefaa hiyo ze fulana yako ungeivaa katika picha ya post card hapo juu kama trade mark badala ya kuniga tai

    ReplyDelete
  13. Aa we mdau wa juu hapo wacha kusema jokate ni bomba ile mbaya..

    ReplyDelete
  14. kwa wewe una uzuri gani hata umseme binti wa watu hajakukosea hata kidogo kama huna cha kuandika kauuza nenda darasani naona elimu yako ndogo huna maana wewe naona unatafuta nahau. kama ni uzuri anao tena sana tuuuuuuuuuuuuuu . kuwa na mshipa wa haibu wewe sura mbaya inaonekana kuwa pua yako imeangalia juu si chini kama binadamu wengine

    ReplyDelete
  15. du, kweli sisi watanzania wengi wetu tuna roho za korosho, yani hali ya hewa imebadilika ghafla sababu ya wivu, eti si mpendi, eti anajidai...lol

    ReplyDelete
  16. hahahaa!! Michuzi unanikumbusha msemo wa kauka nikuvae sanduku msumari.

    ReplyDelete
  17. anayeonewa wivu mara nyingi ni jon mashaka. Yy tunaelewa kwa sababu kawashinda, sasa Jokate kakosa nini. Nyie watu mtakufa na hizo roho zenu chafu

    Hau mnaofia Jokate naye anajitayarishia 2015???????
    Heboooo mtajiju pepo wachafu

    Mpinga Usenene kwa bi Mkubwa

    ReplyDelete
  18. Mkuu wa Ulaya anavyokuangalia huyo mutoto basi umeshamaliza.
    Endelea.....Rukhsaaaaaaaaaa
    Mzawa
    ***Kafriji lakini kanakutangulia...MMhh Fulana inaita kaka yake ama sivyo....

    ReplyDelete
  19. Jokate afadhali, Jide anachukiwa zaidi badilisheni herufi za mwanzo za majina yenu

    ReplyDelete
  20. MIMI KAMA MKEREKETWA NA MPINGA USENENE NAMBA WANI, NAPENDA SANA KUTOA AU KUCHANGIA MADA PAMOJA NA HOJA ZANGU

    JOKATE NI MTOTO MDOGO SANA, TENA HANA SHIDA NA MTU, LAKINI NAONA WAOSHWA VINYWA NA WABEBA BOXI WASIOKUWA NA DOGO TOKA HUKO MAJUU

    WANAOPENDA SANA KUCHAFUA HALI YA HELA. TENA NARUDI MASENENE TOKA NJE YA NCHI NDIYO YALE YENYE ROHO ZA KOROSHO BAADA YA MAISHA KUWASHINDA HUKO ULAYA WALIKO.

    SASA WANATAKA KUTUCHAFULIA HALI YA HEWA SISI TULIO HAPA TANZANIA KWENYE JUA

    HEBU MASENENE INABIDI MTULIE KABISA KWA MAANA HATUTAWARUHUSU KUTUPELEKESHA KWA KUWATUKANA WATU KAMA JOKETI.

    TUNAELEWA SANA MNAPOKUWA NA HASIRA NA MH. LAIS MTARAJIWA JON MASHAKA, AU WAZIRI MKUU NTARAJIWA DR. SHAYO ,AU MZEE JANUARY KWA SABABU NI WATU WANENE SANA, TENA SANA SANA

    MASHAKA YEYE YUKO MATAWI YA JUU TENA YA MBALI SANA, HUKO WORSTRITI ANATESA TU NA WAKINA MJOMBA OBAMA, NA BILL CLINTON, NA KINGENGE CHA NGUVU. NDO MAANA MNAMUONEA WIVU NA KUPENDA KUMFANYIA USENENE MKIJUA WAZI KABISA 2015 YUKO KWENYE HARAKATI ZA KUTAWALA

    DR. SHAYO MNAMUONEA WIVU NA KUMWAGIA USENENE KA SABABU AMEWASHINDA WENGI WENU AMBAO MMEBEBA BOXI ZAIDI YA MIAKA YEYE ANAKULA KUKU KWA MRIJA HUKO RONDONI WAKATI NYINYI ZAMU ZA KAZI NDEFU HAZIISHI

    JANUARY YEYE NI USOMI KWENYE OFISI NYETI YA MUNENE WA NCHI, NDO MAANA MUNAMUONEA WIVU LAKINI YEYE VILE VILE YUKO KWENYE BALOTI YA 2015 NAMHESHIMIWA MASHAKA. HII NDO CHUNGU LENU

    RIDHWANI YEYE HANA HABARI MINGI LAKINI MUNA MUONEA WIVU KWA MAANA NI MUTOTO WA MUNENE, TENA MUNENE WA INCHI HII YA TANGANYIKA, DNO MAANA MNAKUFA NA UROHO WA KOROSHO

    SASA JOKETI WIVU WA NINI KWA SABABU ALIKUWA KA MISS, HACHENI UJINGA NA UROHO MBAYA WATANZANIA. TUTAFIKA LINI, JAMANI?

    ZIDUMU FIKRA ZA MZEE WA PAMBA JK
    ZIDUMU

    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
    KIDUMU

    KIDUMU FIRKA ZA LAIS MTARAJIWA 2015
    ZIDUMU

    ZIDUMU FIKRA ZA MAKAMU 2015
    ZIDUMU

    ZIDUMU FIKRA ZA WAZIRI WA UREMBO 2015 JOKETI,
    ZIDUMU !

    MASENENE WOTE WAKAFIE HUKO U.S.A NA U.K. WABEBE BOXI HADI WAFE KWENYE SHIFTI NA UROHO MBAYA

    MKEREKETWA, YOMBO VITUKA !!!!
    DAKIKA 30 ZIMEKWISHA

    ReplyDelete
  21. mh!..kaazi kwelikweli.Yaani nikitafakari yanayoandikwa humu kama maoni,mkono unasita kabisa kutype...watanzania ni watu wa pekee duniani....wivu,ubinafsi,ulimbukeni,ushabiki na roho mbaya ndio vimetutawala.
    Tuache hizo!.

    ReplyDelete
  22. MH. Mkuu wa WIlaya.
    Huyu Mkereketwa wa wa Yombo Vituka ananifurahisha sana ehee hee hehe tehe tehe Lol!!!
    Du jamaa anaianzisha siku yangu kwa kucheekaaaaa!!!!!
    Mpinga Usenene wewe kiboko.

    ReplyDelete
  23. annony how could you write Lais ? and you've repeated it twice !! lais , lais ..while trying to make a point,
    and who authorised you to write that they are meant to be our presidents in 2015 just because they can put in a good article on blog ? is a leader born or made ?...my thoughts

    ReplyDelete
  24. Mzee MAGESA hizi ndo zile burudani za kufundishana na kurekebishana na kupashana habari katika kila nyanja zinapoanzia hapoooooo. Si unaoona msururu wa mafundisho na vichekesho ambavyo vinatuongezea siku aloooo? we acha michuzi uitwe michuzi hapo mambo ni Rost kwa chapati tuuuu kwa sisi tunaopenda kujifunza hapa hili ni darasa tosha na MTAMBO WA KUREKEBISHA TABIA.

    Tumbatu Island

    ReplyDelete
  25. Pole sana mdau namba moja hapo juu kwa UJINGA WAKO TENA ITABIDI UPELEKWE KWENYE MAOMBI UNATATIZO LA AKILI.

    JOKATE MUNGU akuzidishie afya njema uzidi kuwa mbunifu na mchangamfu kama ambavyo amekuumba.

    ReplyDelete
  26. Ni kwa vile tu blog ya Michuzi haipokei maneno na michoro ya matusi wewe mdau namba moja hapo juu nilikuwa nikutusi tusi ambalo hutalisahau miaka kumi litakutesa hadi ujitokeze kumuomba msamaha Jokate

    ReplyDelete
  27. Nimekuwa nikifuatilia blog yako ninamaanisha kila cku lazima nifungue nakupitia. Nakumbuka cku za nyuma kidogo uliwahi kutuandikia kuwa t-shirt yako hiyo uliyoivaa hapo kuwa imeibiwa kumbe kwa bahati mbaya binti yako aliikusanya na nguo zake akawa ameenda nayo Uganda. Kipindi hicho hicho msamaria mwema anayefuatilia blog yako kama sitakuwa nimekosea alikupa t-shirt 5 zilizokuwa zikifanana sana na hiyo unayosema unayo moja. Mbona hizo t-shirt ulizopewa sijawahi kukuona umezivaa? kila siku unavaa hiyo t-shirt tu ina nini hiyo? au ndio janja yako ili upewe mat- shirt mengine mengi? au unayauza? au unasubiri hiyo hadi ichanike? Hebu vaa hizo t-shirt nyingine ulizopewa japo hiyo ni nzuri ila na zile ziko bomba na jamaa alikuona unapenda t-shirt ya tizain hiyo ndio maana alikuzawadia.

    ReplyDelete
  28. MDAU # 1

    HONGERA KWA MAWAZO YAKO YALIYO WAZI. WENGI HUMU WANAMUNGUNYA MAONI YAO LAKINI SIO WEWE...WATANZANIA WANATAKIWA KUIGA MFANO WAKO.

    NYIE WENGINE MDAU WA 1 KATOA MAONI YAKE, NYIE NDIO MNAONA WIVU.

    ReplyDelete
  29. Mpinga usenene umenifurahisha sana kwa kweli. You have made my day, big up sana.

    ReplyDelete
  30. Mpinga Usenene naona unanyatia nafasi ya Ukuu wa Wilaya ya Temeke 2015, katika utawala wa Mashaka na January, kazi kweli kweli tehe hehe teehe eee !!
    wazee kwa kampeni siwawezi

    ReplyDelete
  31. dah!!!! sasa michuuuu dah,,,uyo mtoto apo dah!!! basi tu
    nakuonea wivu,ivi kidogo husikii kimuhe-muhe ivi uko kumoyo?waonaje iyo chapa apo na ki-valentino-ntino
    basi tuuu

    ReplyDelete
  32. KWANI JOKATE NANI HUMU HADI MIBABA MIZIMA NA MIMAMA MIZIMA MUMFUNGIE KIBWAYA KUMTETEA???MDAU WA KWANZA BIG-UP SANA ACHANA NA HAWA WAFATA MKUMBO TU JOKATE ANA LIPI LA KUWAFANYA WAMTETEE HAWA KAMA SIO FATA MKUMBO TU WAKISIKIA MDUNDIKO WANAUNGA TELA MI MWENYEWE SIPENDI VIDEMU VINAVYOWINDA MABWANA KWA STYLE YA KIMBELEMBELE KAMA YA HUYO JOKATE.PLEASE MSIMFANANISHE KABISA JIDE(LADY JAYDEE)COMMANDO BINT MACHOZI NA HUYO SUPERSTARWANNABE JOKATE JIDE MZIKI MNENE NA PIA KAZI ZAKE ZINAKUBALIKA KONA ZOTE TENA KWA MAPANA BASI NA HAJISHAUI.BIG UP SANA JIDE LOVE U BIG TYME POPOTE ULIPO SHABIKI WAKO NAMBA MOJA aka MASHAUZI HATER!!!!

    ReplyDelete
  33. hakuna haja ya kulumbana jamani mbona swala liko wazi sana? huyu mtoto ni mzuri tuuu! watu msilete chuki zenu binafsi! maana najua kuna wengine wanajipaka ma make up kibao na bado hata hawapendezi ndo wanazidi kuwa kama mashetani sasa akionoa mtoto wa watu katoka basi anaona kama anatumia nyota yake! wabongo tuache majungu kabisa acheni mambo yenu ya chuki

    ReplyDelete
  34. mieni mdau namba moja hapo. namfahamu sana.infact mi ni mdada nisiyependa mashauzi na kujisikia.nafahamu pretty well wadada wenye tabia kama yake jinsi walivyo. i know what they are up to.any way hayo ni maoni yangu.sina wivu na i am not holding anything against her. but kwenye ukweli lazima niseme.huyu ukimkuta pale cafeteria ya hall six hua anaongea kwa sauti so that kila mtu ajue her presence. wherever anapokua pale chuo that is what she does. now you call that whaaaaat?

    ReplyDelete
  35. jokate mtoto mzuri mbona hana neno? tatizo ni wewe anon wa kwanza hujiamini unaonekana wewe ni kiwango duni ndo maana unajua huwezi kumpata mtoto unaamua kuua sizitaki mbichi izi na hiyo ndo tabia yetu sisi vijana wengi ukiona dem yuko juuu zaidi yako unatafuta sababu za kumponda tuu ili urithishe roho yako au jokate aliwahi kukupiga cha kwapa nini? i mean kibuti

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...