Juu ni kinasa sauti kilichokutwa kwenye kitanda cha dk. wilbroad slaa dodoma. Chini askari kanzu wakifanya uchunguzi wao
Baada ya jeshi la polisi kwa ujumla kukiri kuwa vifaa walivyowekewa wabunge wa upinzani yaani Wilbrod Slaa na Dr Ali Tarib Ali kwamba ni vinasa sauti vya kisasa swali kuu sasa ni kwanini CHUMBANI TENA KITANDANI? anahoji mdau wa: http://bongopicha.blogspot.com/2009/02/kwanini-kitandani.html

mdau anahoji hawa waheshimiwa wana maofisi bila shaka, wana simu, wana magari N.K lakini yeyote aliyelenga au kuchagua kuweka vinasa sauti chumbani tena kitandani alikuwa anataka nini?????

Sote twafahamu (hasa watu wazima) ni nini huwa kinaendelea chumbani na hasa baada ya kuzima taa, Je waalifu hawa ndo walichokuwa wakitafuta?????????
au waliambiwa kuwa hawa WAHESHIMIWA huwa wana vikao vyumbani?????????

sielewi, sijui, naomba kueleweshwa wadau.
Mdau BongoPicha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Nitatoka nje ya mada kidogo ila ndio vitanda wanavyolalia wabunge hivyo?Kazi ipo.

    ReplyDelete
  2. Kweli siasa siku hizi imekuwa mchezo mchafu kwelikweli!
    Haya walipoweka hiyo recoder chumbani kwa kwa baba wa watu wakitafutani? jamani chumbani ni sehemu ya faraghaaaaa. kisha wanatuambia walioingia chumbani ni binti yake na rafki yake, sasa kusema ndo katumwa na mamake aje amuwekee babake? hebu jamani kuweni na nywele nyeupe zenye maana sio kichwa cheupe busara na heshima hamna

    ReplyDelete
  3. HAKO KATABIA NYUMBANI HAKAPO KABISA.ILA MASHA NDIO KAUNZA HUO MCHEZO,ILA HUO MCHEZO HAUNA FUTURE KWANI SIKU ZAKE SINAHESABIKA KABISA! ATAKUWA ANAKATEGESHA LANGO LANGO!

    ReplyDelete
  4. Makachero wetu uchwara. Sasa nduo wanavyochukua evidence hivyo. Hata gloves hawajavaa, sijui ni uchunguzi wa namna gani huu.

    Mdau namba 6

    ReplyDelete
  5. SIJUI KAMA TUTAFIKA WATU WAZIMA BADALA YA KUTUMIA MDA MWING KUTAFAKARI NAMNA YA KUTUONDOA KWENYE DIMBWI LA UMAASIKI WANATUMIA MDA MWINGI KUTAFUTIANA VISA. HEBU SAMAHANI WADAU HIVI KESI YA YULE MEMBER WA MJENGONI ANAYELALAMIKIWA KWA SHAMBULIO LA MWILI INAKWENDAJE VILE? NAHISI HATA HUYU MZEE WALITAKA WAMTEGESHEE KITOTO CHA KIKE ALAFU WAMBURUZE MAHAKANI ALAFU WAPUNGUZE WANAOFUATILIA NYENDO ZAO

    ReplyDelete
  6. JESHI LA POLISI HALINA NIA HALISI YA KUFANYA UCHUNGUZI, INAWEZEKANA LINAELEWA NI NINI KINACHOENDELEA KUTOKA KWA MASTER NDIYO SABABU LIMEKAZANIA SANA KUWA MWANAYE SLAA ALIINGIA CHUMBANI ILI TUAMINI KUWA HUENDA NDIYE ALIYEWEKA NA KWA KUWA NI CHOMBO CHA KISASA BASI KUNA UWEZEKANO MKUBWA KIKAJITOKEZA KILE KINGINE KWENYE CHUMBA CHA MBUNGE MWINGINE WA UPINZANI KWANI HAWA HUWA WANASHIRIKIANA KATIKA MASWALA YAO YA UPINZANI. KWA HILO HAIONI SABABU YA MSINGI KUWABANA WAHUDUMU WA HOTELI AMBAO UHAKIKA UPO KUWA WANAJUA SIRI, INGEKUWA UMETOKEA WIZI WA MALI ZA HOTELI BILA MLANGO KUVUNJWA JESHI HILOHILO LINGEWABANA HAO WAHUDUMU.

    ReplyDelete
  7. Annony Feb11, 2009 @11:15 AM, hivi umesahau kuwa vinasa sauti viliwekwa ktk vyumba vya Mh. Slaa na pia kwa Mh. Dr Tarab.

    Hivyo haingii akilini hayo unayo yasema kuhusu familia ya Dr. Slaa.

    Suala sasa kama imebainika kuwa ni vinasa sauti, tusubiri POLISI watupatie taarifa kamilifu ya uchunguzi wao. Suala hili lisifanywe kama kichekesho, lifuatiliwe na serikali kama kashfa ya 'Watergate', maana kashfa ya 'watergate' Marekani ili kuwa ya vinasa sauti kuelekea UCHAGUZI na ikalazimu Nixon kujiuzulu.

    ReplyDelete
  8. FYI
    Case: Plastic

    Dimensions, mm: 40x10x15
    Weight, grams: 8

    Main features:
    - up to 300 hours of recording time
    - very low power consumption
    - wide frequency range (100- 10000Hz)
    - wide dynamic range
    - access and watermark protection
    - VAS

    Technical features:
    - Signal/noise ratio -64 dB
    - Recording formats Mono
    - Compression algorithms Without compression, u-Law (2/1), ADPCM (2 and 4 bit)
    - Sample rate 5.5, 8, 11, 16 or 22 kHz
    - Bandwidth 100 Hz to 10 kHz
    - Built-in microphone sensitivity 7-9 m
    - PC interface USB 1.1. Data transfer rate up to 5.5 Mb
    - Record time up to 1120/2240/4480/8960/17920 minutes, depending on a model
    - Battery life in record mode, hours up to 60 hours (at sample rate of 8kHz).

    Mdau JOOMEK

    ReplyDelete
  9. Wasiwasi wangu ni hata hao wawekaji wa hivyo vinasa sauti they seem to be so cheap! Mbona midude yenyewe mikuuuubwa utafikiri aliyetumwa alikuja kurekodi nyimbo? Am sure professionals can do better.....

    ReplyDelete
  10. Lengo kuu ni kunasa sauti ya Mh. Dr. Slaa na Mh. Dr. Ali, kisha wazifanyie kazi ama walizokusudia wao au walizotumwa kwa makusudi maalum, yakiwemo:
    1. Kujua siri za ufisadi hasa
    wakati wakitumia simu;
    2. Kufahamu zaidi maisha yao
    kiundani na kuanza kashfa za
    kijinga za kisiasa;
    3. Kuzuia "milipuko ya mabomu;"
    4. Mengineyo a.k.a AOB.

    ReplyDelete
  11. Sote tunajua jinsi Slaa alivyo kinara wa mapambano dhidi ya Ufisadi hapa nchini bila ya uwoga wowote.Kutokana na hilo atakuwa amejijengea maadui wengi sana nje na ndani ya serikali.Swali la kujiuliza hapa,ni je,aliyetegeshea hicho kinasa sauti alikuwa mtu binafsi au kikundi cha wabaya wake au mashushu wa dola yenyewe au gaidi gani wa kulipwa iwe kutoka ndani au nje ya nchi? Lengo lilikuwa moja tu la kunasa sauti za washiriki wake Dr.slaa.Pengine walitaka kunasa sauti ya yeyote yule kwa lengo la kuja kumsaliti na kumdai malipo ya pesa nyingi iwapo litakuwa tukio la faragha sana ambalo Slaa asingependa litolewe hadharani.Pengine walitaka kunasa sauti za watu waliowashuku kwamba huenda wao ndio waliokuwa wakimpelekea habari za siri Dr.Slaa ili waweze kuwashughulikia watakavyo au walitaka kuzijua siri za Dr.Slaa ziwe nzuri au mbaya lakini wazitumie kwa madhumuni mabaya ili kumchafulia Slaa sifa yake katika jamii.Au pengine kwa kuzinasa habari zozote zile hao maadui wa Dr.Slaa wangekuwa na nafasi nzuri zaidi ya kupanga lolote lile baya au zuri ili kumuingia kirahisi Slaa kwa lengo la kutaka kumdhuru.Hizi ni baadhi ya hisia zangu mimi.Inawezekana kabisa kwamba labda aliyetegeshea kampenda sana Dr.Slaa na alitaka kunasa sauti yake ili aiweke kama RingTone katika simu yake ya mkononi!Huwezi jua!

    ReplyDelete
  12. JIBU KWA MCHANGIAJI #1...

    WABONGO TUNA TABU SANA, WABUNGE WAKITUMIA VITU VYA ANASA MNALALAMIKA, WAKITUMIA VITU VYA KAWAIDA MNAPONDA...SASA MNATAKA IWEJE?

    TUPUNGUZE UNAKU....

    ....HABARI NDIYO HIYO....

    ReplyDelete
  13. Jamani hapa tusije tukachezewa filamu la kihindi na Dr Slaa!!! maana naye ni mwanasiasa na anajua mbinu chafu ili achafue wenzake kwa ajili ya kujipaisha kisiasa.
    Kimsningi ukweli wote anaujua dr Slaa kwa sababu alishatamka hadharani ya kwamba alipigiwa simu na mtu anayemfahamu ili kumfahamisha uwepo wa vitu hivyo. Kwa sababu hiyo tusipoteze muda wetu kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe hakiweki wazi na tena tumekuwa watu wa kumtetea kwa kila jambo na kusahau ya kwamba huenda hivi vitu wamajiwekea wenyewe ili kuchafua watu wengine. Kumbukeni wanasiasa wetu ni watu wa michezo michafu

    ReplyDelete
  14. This seems to be a matter of national security. I believe your national security team wanted to know how and when these individual get information involving government high officials. The devices were imported from russia, which is a good friend of your government when it comes to spying education and equipment. These are expensive equipments and they are very old version. look at the manufacture website and you will see new brands of the same equipment. only third world government like yours will keep these old equipments.
    http://www.ts-market.com/ is the website.
    Digital audio security is no longer a luxury - it's a requirement. Make sure you take the right steps and have the best digital audio recording equipment on the market working for you.

    Choose and test our brand new and refined audio recorder - Edic-mini Tiny B33 - high-end, durable and stylish!!!

    Modifications available: B33-150h, B33-300h, B33-600h, B33-1200h (the last figures in the model name show the maximum record time in hours when sampling rate is 8 KHz and compression is 2bits ADPCM).

    The recorder is produced in two variations: Tiny B33 – in a black rectangular polished plastic case and Tiny B33M – in a silver or golden rectangular metallic case. Both are durable and are designed to attract little attention. We improved the new models of B33 - is now operated with a newly designed unbreakable push-button (like in Ð’21), which makes Ð’33 a practical and a long-serving device.

    B33 supplies power from 1 CR2032 battery (there are 2 batteries on the delivery set) and can be operated with slight pressing the membrane button, situated on the recorder's case. A small textile strap that is available in the shipping box can be used for wearing the recorder around the neck. You can also use the recorder as a key trinket.

    Characteristics:

    • Case: black plastic / silver or golden metallic

    • Sizes: 44x28x6.5 mm

    • Weight: not more than 7 gram (without a battery)

    • Record mode: mono

    • Battery life in record mode, with sampling rate 8 K Hz, without compression, from fully-charged battery is up to 67 hours

    • Battery life in record mode with VAS and audio signal below a threshold) : up to 190 hours

    • Power supply: one 3V battery (d=20mm, h=3.2 mm- CR2032)

    • Operation time in a stand-by mode: up to 8.5 months

    You are welcome to find more detailed description of B33 here.

    We proudly introduce our novelties.

    The recorders with changeable Flash memory are now becoming more popular in the market. Their convenience is evident: a standard memory card can be used not only in the recorder, the option to vary the memory capacity depending on the card's size, and the option to keep the information on the card without uploading it to a computer.

    All the recorders are intended for professional recording voice messages into flash memory and transfer data to PC via USB 1.1 at the rate up to 5.5 Mbit/s. Each of them is absolutely unique and has inimitable design and may serve an exclusive present for a business partner, chief, or friends

    Edic-Mini” Tiny series"

    The A22 Model

    Usage: This small, but full-featured digital voice recorder (DVR) has user friendly interface. It has ultrastrong metal case, five colors are available.

    Specification:

    • Dimensions: 50x26x8mm

    • Weight: 28 g

    • Record time: up to 90 hours (from fully charged rechargeable battery, sampling rate 8 kHz, without compression)

    • Battery life in record mode, hours: stand-by mode is up to 8 months (in VAS mode is up to 300 hours (audio signal is below threshold)

    • Power supply: from Lo-Pol rechargeable battery with capacity 180 mA/h

    • Wide frequency range (100-10000Hz)

    • Highly sensitive built-in microphone

    • Opportunity to update the DVR firmware using the software

    • Built-in real time clock

    • Mode of start-up by timer

    The A27 Model

    Usage: Designed as wooden jewelry box for office usage, the recorder provides high quality of recording, sensitivity and autonomic work up to 1500 hours (this is more than 2 months from a fully charged rechargeable battery). A trilling business present!

    Specification:

    • Dimensions: 130x110x35 mm

    • Weight: 200 g

    • Record time: up to 600 h/ recording time in VAS mode is up to 6 months (4000 hours) when audio signal is below threshold

    • Battery life in record mode: up to 2 months (1500 h), sampling rate 8 kHz, without compression

    • Power supply: from built-in rechargeable battery with capacity 3000 mA/h

    The B30 Model

    Usage: This truly tiny and super light DVR will stay unnoticeable wherever you take it. Its round shape reminds a smiley. Modern and bright! Six colors available.

    Specification:

    • Dimensions: 26.5x10 mm

    • Weight: 7g

    • Record time: up to 600 h/ recording time in VAS mode is up to 190h (audio signal is below threshold)

    • Battery life in record mode: up to 90 h (8 k Hz, without compression)

    • Power supply: CR 2032 rechargeable battery.

    “Edic-Mini” Tiny 16 series” (super new!)

    Usage: This series of DVR is remarkable for record quality, long record time, very low power consumption and wide frequency range. Due to absence of moving parts, these DVR function in a wide temperature range (operating temperature diapason: 0…+40ºC (32…+104ºF), under vibration and dusty conditions.

    The B25 Model

    It's hard to resist this model's stylish design and functionality.

    Specification:

    • Dimensions, 32x12 mm

    • Weight: 18g

    • Record time: up to 600 h

    • Power supply one CR2450 battery

    • Battery life in record mode:130 h/ in VAS mode is 480h (20 days)

    • Highly sensitive built-in microphone

    • Opportunity to update the DVR firmware using the software

    • Built-in real time clock

    • Mode of start-up by timer

    The B26 Model

    Designed as a compact metallic cylinder, this model has extremely robust construction. You may choose from B26's wide color gamma according to your preferences.

    Specification:

    • Dimensions: 20x75 mm

    • Weight: 20 g

    • Record time: up to 600 h

    • Wide frequency range (100-10000Hz)

    • Battery life in record mode (sampling rate 8 kHz without compression): 360 h / in VAS mode is up to 2 months

    • Power supply: one CR123A battery

    • Highly sensitive built-in microphone

    • Opportunity to update the DVR firmware using the software

    • Built-in real time clock

    • Mode of start-up by timer

    "Edic-mini" microSD series" (ultra new!)

    A23 Model

    Usage: The digital Edic-mini microSD recorders work with microSD memory cards, have a built-in Li-Pol rechargeable battery, which can be charged from the computer USB port, and a high recording quality that does not demand a special software for parameter setting.

    Specification:

    • Dimensions: 34x21x11 mm

    • Weight: 20g

    • Record time depends on flash memory size (up to 100 h on 1 Gb, memory card can be up to 8 Gb); record time in record mode with fully charged rechargeable battery: 5 h

    • Record frequency band – 100…4000 Hz

    • Recording with or without compression uLaw or ADPCM

    • Option to set maximum and minimum for recording file size

    • Power supply: built-in Li-Pol accumulator with capacity 120 mA/h

    • “Edic-mini” microSD series supports only our 1 Gb microSd memory card, which is included in

    the set of delivery

    New Member in the 4-channel BestDVR Video Registrar
    29.10.2007
    Company "ByteErg" has informed, that its line of digital video registrars has replenished with new models of the Professional and Hi-End classes. They are 4-channel video registrars BestDVR-401A and BestDVR-400Real.

    The Model BestDVR-400Real is a new product in its class as it is the first 4-channel video registrar of real time and with high resolution. It is a prototype of the popular BestDVR-801Real, BestDVR-1600Real and differs from them only in that in this model there are only 4 video and the audio channels. All advantages of the given product line, i.e. archive capacity of up to 6 Tbyte, high quality of record, intellectual detection, a Web-server and others, are kept in this device.

    Video registrar BestDVR-401A has come to replace the device BestDVR-400A. In the new model the principle of "4 videochannels + 4 audiochannels + a network" was preserved. Its new features are:

    • A Web-server,
    • An opportunity of installation Mobil-Rack readable on the personal computer,
    • CD-DVD-R,
    • The intellectual detector,
    • An opportunity of record of archive up to 3 Tbyte,
    • Controlling, including by using a mouse.

    The main distinctive feature of the novelties is that both of them are supported by the uniform client software CMS (central monitoring station). It allows constructing distributed systems of video observation based on the BestDVR equipment with the uniform control center. Thus, there is still the opportunity to use in observation zones of various importance video registrars with that quantity of channels, and also record and translation in to network speed that are actually necessary.

    ReplyDelete
  15. This seems to be a matter of national security. I believe your national security team wanted to know how and when these individual get information involving government high officials. The devices were imported from russia, which is a good friend of your government when it comes to spying education and equipment. These are expensive equipments and they are very old version. look at the manufacture website and you will see new brands of the same equipment. only third world government like yours will keep these old equipments.

  16. Spy Master.

    EH? KWAAHEEEERI..

    = = =
    Buffalo,
    New York

    ReplyDelete
  17. Nafanya utabiri. Ama:
    1. Polisi hawatamgundua aliyehusika na kukiweka hiki kidubwasha chumbani kwa Slaa.
    2. Polisi watabaini kwamba kiliwekwa chumbani na gazeti la udaku katika jitihada za kutafuta habari.
    Hivi hicho kidude hao makachero wetu wanavyokishikashika bila glovu watapata vipi alama za vidole kama zipo? Si wanaharibu ushahidi?

    ReplyDelete
  18. Haya mkienda gesti mcheki chumba kabla ya kuanza mambo yenu! Mtasema 'ahhh tamu' next unajikuta ni simema!

    ReplyDelete
  19. Anony wa Tarehe February 11, 2009 3:06 PM, Umenifurahisha sana uliposema aliyeweka hicho kitufe alikuwa kama ana dhamira ya kurekodi muziki, mjomba alijifanya kama full majani vile aka P funk. ahaaaaaaaahhhhhhhaaaaaaaaaaa. Safi sana.

    Thanx 4 that.

    ReplyDelete
  20. Ah mimi no comments ila Godfather you ve made my day!!! i salute you.

    ReplyDelete
  21. MASIKINI POLISI HAWA KUMBE WANATUELEZA KUHUSU HICHO KIDUDE WAKATI HATA MVINYO HAWAUPELEKA KWA MKEMIA! LABDA HAWAJAPATA WAKUBADILISHA, ILI WASEME HAUKUWA NA MADHARA YOYOTE ILI KULINDA UHALIFU WA MASTER.

    ReplyDelete
  22. Watanzania wengi hamumjui Slaa. Ni padre mstaafu mjanja na mwingi wa hila. Huyo ni mbunge wa kwetu Karatu. Sisi tunamjua Kabla ya kuwa Padre alivyokuwa kijana alikuwa anachezesha mchezo wa mazingaombwe. Haiwezekani serikali wakategesha dubwana kubwa namna hiyo kama mshindi. Waulizzwe wafuatao; Slaa, receptionist, cleaner na mabinti zake. Slaa anajua anayo kesi ya kujibu ya kukutwa na dokezo la serikali kinyume na sheria. Kwa hio katengeneza mazingira ili aonekane anaonewa. Ohoo shauri yenu. Mkalaghe baho

    ReplyDelete
  23. michu jamani sasa uyo "spy master" ndo nini??yan watubandikia gazeti la mzalendo humu??silly you!!!
    unaboa sana na gazeti lako hakuna atayesoma!!
    ni kweli jaman humu maotelini nyie acheni yan kuna mpaka hidden cameraz wanakuchungulia ukiwa uchi,wanya,wakojoa na katika majamboz,yani nalala tu hotelin bt amani hakuna najua tu room fulani secretly are watching you!
    nyambafu sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...