Hi my fellew Wabongo,
first and foremost I salute you. Kutokana na maoni ya wengi wanaopenda kutembelea
wameshauri kuwa wengependa kutembelea websites na blogs kubwa za bongo kupitia midundoglobe.com.
Tunapenda kuwajulisha tumeshafanya kazi hiyo.Find multiple Tanzania's websites and blogs such as;IssaMichuzi blog, IppMedia, Darhotwire, Bong5, BongoUnited, hi-5 Klyinn and moreincluding popular Internet Radios on www.midundoglobe.com
just right on home page.
Tell us what else would you like us to do? We promise we'll do our best to honor your comments.Always make life easy with midundoglobe.com. Please forward this message to your friend.
Thanx a lot.
James Tims.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Tatizo la vijana wengi wa kibongo ni kuwa hamna mawazo. Kila mtu anayefungua site analeta za kuleta, yaani hamtofautiani hata. Ebu niambieni mnatofauti gani kati yenu na Bongo5? Kumbukeni si kila mtu ni wanna be. WaTz wengi tu do not like haya mambo ya flava labda kwa wale walio Bongo na hawajatoka nje. Leteni muziki wa nyumbani Sikinde, Msondo, Vijana Jazz katika redio zenu then mtaona watu wengi wanakuja kwenye site zenu kusikiliza lakini si haya masuala ya u-wanna be halafu lafudhi kuuuuubwa kujifanya black americans...people do grow up, msituletee masuala ya kitoto hapa.

    ReplyDelete
  2. ningeomba kuuliza,hii website ina-share mahost au mahost ni wabongo tu?nilikuwa sijawahi kuingia ndio kwanza nimeiona,sijajua bado kama ni mpya au la,ila sitaki nibiliv kwamba ni ya kitambo kwani mahost wake wanaomba maoni nini kiondolewe na nini kiachwe,kwa mtazamo wangu,kama mahost ni wabongo ni bora kuziengua hizo bendera za marekani,na kwenye zile box zipeperushwe bendera ya tz,ni bora uweke vitu vingine vya marekani kuliko kupeperusha bendera yao,tena iko juu kabisa....iz shame hata kama mnaoimiliki mnaishi huko..nosense........nawakilisha!!

    ReplyDelete
  3. Samahani,mi swali langu alikuwa na maana gani katika mstari wa kwanza alipoandika 'my fellew wabongo' nisije kukosoa kumbe mie ndio sijaelewa,nisaidieni wadau.

    ReplyDelete
  4. naomba mtoe bendera ya US kama nyinyi ni Wa Tanzania.

    ReplyDelete
  5. tunaomba vile vile kudownload. tupo tayari kulipa kwa ajili ya hao madogo. endapo zitawafikia!!!

    ReplyDelete
  6. Mimi nilichoona kwenye blog yako ni kuwa huipendi nchi yako kwa kiasi kikubwa na pia unapenda sana mademu. Keep trying.

    ReplyDelete
  7. Yani tukatafute blog ya michuzi mwenye home page yako, wakati wewe mwenyewe unatumia blog ya michuzi kujitangaza! ah
    sikukatishi tamaa lakini fikiri kabla ya kutenda
    kila la kheri.

    ReplyDelete
  8. Nitaanza kwa kiswahili: Mtandao wenu ni mzuri lakini du mlivyopanga matangazo hayana mpangilio maalumu. Yaani mengine yanatembea tembea hayo mloweka kulia kwa ukurusa wa kwanza. Nimeangalia kama dakika tano lakini nimejisikia kizunguzungu.

    ...................................
    I have to honest with you. The idea of your website is good but your website is not user friendly. Some of the adverts scrolling on the right column, had i been suffering from epilepsy, which i'm not, i would have not found this interesting.
    You need to re-organise it, get back to the drawing board and decide what you want to put on the website and decide what is the best way to present. It is not just adding words, adverts, you need presentation skills here.

    I'll give you 3/10. I'm only doing this because you have asked for opinions

    P.E.D

    ReplyDelete
  9. Please visit this site kwa mambo ya maana na yenye umuhimu kwa Taifa letu: www.varsitycollegetz.ning.com

    ReplyDelete
  10. duh ndugu yangu hiyo site yako unatarget watu wa umri gani? color zako hazijielezi manake kuna color za zinazoattract infant mpaka high school kids. Bright color, dark color etc etc be serous kama unataka watu waingie kwenyesite yako na kupoteza japo dakika tano zao. Hiyo color ukikaa kidogo tu macho yanaanza kukataa kukaa hapo

    Halafu mbona unawapa watu kizunguzungu hivyo. Mavitu mengiiiii mengine yanakimbia duhhh kazi kweli kweli.

    na kama ni playbiy site you need say so before. Kuna watu wengine taste zetu sio skimpy people

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...