Michuzi na wadau,
Nilikuwa naenda kazi leo asubuhi ndo nikasikia hii issue ma celebrity wa uk wanakuja panda mlima k njaro soon akiwemo mke wa ashley cole chris moyales na wengine wengi. wanakuja kupanda kwa ajili ya charity appeal kubwa sana hapa uk. inaitwa red nose day. watautangaza mlima sana cha kufuatilia ni kwamba watapandia kupitia wapi? kenya au rombo? na je wizara ya utalii iko aware na hii deal?
hili tukio ni kubwa sana kwa publicity mara 10 zaidi ya matangazo kwenye mabasi na tube.wale wa uk they can confirm this. Warning wataonyesa jinsi watoto wanavyo kufa Dodoma na Maswa na wanadai ni kila baada ya sekunde kadhaa.
nimejaribu kufuatilia but sijajua root watakayo pitia zaidi bofya hapa: http://www.rednoseday.com/climb/a_million_reasons
mwana harakati wa rombo
Mdau GAS


quote mdau GAS 'nimejaribu kufuatilia but sijajua root watakayo pitia zaidi'
ReplyDeletesijui una maana ' hujajua mzizi gani wa dawa za kienyeji wanao upendelea/watakaoufuata/watakao unywa zaidi?
Siku hizi ni kupanda mlima na pia kupata alternative medicine!
david backham na u2 bona pia wanatia timu kwenye huo mlima,
ReplyDeletehata mimi ilikuwa najiuliza hawa jamaa maarufu wakija hapo,huenda wakaupandia kwa ulango wa uwani,yaani kenya,kwabile hapo bongo hakuna habari zozote za kuja kwao,na wala hawafatilii viongozi wanao husika na mlima kupitia kwa ambasy ya u.k na us waliopo bongo kujua habari zao, pia kama backham aakuja hapo,waandishi wa habari dunia nzima itakuwepo hapo bongo, nadhani kama kupitia kwa u.k ambassy tff na wizara ya michezo wanaweza kuongea na backham kushuka hapa uwanja mpya wa taifa,japo apige shuti mpira tu,yule jamaa ni masifa atakubali,kwa kitendo hicho tu,basi soka ya bongo itajulikana na kuzungumzwa dunia nzima, hilo itakuwa ni dili moja la soka nchini.
mdau-belgium
we gas kazi unafanya rombo au? na hiyo redio ni rtd au kbc?
ReplyDeleteNA MIMI PIA NAKUJA,POA TUU NAJITANGAZA MWENYEWE.
ReplyDeleteChris Moyales ni racist africa anenda kufanya nini wakati anawaona watu weusi kama siyo binadamu?
ReplyDeleteWajaribu kupandia Kenya halafu wakakataliwa pia itakuwa publicity ya kutosha.
ReplyDeleteGUYZ LETS BE HORNEST HAKUNA MTALII ANAEPANDI MLIMA KENYA WOTE LAZIMA WAINGIE TZ KUPITIA OFFICIAL BORDERS
ReplyDeleteHabari Kaka Michuzi, hii ni taarifa muhimu sana kwa wapenda maendelo ya Taifa hili...naomba ikiwezekana uitoe vizuri na kubadili headline ili wadau tutoe maoni jinsi hizi mamlaka zilizopewa kazi ya kuendeleza utalii walivyolala usingizi fofofo. Sioni sababu ya kuwalaumu wakenya kama wakitupiga bao kwenye opportunity nyeti kama hii. Why do we spend billions of money kujitangaza kwenye mabasi London wakati tunapata fursa za kupata publicity kama hizi. TTB wako wapi? Issue zenye ten percent wako mstari wa mbele, jamani lini tutabadilika!!! Naombeni waandishi mfuatilie habari kama hizi na kuzitoa kwenye media zenu at least wabongo wapate kujua nini kinaendelea , labda TTB pia watashtuka.
ReplyDeleteMdau unasema wanaenda kupandia Kenya haiwezekani wakapandia Kenya labda wanaenda kuuangalia kupitia kenya kwani mlima wote wa Kilimanjaro upo Tanzania.Kenya wanauona tu *(Leeward side).Mimi nimeshapanda na nafahamu vizuri na kwa uhakika zaidi ingia kwenye website ya Tanzania Tourism ndio utapata habari zaidi kuhusu Mount Kilimanjaro.Haiwezekani kupandia Kenya
ReplyDeleteMjusi
wadau hii issue inaonyesha jinsi infrastructure zetu zilivyosambaratika au hazipo kabisa!
ReplyDeletenimucheck webasite ya pua nyekundu kuna link ukizisoma zinakupa the 411 of what is going on.
kwa mfano link ya http://www.rednoseday.com/climb/diary/meet_the_mountain inatoa information kuhusu mlima kilimanjaro BUT haisemi chochote kuhusu tanzania haisemi mlima upo nchi gani and not everyone in UK anajua kilimanjaro ipo tanzania(wengine wanajua upo kenya)
kitu cha pili muhimu sana ni benefits tunazopata kutoka hii trip ya hawa ma celebrity.ukifuata hii link http://www.comicrelief.com/how_your_money_helps/by_geography/no_flash/490 ambayo nimeikuta from site ya hao pua nyekundu inaonyesha projects zinazokuwa funded na events or trips of such nature.ukichagua Tanzania kuna projects 14 funded with a total of £17,436,477 .ukichagua kenya kuna projects 26 funded with a total of £17,428,634!
kuna difference ya £7,843 lakini wana projects nyingi zaidi.
swali langu kwa wadau ni kwamba nani ananufaika regardless mlima unaanza kupandiwa kenya au rombo?
mimi nilichimaind tu ni kutotaja kuwa mlima upo Tanzania wao wamesema tu Mount Kilimanjaro is the world's highest free-standing mountain at 19,340ft (5,895m) above sea level sasa tunatangazwa vipi hapo?anyway ni hayo tu wadau.
wakitua kwa watani pale lazima wakatie Tz yan ao macelebrity watajua tu kumbe adi Tz???
ReplyDeletewee annon TTB ndo nini?naijua TBC1 na radio!
ningekua nahusika-husika yan ningepitia balozi za america au UK na kuwatek kabisa ao wageni wapitie Tz mlima uko Tz k,uko kwingine ni mlango wa uani tena watasumbuka saaaaana na miusafiri ya mibasi na mambo ya visa border so ease way n right way ni Tz full-stop.
jaman siku nilikua pale KIA nilichoka kabisaaaaa yan watalii dege zima wameshuka tokea jirani zetu waja kutalii mt Kilimanjaro na mbuga zetu,,seriously nkasema jaman siku zingine pitien bongo msipate usumbufu huu wa visa,,,ooooh nooooo
its so sad yani tuvozubaa (board ya utalii Tz)!!Mr.TENGENEZA BADO UPO??????
mlioko ilaya mna ndoto nyingi sana, mpo kama mmelogwa kwa kuwaabudu hawa wabaguzi wakubwa. wankuja kuutangaza mlima au wanakuja kutangaza vifo vya watoto kial baada ya sekunde tanzania, huu ni upuuzi, hawa wazungu wanafikiri tunakufa kama nzige, nyie mwashangilia. Hapa denimark wamejaza makopo kama yale ya matonya supermarket, wameandika HELP ZIMBAMBWE. WANAWAONA WAJINGA MNAVYOWASHOBOKEA.
ReplyDeletenaomba kukosoa na kusisitiza umuhimu wa , na . bwana ona alivyoripoti hapa
ReplyDelete"akiwemo mke wa ashley cole chris moyales na wengine wengi" ukisoma hapo utafahamu kuwa chris moyale ndie mke wa ashle cole jambao ambalo sio sahihi. kama sikuwa najuwa jina la mke wa ashle na kujuwa kuwa chriss ni dj wa kiume ningelipata taarifa ya uongo. alitakiwa aandike namna hii
"akiwemo mke wa ashley cole, chris moyales na wengine wengi."
sijui ni kwa nini umeweka warning kwa kuwa wataonyesha watoto wanavyo kufa Dodoma na Maswa. mbona wanaonyesha kila mwaka? infact moja ya clip ya mwaka jana ambayo walionyesha ilikuwa na title "she is 18, she is leaving home" ilionyesha mtoto mdogo wa miaka 18 mwenye ukimwi taabani akipelekwa hospitali na ndio basi hakurudi nyumbani mzima. pia walionyesha tunavyoteseka na malaria na ukosefu wa hospitali, madawa na vyandarua.
ReplyDeleteProgramme ni nzima inaonyesha bila ya kuficha matatizo yanayowakabili watu sehemu mbali mbali za dunia hasa afrika. lengo ni kuwafanya watazamaji waingiwe na huruma zaidi na kutowa michango kusaidia wasio na uwezo.
demu wa Ashley cole na group lake la music wanakuja pia march 14 kupanda mlima bongo
ReplyDeleteMdau uliyetoa taarifa tunakushukuru sana. Ila swala la kutangazwa vibaya kwa vifo haliepukiki. Tena huku hawatangazi kuwa ni nchi fulani wanasema ni Africa. Tunajumuishwa waafrica wote.
ReplyDeleteJuzi usiku Dr2 tv hapa Dk walionyesha ugonjwa fulani wa watoto Nigeria. Ni bacteria wanashambulia mdomo. Wamemuonyesha mtoto mdomo mzima umeliwa liwa kwa kifupi lips hazipo limebaki lishimo limeliwaliwa. Na wakawa wanasema huo uonjwa upo Africa. Hawa specify nchi. Nilijua kuwa ni Nigeria kutokana na matamshi ya wale madaktari wesi na nguo za ki nigeria walizovaa.
ebwana ulie post hii vzr sn,huu ndo mfano wa uzalendo wa kweli,wahusika huko bongo wasilianeni na tourism board kuhusu hili ni muhimu
ReplyDeletemdau alosema kuwa mke wa ashley na group lake wanakuja kupanda mlima umesema uongo. ni celebrities tafauti wanaokuja na kati yao mke wa ashley na kimberly tu ndio wanaotoka katika group yao watakaokuwemo katika msafara huo.
ReplyDeleteNa nyinyi mnaopiga kelele kuwa wanaohusika wajulishwe huko nyumbani mnadhani kuwa hawana taarifa? hivi mnadhani haya matayarisho yanafanywa kikabwele? yamepangwa zamani, fanyiwa reserach nini na wapi warikodi na stori gani waeleze. Matukio yote yamepatiwa ruhusa na baraka za serikali. hili si jambo jipya BBC kila mwaka inaleta celebrities tanzania na sehemu nyengine za afrika kupresent katika kipindi chao hicho cha red nose, na daima serikali zote hujulishwa in advance.
alosema beckham na u2 wanakuja habari hiyo umesoma au kusikia wapi? sio kweli kabisa
ReplyDeletesamahani kwa wana kamusi niya yangu ilikuwa siyo kuchafua lugha. nadhani ujumbe umefika wanaojua kuandika waandike.mie ni mwana harakati (activist) wa mlima k njaro. kama utakumbuka nilishawahi tuma post ingine juu ya huu mlima. sina blogu. na si hitaji. nikiwa na blogu michuzi atakula wapi?kwa taarifa zenu nyie wana kamusi hiyo siyo original nilotuma kwa michuzi. imekuwa tranlated from kichagga then ndo michu kaiweka.huyo anaye ni sahihisha kuhusu girlz aloud gold diga hajakosea jina kamili la mumewe ni CASHLY COLE kama unabisha muulize michuzi. na anayesema chris moyo ni resisit basi hajui utani ni dj mmoja mzuri sana. ila ana matani ya nguoni saa nyingine. simtetei. Gas
ReplyDeletenaungana na anayesema border ifungwe wakati wa kupanda. itatupa publicity kubwa saana lets change negative to positive guyz.bad newz is always a good newz.
ReplyDelete1. hawa watu wanakuja kufufua au kuendeleza career zao.
ReplyDelete2 ni sawa na wale wanao perform kwenye make poverty history lengo lao ni moja free publicity hawajali nini wala nini. na hatakaa wamalize malaria.hivo basi nasisi tu tumie huu muda kwa ajili ya publicity!!
CHRIS MOYALES NAYE CELEBRITY NENE KA NGURUWE MIMATE YANAMTOKA AKIONGEA KA ZEZETA.
ReplyDeletesikiliza wewe ashley cole amepandikizwa hilo jina la cashley cole na wapenzi wa arsenal kutokana na alivyoeleza katika autobiography sababu za yeye kutoka arsenal. sababu kubwa ilikuwa ni mshahara na ndio wapenzi wa arsenal wakasema ameondoka kwenda chelsea kufuata pesa na ndio wakambandika CH mbele ya ASley kupata neno CASHLEY kwa hiyo sio kweli kuwa jina lake kamili ni CASHLEY COLE.
ReplyDeleteAma kuhusu chris moyes you either love him or hate him jamaa hajali mtu, anasema analotaka na hajali mtu, binafsi nimeacha kusikiliza kipindi chake, ila akitokea kuwepo kwenye tv huwa natulia na kusikiliza vituko vyake. is he Racist? well it depend how you define the word RACIST. maana ukitizama maana halisi ya racist basi watanzania takriban wote wanaingia katika kapu moja.
********JAMANI WATANZANIA TUNA NINI?******* SASA ALIEDAI RED NOSE DAY WANAPANDA MLIMA KUPITIA KENYA AND THEY DID NOT MENTION UKO TANZANIA NI NANI!!! HEBU SOMENI HAPO CHINI!!
ReplyDeleteWATANZANIA LETS START WORKING WITH FACTS, AND MAY BE WE CAN BRING CHANGE TO OUR COUNTRY!!! HAYO TUU. MDAU UK; NA NDIO NIMEWEKEZA NYUMBANI SEMA LINGINE!!
02Feb
Meet the Mountain!
How much do you know about the mountain our brave team will soon call home as they battle their way to its peak?
Here's the first part of our guide that will make sure you know everything there is to know about the BT Red Nose Climb:
Mount Kilimanjaro in Tanzania is the world's highest free-standing mountain at 19,340ft (5,895m) above sea level.
As they make their way to the top the team will encounter almost every type of environment found on earth - from tropical rainforest and desert, to alpine meadows and arctic conditions.
The entire giant structure is a mammoth volcano - one of the biggest on earth - and if that's not scary enough its classed as dormant, not extinct!
It couldn't could it? Almost certainly not, but steam and sulphur are still emitted to this day from Kilimanjaro's youngest cone, Kibo.
Kilimanjaro's summit is called Uhuru Peak which in English means 'Freedom'. On the peak itself there is a wooden box containing a book in which almost every individual to reach the summit has recorded their impressions of the world from the highest point on the African continent.
border zifungwe? hivi una akili timamu wewe? tanzania wamekuja A-list celebrities na hakujafungwa mipaka leo hawa c-z list ndio tufenge mipaka? watanzania tushukuru kuwa wewe si kiongozi katika nchi yetu, duhhhh
ReplyDeletewewe mdau UK usitake kuwafanya watu vichaa hiyo imekuwa updated mimi nimesoma leo asubuhi mstari uliandikwa Mount Kilimanjaro is the world's highest free-standing mountain at 19,340ft (5,895m) above sea level
ReplyDeletesasa mimi nikiwasingizia napata faida gani?halafu usifikiri niliisoma kwa pupa hiyo habari nimeisoma na nikaenda katika link zao zote na nikajumlisha how much is going to be spent in Tanzania na nikacheck how much is going to be spent in Kenya.
sasa wewe umeenda kusoma sasa hivi baada ya wadau kuwatumia email hawa jamaa kimpango wako ..
mzalendo wa kufa mtu
facts mbona zimewekwa hapo juu kiasi gani kitatumiwa kwa maendeleo Tanzania na ikatolewa sababu?
ReplyDeleteHalafu hakuna aliyekuuliza kama umewekeza nyumbani au la na kwa taarifa yako wawekezaji serious hawana time ya kujitangaza kumbuka chema chajiuza kibaya chajitembeza naona mwenzetu upo matembezini UK
LMAO
cashley cole bwana wewe mbona watu wabishi hivo? wewe umeshatoa sababu za kubadilisha jina then unadai haitwi Cashly? au wewesi mpenzi wa kandanda?
ReplyDeleteHiyo ni kazi ya mama Maajar kuwaelza watu wake wa serikali huko bongo, si moja ya kazi yake hapa UK?? Sio kutwa kuifagilia CCM tu hapa London haitusaidii sana hapa UK sisi wote ni watanzania hatujali itikadi.
ReplyDeleteWASHIKAJI HILO DEAL VIPI SI MUMPIGIE PANDE MSHIKAJI WA KIPEPEO TOURS ANAJITAHIDI KWELI KIJANA WETU NA NI KAMPUNI YA MZAWA YANKII TUU HEBU PIGENI DEBE WASHIKAJI KWA WENYE KIU YA WEB YAKE NI www.kipepeotours.com
ReplyDeletewale wavivu wa web basi email yake ni info@kipepeotours.com