Polisi Dar es Salaam inamshikilia raia wa India, Vinoth Praven (23 ) aliyechuchumaa chini kulia,kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara mwenzake, Abdulbasiti Abdallah (21), aliyechuchumaa shoto, ambaye mwili wake ulikutwa ndani ya begi la nguo katika Jengo la Harbour View Tower katika Mtaa wa Samora.
Aidha, inawashikilia kwa tuhuma hizo, mke wa Praven aitwaye Komal Katakia (22), wakwe zake Bupindra Jerah (61) na Malti Bupindra (46), pamoja na rafiki yake, Abraham Akbar (23) ambao ni raia wa Tanzania wenye asili ya Kiasia.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema Polisi inawashikilia watu hao kwa tuhuma za mauaji ya Abdallah ambaye mwili wake ulikutwa katika Jengo la Harbour View Tower (zamani JM Mall), ukiwa kwenye gari lenye namba za usajili T546 AMH aina ya Toyota Corona, lililokuwa katika maegesho kwenye ghorofa ya kwanza ya jengo hilo la Mtaa wa Samora.
Habari kamili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Nilidhani aliyeuwawa ni MZARAMU mwenzetu.. kumbe ni wao kwa wao.
    ANYWAY: vyombo vya dola viwasaidie.

    ReplyDelete
  2. acid ilikua hamna akaamua kuua? manake hawa kwa kumwagiana tindikali hawajambo

    sad

    RIP

    ReplyDelete
  3. huyo dawa yake asimamiwe na yeye ajinyonge mwenyewe mbele ya wananchi wa tanzania,baniani fala wee.

    ReplyDelete
  4. watu wakisema hawa wahindi si watu wanaoneka wabaguzi...hebu oneni huyu kamuua gabacholi mwenzake anakimbilia ugabacholini kwao[india] sasa angekua kamuua mndekereko au kaiibia serikali yetu si ndio angeweza kutokomea na kuwaa hasara kwa Tanzania yetu? Wahindi$%^*@**+*$$-/**9#€!

    ReplyDelete
  5. yani unamuua mwenzako kwa million 25. kwani ela kitu gani?unaona bora kitu kuliko utu,while he was your best friend,ama kweli kikulacho kingoni mwako.tatizo nyie mabaniani hamna dini ndomana hamujali utu,watu mnaoabudu ng'ombe kweli huwazi kumthamini binadam mwenzio.ili ujue maana ya utu,itabidi na ww tukinyonge kwa vijiti vya cherewa ili iwe fundisho kwa wengine hasa nyie baniani cheeh.

    ReplyDelete
  6. jamani hahahaahaaa sasa mitusi yote iyo kwa "rangi iyo"yatoka wapi?
    hahahaaaa teh teh teh,,,kaaaazi kweli afu sijaelewa kbs ivi kwanini hii khabari imeletwa apa?michu vipi?mboni matukio aya kuuana yapo tuuuuu meeeengi ila awa jamaa umepost,,,kuna habari za msingi sana za nchi yetu Tz mf.vitalu vilivyouzwa,kesi za raia na wamiliki migodi wala hatujui zaishaje jamani
    anyway

    ReplyDelete
  7. Hawa Bwana wameuwana na bishara zao za Haramu tu Tanzania lazima wachunguze, huyo aliyeuwa anazaniwa tu kauwa bado haijulishi kama kweli, Tanzania mtu akiwa na chuki na mtu ndio wengi wataanza nafikiri flani ndio kauwa, Fanyeni uchnguzi vizuri. Mwenyezi mungu amlaze jamaa mahali pema inshallah. Jamaa hawa bwana wanakuja nchini hatufatilii wageni mwisho kumbe biashara mbovu wanauwana. Pazi.

    ReplyDelete
  8. ACHENI WIZI WA MALI ZA WATU/WATANZANIA..

    ReplyDelete
  9. hawa jamaa wanaletana hapa bongo kibao kinyume cha sheria na wanalindana sasa biashara zao haranu zikienda vibaya wanaanza kuuwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...