Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk. Batilda Salha Burian na Dk. Byung - Wook Lee Makamu Waziri wa Mazingira - Korea wakitia saini mkataba wa makubaliano baina ya Tanzania na Korea ya kusini katika nyanza za Hifadhi endelevu ya Mazingira jijini Dar es Salaam leo. picha na mdau Ali Meja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...