Vodacom Tanzania ndio wadhamini wakuu mwaka huu ambapo jumla ya washindani 48 watateuliwa kuingia fainali hizo. Mwaka jana mshindi alikuwa Misoji Nkwabi ambaye pamoja na mkataba wa kurekodi pia alinyakua dola 15,000.
Zawadi ya mshindi wa mwaka huu bado kutangazwa lakini inasemekana Vodacom watamwaga lazi mardufu kama kawaida yao.
huyu dada nampendaga ile kinoma! hi ritha i love you baby
ReplyDeletekwa kweli huyu dada hata mimi huwa nampenda sana. ana upendo sana pia.
ReplyDelete