baadhi ya wageni waalikwa na maafisa wa ubalozi wa nchi kadhaa wakiwa katika ukumbi wa diamond jubilee hall kuhudhuria ufunguzi wa mkutano mkuu wa nne wa chama cha wananchi (CUF) ulioanza leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Habari za kazi Mr Michuzi? pole na kazi.

    Napenda kuwakaribisha watanzania popote pale walipo duniani kuchangia mawazo yahusuyo maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla kwenye ka blog kangu kachanga. Blog yenyewe ni kama ifuatavyo:

    www.malkiory-matiya.blogspot.com


    Mdau,

    Matiya.

    ReplyDelete
  2. JANA USIKU NILISHANGAA KUONA VYOMBO VYA HABARI HAVIKUONA UMUHIMU WA KUTANGAZA UZINDUZI WA MKUTANO WA CUF WAKATI VYOMBO HIVYOHIVYO VIKO MBELE KUDAI HAKI YA KUPASHANA HABARI! BAADHI YA VYOMBO HIVYO VILIVYOWEZA KUTANGAZA HAVIKUUPA MKUTANO HUO UMUHIMU WOWOTE, HERI YA ITV AMBAYO HAIKUONA SABABU YA KUUTANGAZA KABISA ZAIDI YA KUTUMIA ZAIDI YA ROBO SAA KUMTANGAZA MENGI! HALI HII INAWEZEKANA INATOKANA NA CUF KUTOKUWA NA BAHASHA AU MSOSI KWA WAANDISHI HABARI.

    ReplyDelete
  3. Nawashauri vyama vya kisiasa vya upinzani kuanzisha TV zao, redio na magazeti, ili muweze kujitangaza , kwani wenzenu wanawatilia vitumbua vyenu mchanga kwa kupitia mitandao hii
    M3

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...