Habari za kazi wanamtandao wenzangu.
Kwanza tunapenda kuwaomba radhi kutokana na kutopatikana hewani kwa website yetu ya Dullonet hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Naomba kwa muda muweze kutupata katika link ya
mpaka hapo tutakaporekebisha tatizo hili lililotupata.
Tunaomba radhi kwa mara nyingine lakini kwa kupitia link hiyo mambo yataendelea kama kawaida.
Dullonet Daima.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HATUTAKI NA WALA HATUKOMENTI KITU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...