ni leo katikati ya dar ambapo nyasi na takataka zikichomwa moto. redio mbao zinasema haya ni maandalizi ya ujenzi wa ukumbi wa kisasa wa mikutano wa kimataifa unaojengwa na serikali ya nanihii
kama winta vile...




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. KWA MAONI YANGU HUU NI UCHAFUZI WA MAZINGIRA HAKUNA NJIA YEYOTE YA KUTEKETEZA TAKA HIZI ZAIDI YA KUCHOMA MOTO MKUBWA IN CETRAL DISTRICT BZNEZ.KIZAMANI KWELI.

    ReplyDelete
  2. he he he,kaka misupu umenichekesha sana....sio winter kaka,inaitwa fog

    ReplyDelete
  3. sina mbavu lol

    ReplyDelete
  4. kulikuwa hamna sababu ya kuchoma moto kwanini wasitumie njia ya recycle, huo uliofanyika hapo ni uchafuzi wa mazingira na hali ya hewa.

    ReplyDelete
  5. kulikuwa hamna sababu ya kuchoma moto kwanini wasitumie njia ya recycle, huo uliofanyika hapo ni uchafuzi wa mazingira na hali ya hewa.

    ReplyDelete
  6. kulikuwa hamna sababu ya kuchoma moto,kwanini kama kulikuwa na uwezo wa kujenga hilo bonge la ukumbi wa nanihii kwa nini ishindikane kufanyika recyle, huo uliofanyika hapo ni uchafuzi wa mazingira na hali ya hewa kwa viumbe hai.

    ReplyDelete
  7. KUCHOMA MOTO MIJINI NI STYLE ZA KIZAMANI SANA.
    YAFAA SASA WATU WASTAARABIKE KULINDA AFYA ZAO.

    ReplyDelete
  8. Inaonyesha jinsi gani manispaa ilivyolala, hapo ni lazima wapate kibano na faini kali, nani aliwapa kibali cha kuchafua mazingira hivyo, jamani hata kuidhibiti mioto tunahitaji maexpatriate, c'mon manispaa amkeni!

    ReplyDelete
  9. Sasa Mkuu wa wilaya ya nanihii na balozi wa Z tunaomba ututajie hapo ni wapi labda uliwahi kupataja nimesahau.thanx

    ReplyDelete
  10. Nyie kila siku wenzenu wanapigana na Carbon emission nyie bado mnajaza mimoshi tu, tena city centre! Kutokujua madhara yake hayo!

    ReplyDelete
  11. Anony wa February 11, 2009 8:42 AM

    Sasa Mkuu wa wilaya ya nanihii na balozi wa ZAINabu AU ZAINa tunaomba ututajie hapo ni wapi labda uliwahi kupataja nimesahau.thanx
    JIBU:
    Hapo ni Barabara ya Sokoine karibu na Makumbusho ya taifa (Palipozungushiwa bati) Mkabala na Makao makuu ya Magereza (zamani jengo la watumishi wa Posta na Simu) au Mkabala na Bunge Primary School na pia ni KITUPA JIWE (STONE THROW)kutoka zilipo Jengo pacha za BOT!!
    Nadhani nimejibu swali lakoeee Mdau Mpendakeroro...

    ReplyDelete
  12. khaaaaaaa moto posta?city center?
    ila kuna wapumbavu na mazezeta katika serikali za mitaa,acheni tu?
    hahahaaaa michu kweli ata mie umenivunja mbavu eti winter!!tih tih tih weee annon fog?uo ni moshi jameni,apo hawaadhibiwi wala nini km kawa tu
    ila izi kero basi tu tutafika taratibu

    ReplyDelete
  13. Basi ukipita hapo ukitoka unanuka moshi kama ulopiga fusho.

    ReplyDelete
  14. Hapo ni mtaa wa Shaban Robert ambapo majengo ya serikali yalibomolewa wakati huo walikuwa wakiishi maafisa wa serikali walihamishwa ili kupisha ujenzi wa nanii hii ni karibu na Ubalozi wa Wingereza na maofisi mengine. Ni miaka miwili toka wahamishwe.

    ReplyDelete
  15. Washkaji hapo ni town maarufu kama Holiday Out karibu na police post ya Gymkhana...wanafunzi wa IFM walikua wakipata mlo safi sana kabla ya sehemu kuvunjwa na jiji

    ReplyDelete
  16. watu wengine bwana.
    Sasa we Anony wa "February 10, 2009 7:34 PM". Kwani umeambiwa Michuzi hajui tofauti ya Ukungu (Fog) na Winter?
    Unafahamu kuwa ukungu hutanda wakati wa baridi. Sasa hapa balozi alikuwa anasema jinsi moshi ulivyozagaa utadhania ni wakati wa baridi. Jifunze kutafakari kabla ya kuongea.

    Na hawa manispaa, kwani haya majani si wangewapa wenye mifugo; au wangewapa wakulima watengenezee mbolea; au hata wangetupa tu dampo kwani yaongezeana na kutokomea, hakuna haja ya kuchafua hewa. Duh, kaazi kweli kweli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...