Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Makingamaji katika Kata yaMkonze, nje kidogo ya mji wa Dodoma wikiendi hii. Shoto ni Waziri wa Maji na umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, William Lukuvi. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Mchunguji wa kanisala Menonite, Dayosisi ya Kati, Amos Mhagachi. Mradi huo unaendeshwa na kanisa hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Balozi
    Rekebisha kichwa cha habari, umeandika Pinga akagua mradi wa maji badala ya Pinda....

    ReplyDelete
  2. Hawa nao unaenda kutembelea maeneo kama haya unavaa kama uko Darusalaam, kwa nini wasivae kikazi angalau waonyeshe wako siriazi???!!
    Mzawa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...