HI UNCLE ISSA MICHUZI ALL THE BEST WITH YOUR BLOG WEB. I'M SAMEER AZZAN 9 YEARS OLD I,M IN ROMFORD, LONDON. NAPENDA KUWASILIMIA WOTE HUKO DAR ES SALAAM PAMOJA NA MABABUZZ NA MABIBIZZ.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. UK barafu kidogo na magari yanashidwa kwenda vizuri.Ni muda marefu ilikua hajadondoka barafu nyingi kiasi hicho ila ni mwaka huu na kipindi hiki. Kwani ni miaka kumi na nane imepita ndio wanashudia barafu angalau nyingi kiasi.huku scandinavia imejaa marundo na ni kwawida kujaa na magari yanatembea.

    ReplyDelete
  2. Yeah ukerewe now kama uvinza wht a great moment to experiance!

    ReplyDelete
  3. hiyo jamani ni snow yakutangazwa kwenye news? ingekua imeanguka tanzania tungesema ni news. hapa canada snow kidogo hivyo huanguka wakati wa mwanzo wa fall. infact nchi za kaskazini na kusini za afrika uanguka nyingi kuliko hiyo ya london.

    ReplyDelete
  4. Mnachoshangaa mwingereza kutamba na hiyo barafu ni nini kwani?...kwani hamuelewi kwa mwingereza kila kitu ni BIG DEAL...sijui angekuwa na mbuga za wanyama ingekuwaje....TUSINGEKOHOA.

    ReplyDelete
  5. sasa nyie mnashindani nani "kwao" kuna snow au?
    grow-up yu poor things,so boring.mngekua na shughulli za maana msingeongea huu upupu

    ReplyDelete
  6. Mimi nina salamu kwa mzazi aliyemwandikia mwanae hii message kuwa, ROMFORD iko ESSEX na siyo LONDON. Ungeweza kusema Romford, UK ila sijui nini ikabidi uongeze London.....(Ni sawa na kusema BAGAMOYO, DAR ES SALAAM)!?..MHHH

    ReplyDelete
  7. Jamani mbona sie kule minazi mirefu wakati tupo machalii tulikuwa tunakatazwa kunywa vinywaji vya baridi kama soda,maji ya baridi,ice cream nk tunaambiwa tungepatwa na ngiri au kifua lkn huyo mtoto hapo kailalia kabisa hio barafu na siajabu akirudi ndani anaenda fungua friji anakamua ice cream na maji ya baridi kama kawa.hii imekaaje?

    ReplyDelete
  8. wabongo sie kwakutoa kasoro tumebalikiwa,tujaribu na kugundua vitu basi jamani sio kutoa kasoro peke yake.
    AHSANTENI

    ReplyDelete
  9. seriously speaking, wabongo wengine inabidi tupunguze kukosoa. kuna vitu na mambo ya kukosoa jamani!!!!!!!! this poor mtoto alikua anatuma salamu sasa wengine mmeanza kutoa kasoro kuhusu picha yake na Romford iko wapi? what the hell!!

    ReplyDelete
  10. Yaani iko kiji snow kimekuwa bigi dili kiasi kwamba hata magari ayaendi mwee!
    sasa hii snow ya hapa canada ikiamia huko si ndio mtamkuwa


    amtoki nje!
    thinoo thinoo duh!!

    ReplyDelete
  11. UNAJUWAJE ROMFORD HIYO NI YA MTAA SI MJI, KWANI MITASA MINGI YA LONDON KUNA MIJI YAKE UPCOUNTRY. KARIBU MITAA YOTE INA MIJI HUKO UPCOUNTRY.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...