mdau, mkuu wa wilaya ya nanihii na balozi

salamaleko!

mie bwana napenda kwanza kuwasifu kinamama na kinadada kwa unadhifu wa kupiga pamba pamoja na kubeba mabegi yanayopendeza.

sasa swali langu ni je kinamama na kinadada huwa wanaweka nini kwenye mabegi hayo ambayo mengine huonekana makubwa na yamesheheni?
samahani kama nitakuwa nimemkwaza mtu, kwani kuuliza si ujinga...

Mdau Mikindani


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 57 mpaka sasa

  1. Khanga ni muhimu mno ktk pochi/mkoba wa mwanamke. Maana zipu yaweza kutatuka au kuharibika wakati wowote. Pia ni uamuzi wa mtu kubeba apendacho ktk pochi/mkoba wake. Wengine wanabeba vipodozi pia.

    ReplyDelete
  2. handbags ni urembo tu kakayetu,ukivaa ukipendeza handbag na yenyewe inaongeza nakshi kama mwanamke,ndani hakuna cha maana zaidi ya walet na poda kidogo,na kina mama wenye watoto basi huweka kama chupa za maziwa na diapers na wipes na vitu kama hivyo,ila iwe kubwa au ndogo zote ni kuongeza nakshi ya udada tu

    ReplyDelete
  3. 1) Always (Kama yuko kwenye nanihii)
    2) Kibanio Cha Nywele
    3) Make Up
    4) Wanja
    5) Kioo Cha Kujiangalia
    6) Kitana
    7) Mtandio
    8) Lip Stick
    9) Ndomu (Kama wa Kujirusha)
    10) Pesa
    11) Wigi
    12) Wallet (hata kama haina kitu)
    13) N. k

    ReplyDelete
  4. Swali zuri sana...nakushauri ukamuulize mamako mzazi

    ReplyDelete
  5. KAMA SEHEMU ULOTOKA "mikindani"
    so yanakuhusu nini wewe na mipochi yetu ndani?huna mke/girlfriend etc?

    anyway uwa tunabeba condoms na pills na vyupi vya kubadilisha

    ReplyDelete
  6. unauliza ili iweje? chungulia ya mkeo ndo ujue

    ReplyDelete
  7. Swali zuri sana mdau, humo huwa tunabeba vitu kama mafuta ya kupka labda baada ya kazi na poda, mda mwingine naweza kupita madukani nkanunua hata nguo nikaweka humo, au naweza kubeba viatu vya kubadilisha kama nimechoka kuvaa vyenye kisigino, hopefull umeelewa.

    ReplyDelete
  8. spea nmtu wangu ukipenda zana siunajua ziletarehe zao some times zinakuja ghafla sa ikiwa hivyo anakula kona sehemu anrekebisha mwendo mdundo pia na vipodozi wengine viwalo vya kubadili kwenda kuwaibia watu

    ReplyDelete
  9. Humu tunaweka kila kitu kuanzia vipodozi, perfume, pesa, cm, na vingine vya sirini!

    ReplyDelete
  10. vitu vya kujisafisha chini, perfume, deodorant kama ikihitajika, mipira ili tusipatwe magonjwa tukinaniii. unajua tena hasa sie tulio na vijiboyfriend hatuishi nao nyumba moja hatuwaamini,diary, peni etc
    ulishaga uliza ndugu zako wa kike wanaweka nini?

    ReplyDelete
  11. mara nyingi ni vipodozi.na wengine wanabeba tu km "fasheni"coz mwanamke handbag kaka..
    some keep confidentials coz anythin can happen..

    ReplyDelete
  12. We mdau sijui mtumbwi, kwani huna dada au shangazi, siwende ukawaulize wanaweka nini kwenye mabegi yao...!

    Uwe unakuwa mwili na akili, acha utoto....!

    ReplyDelete
  13. swali zuri kakangu, si akina mama tuna mambo mengi wakati mwingine. humo usishangae ukakuta vipodozi, nguo za emergency kwani wakati mwingine mambo uharibikia njiani. ndo vinavyojaza mikoba yetu.

    ReplyDelete
  14. Mambo kibao. Karatasi za usafi, kalamu, pochi, funguo, nguo za ndani, condoms, etc. Wanawake wako tayari kwa libeneke wakati wowote. Huwezi kutabiri mtanange utaibukia wapi. Ni bora kuwa tayari kwa lolote....lol!

    Mzee wa maishuz

    ReplyDelete
  15. mimi ni mdada mimi nina hand bag ndogo naweka
    1 .wallet
    2 .simu
    3 .ch**i
    4 .P**i
    5 .pen
    6 note book
    7kama kuna joto chupa ndogo ya maji
    8 dawa mfano "panadol"
    9 bibilia ndogo

    ReplyDelete
  16. Kama una rafiki wa kike au dada watakupa jibu sahihi ila hapa unatafuta lawama tu mshikaji wangu. lol

    ReplyDelete
  17. Mdau mikindani mimi kama mwanamke nakujibu kuwa mabegi ya akina mama yanabeba mambo mengi sana mengine ya siri sana unavyojua mwanamke any time mambo yanaweza kumribikia halafu cha kujisitili kikawa kiko mbali lakini anapokuwa na hand bag yake mkononi ni kama mwanajeshi au polisi hasau silaha yake anapokwenda vitani na lapili huenda tunaweka khanga kwa ajili ya kwenda msibani ukisikia tu taarifa za msiba upo tayari kwenda kama una kuhusu kwa vile huna haja tena ya kurudi nyumbani kama utakuwa ofisi au sehemi nyingine,na latatu mdau tunaweka vitu kama lipstic,make up set unajua tena mwanamke kupendeza muda wote uso unatakiwa ung'ale pia perfumu lazima iwepo ndani ya hand bag kwani mwanamke mazingira si kunuka kikwapa,powder na pesa na mambo mengine mengi yahusiyo kuwekw ndani ya handbag kubwa kama hiyo

    ReplyDelete
  18. swali lako zuri sana, ila nafikili ungeanzia kwenu kuuliza swali hilo kama una mama au dada.

    mimi huwa naweka salama,mafuta uzuri,mswaki,chupi ya spea,n.k sijuwi dada zako wanabeba nini waulize utapata jibu.

    ReplyDelete
  19. Inaonekana wewe mdau hujaoa au huna hata girl friend. Akina dada na akina mama wana mambo mengi sana. Kwanza anatakiwa awe na vitambaa vya kujifutia jasho zaidi ya kimoja, awe walau na toilet paper, awe na pedi ya dharula, awe na perfume, awe na mafuta na kioo kidogo, awe na lipstick, awe pia na kipochi kama wallet hivi kinachokuwa kimewekewa nyaraka zake kama kadi ya benki, kitambulisho, n.k. kwenye hiyo wallet ndiyo anaweka hata simu yake ya mkononi. Pia akina mama wanajipenda sana unaweza kumkuta mwingine ameweka huko hata juice chupa ndogo, biscuits, big G na vitu vingine vidogovidogo. Hivi vyote kwa wewe mwanaume havihitajiki. Nadhani umepata tafsiri ya kwa nini wanakuwa na mabegi saa zote kama anavyoonekana mama huyo kwenye picha.
    Mdau

    ReplyDelete
  20. hahaa swali limenifurahisha sana, mi najua watu ambao huweka vitu kama khanga just in case ikhitajika mahali, lakini wengine wana hobby tu ya pochi kubwa zinawafurahisha hivyo lazima kutafuta kitu cha kuweka ili shape ikae vizuri, kama wanaume wengine wanaovaa viatu vikuuubwa, just a hobby

    ReplyDelete
  21. ma alwayz!!!!

    ReplyDelete
  22. mmh kweli swali la kizushi, tuna weka mapampazi, loh mmbeya wewe,,,

    ReplyDelete
  23. ahahaha acha maswali ya kizushi watu wapo kazini..Nondoz zote mhimu zinakuwa humo

    ReplyDelete
  24. inategemea kwa wakati huo anakwenda wapi, lakini vipondozi (wanja, rotion, lipgrow/stiki, kioo nk) chanuo, khanga/kitenge/mtandio, notebook, peni, walet hivi ni muhimu kwenye pochi kubwa kama hiyo!

    kuna wengine wanakuwa mpaka na huduma ya kwanza (panadol,plasta) hizo pochi zinabeba vitu vingi sana hapo yupo full!!

    jasmin

    ReplyDelete
  25. WANAWEKA VITU VINAVYOHUSIANA NA AKINA MAMA, WEWE KAMA YOU ARE OVER AGE UTANIELEWA NINA MAANA GANI. AKINA MAMA NI WATU WANAOPENDA KUJIHESHIMU NA KUJIHIFADHI VIZURI, HUWEZI JUWA INAWEZA TOKEA AJALI YA AINA YOYOTE ILE THEN WAKAPATA NAMNA AU KITU CHA KUJIHIFADHIA. I HOPE YOU GONNA UNDERSTAND ME.

    ReplyDelete
  26. kuuliza si ujinga. jibu ni kwamba, mara nyingi unaweza ukaona wameweka vitu kama vile vya kuwasaidia kama wako mwezini, funguo, vipochi vya pesa, leso, kitana wakati mwingine kioo kidogo mafuta madogo nk.

    ReplyDelete
  27. akina dada naona leo wagumu kujibu huu uzishi, sasa kwavile mimi nawajuilia vizuri,wengi wa akina dada ni watulivu,lakini ni wepesi wa kukasirika,sasa mimi nawakasirisha kwa kuongeza uzushi ili tupate jibu la haya mabegi ya kwapa yaliyokuwa hayaishi hata kama munakwenda nymba ya pili ya jirani inakuwa manake ni nini,na kama mdau hapo juu anauliza mengine yanakuwa yamesheni ile mbaya yaani,ni nini hasa munaweka ndani yake

    thanks,kubwa la uzushi

    ReplyDelete
  28. Waaalykum msaalam shekhe.......Yaani leo nimecheka sana......Yaani hilo swali lako utani kama unajuwa na mimi kama nilikuwa nalifikiria.

    Ni kweli mkuuu swali lako zuri sana tena sana....Hao wakina dada humo ndani huwa hawaweki kitu kabisa zaidi wanajaza vipodozi na mavitabu ili begi lionekane kubwa wanasema etii wanakwenda na wakati sasa sijui wenzangu wana mawazo gani....Maana sidhani kama vitu alivyoweka humo vinatumika!!

    ReplyDelete
  29. angalia la mkeo utajua kinachowekwa, kama huna muulize mama, dada au jrani yeyote mwanamke atakufahamisha. acha uzushi.

    ReplyDelete
  30. Kwenye hayo mapochi makubwa wakina dada tunaweka vitu kama hand lotion,money, note book, lipgloss,bottle of water,a book, upande wa kanga, deodorant, manukato etc. kwa hiyo unaona ndugu yangu hiyo tosha kujaza pochi.

    ReplyDelete
  31. Whatever! Who is bothered? You?

    ReplyDelete
  32. hujakosea kabisa,hata mimi nashangaa wanake wenzangu,na mabegi makubwa kama ya dipper.tena sometimes wanakuwa na mabegi makubwa kwenye dance floor ha ha haaaa washamba sana ,utavaaje cocktail dress na begi kubwa kama la diper? kisa fake gucci basi hao wana yabeba kwenye mduwara.

    ReplyDelete
  33. angalia la mkeo, kama huna dada yako, kama huna mama yako, kama huna tafuta gf.

    ReplyDelete
  34. wewe kweli mzushi na unatafuta maneno na sisi wabeba mabegi makubwa kwa hiyo ungeishia hapo na hata sijui kam kuna mtu atakwambia ukweli humu. Ni kwamba hiyo ni siri ya mwenye begi tuu weye wayatakia ni ? mie hapa hata mume wangu huwa hajui naweka nini kwenye mabegi yangu kama anavyosema labda nabeba "vichwa vya watu" mana ukubwa na uzito umezidi .....utajijuuuuu!

    ReplyDelete
  35. Swali zuri-wacha nikupashe mdau mikindani. Inategemea na mwanamke anayebeba begi lenyewe. Normally lakini, mle ndani ya pochi kubwa kuna tena ka wallet/kapochi kadogo cha kubeba pesa, kuna various make up kama lip gloss na poda, snacks na labda changing clothes za kwenda kuworkout baadae? It just depends.

    ReplyDelete
  36. Ni fashion tu. Kama zilivyokuwaga fashion za aina nyingine kama enzi zile suruali za bugaloo,za njiwa style n.k. Kinachobebwa ndani ya pochi nadhani kiwe ni siri ya mbebaji tu. Asante

    ReplyDelete
  37. Ni fashion tu. Kama zilivyokuwaga fashion za aina nyingine kama enzi zile suruali za bugaloo,za njiwa style n.k. Kinachobebwa ndani ya pochi nadhani kiwe ni siri ya mbebaji tu. Asante

    ReplyDelete
  38. waTZ bwana, eti wanasema "Always" wakimaanisha "Visodo". Always ni "Brand Name" kwa Visodo kama vile Jassy, Tups nk.

    ReplyDelete
  39. khaaaaa
    mwanaume mmbeya wewe?heee are yu under 16 years au ushazeeka 70's?
    iyo ni siri ya binti/mwanamke
    dah jamaaa uyu?
    hahahaaaaaaa

    ReplyDelete
  40. Kati ya wote binadamu mchafu ni mwanamke.
    Mwanamke ni mchafu sana asipo oga masaa tu unamkimbia,akikojoa asipo safisha nanihii utamkimbia.
    Hawa watu wanabeba vichupi vyao vya kubadilisha mara kwa mara pamoja na vipodozi vya kupoteza harufu yao mbaya inayo nuka.
    Kama anavuja au yupo angani atabeba vile vifyonza uchafu.

    Mwanamke anaye jiheshimu hawezi akabeba condom kwenye bag ukiona kabeba basi huyo siku zote yupo katika bussiness kuwinda mabuzi. Lazima atakuwa hajatulia.

    ReplyDelete
  41. We unayesema wanawake wachafu kumbuka ulitoka tumboni kwa mmoja wao....rekebisha lugha yako maana inakushtaki kama hujaenda shule.

    NICHOLAS SEMIONI
    UK

    ReplyDelete
  42. mama mmoja yeye akiwa na mimba anabeba chupi za mumewe kila wakati ananusa hii akiwa na mimba.

    ReplyDelete
  43. Tupunguze 'usenene' jamani. Jamaa kauliza tu (kwa niaba ya wengi)tupate fahamu. Sio kila jambo mtu anaweza kumuuliza mamake au dadake! Mawazo na matumizi pia yanatofautiana, kama tulivyoona! Mjukuu wangu aliwahi kuniambia "ni urembo tu babu."

    ReplyDelete
  44. DILDOZ.........CONDOMZ.......ALWAYZ..........

    ReplyDelete
  45. Akili ni nywele kila mtu ana zake hivyo mdau hakuna kushangaa!

    LONDON (Reuters) - A milkman who admitted he delivered cannabis as well as pintas to elderly customers to ease their aches and pains, was spared jail on Friday.
    Robert Holding, 72, from Burnley, told police he supplied the drug to 17 customers after detectives raided his home and found nearly 6oz (167g) of cannabis in an egg crate in the van he used for deliveries.

    "He said he sold the cannabis to existing customers because they were old and had aches and pains," said prosecutor Sarah Statham.
    "He said he sold a 9oz (255g) bar about every three weeks and sold it for a relatively cheap value. He said that customers left him notes saying, for example, 'Can I have an ounce this week or can I have an eighth.'


    Holding, who admitted supplying and possession of the drug at a previous hearing, was given a 36-month prison sentence suspended for a year at Burnley Crown Court on Friday, the Press Association reported.

    Judge Beverley Lunt told him the sentence was "an act of mercy" because he visited his wife, who has Alzheimer's disease, every day in a care home.

    "You were not some philanthropist helping out the elderly out of the good of your heart. You dealt drugs for profit in a calculated way. It was a business," the judge told him.

    His lawyer Philip Holden said his client "wasn't making much of a profit" and that his oldest client was 92.

    "Word had got out that he was a man who could supply cannabis to those of a certain age with aches and pains and he misguidedly believed he was providing a public service," he said.

    After the verdict Holding insisted he had not made money from his drug dealing.

    "They (the customers) enjoyed it, they saved a lot of money while I was doing it and I only did it for a short time," he said.

    However Neil Standage, area crown prosecutor for East Lancashire, said there was no evidence that he was only supplying elderly people with painful ailments.

    "This might make it sound like what he was doing was harmless. It wasn't," he said.

    Reuters

    ReplyDelete
  46. Sawa akina mama majibu yenu yote ni ya kisasa na mjini, vipi hawa akina mama wa vijijini mbona hawana mabegi makubwa kiasi hicho, sis watoto wa miaka ya 1960, 1970, 1980 hatukuona akina mama zet na dada zetu na mabegi makubwa kiasi hicho! ina maana wao hawakuwa na hali kama zenu? tunaomba jibu sahihi. Kama hawakuwa nazo basi tusingezaliwa, mimi nahisi walikuwanayo, sasa kwa nini hawakubeba mibegi? NAWAKILISHA.

    ReplyDelete
  47. kakazetu msishangae,pochi iwe kubwa au ndogo zote ni urembo na kuhifadhi vitu vidogo vidogo kama lipstick,peni,walet,lesso,kanga labda au nguo au viatu vya kubadilisha,kama umevaa high heels then upo ofisini unataka kupumzisha miguu unavaa sandals mpaka muda wa kutoka then unarudia high heels zako au unaenda kwenye party unaweza high heels ndani mpaka ufike ndio unabadilishia na vitu kama brush ya viatu au nywele,
    kina mama ndio tulivyo tunapenda kuwa tarari saa zote kama wanajeshi,pia na vitu kama walet zetu etc,
    na kusema pochi kuubwa,hiyo ni style tu,kama style imeingia kubeba pochi kubwa basi unabeba kuvutia tu au kuwa na style yako unique,na pochi ndogo ndogo wanaita clutch ni za night parties unavaa unapendeza huna haja ya begi kubwa unabeba kadogo ndani ni few makeups basi,nadhani sasa mtatuelewa.
    kukeep urembo is a big job na nyendo ndio hizo ndani ya mabegi yetu,waswahili wanasema msione vinaelea..ukitaka mkeo ang'ae na kuwa msafi saa zote basi shurti wanja,poda,pedi,kitambaa cha usafi,vya kubadilishia viwemo ndani ya begi hawezi kubeba mkononi ati
    kwaheriii

    ReplyDelete
  48. heheheheeee
    wahaya wanasema ka nsheke!!!
    humo kwenye mahendbeg yetu ukifanya search utakuta ndani yake kuna vipochi tena kama vi3 hivi.kimoja cha vipodozi vyote muhimu cha pili cha hela na cha tatu cha notebook,kalamu handkerchief na simu.pia na mtandio haukosi,na pedi inakaa kwenye kazipu ka pembeni.na simple shoes kwa ajili ya dharula au ukichoka kutembelea viatu virefu.
    na mimi hapa pembeni koba ninalo na ndo hivyo nilivyobeba.
    ila sometimez huwa nabeba na laptop kabisa humo.

    ReplyDelete
  49. mzee wa mikindani wa Pemba au? we unashangaa nini/ enzi za mwalimu kule pemba handbags ni mikoba ya ukili/ukindu, sasa leo mkoba wa ngozi unakupa maswali ya nini? sikulaumu kwa kuwa swali lako la kizushi.

    Mzushi wangu, kwanza elewa kuwa mazoea yana tabu , ukiwa unabeba huo mkoba kila siku inafikia mahali huwezi toka na kupunga mkono bila kubebe handbag, yaani unajihisi mwepesi sana, pia inategemea na kila mbebaji wa mkoba huo ana tabia gani au hupenda vitu gani kuwa navyo kila anapokuwa, wengi huwa lazima tuweke vipodozi na pochi ndogo ya kuweka pesa, zaidi ya hapo inategemea aidha simu,spika za masikioni za simu MD kwa wapenzi wa mziki, unakuwa huru kuweka chochote cha kwako unachohitaji iwe contaner ya vitafunwa au kama umepita dukani hapo ndo sisemi huo mrundo wa kila unachopata kinachoweza kuingia humo kinachomekwa. Narudia tunauhuru wa kuweka chochote kutokana na maumbile yetu wanawake na mabadiliko ya hali ya hewa tunakuwa tunajiandaa na kujistiri endapo utapita mda mwingi bila kurudi kujihifadhi nyumbani, hivyo kaka zetu nawasihi msipende sana kufungua au kuchungulia mikoba ya dada zenu mnaweza kumuaibisha bila kukusudia, au unaweza ukakarahika wewe mwenyewe pia.

    ReplyDelete
  50. Hili swali lilikuwa la kizushi lakini la maana,ila kama kawaida ya watoto wa JK imekuwa issue.
    Nimesikitika kuwa katika wote walioyatetea hayo ma begi,hamna aliyesema kuna angalau kitabu au gazeti.Lingine naomba wenye dada wa kizungu au mataifa mengine nao watupe mchango wao,nasikia mle wao hubeba mambo ya ajabu?*?

    ReplyDelete
  51. MIMI MWANAMKE. NA KILA MMOJA WETU TUNATOFAUTIANA. SIO WOTE WANAOBEBA HANDBAGS KUBWA, AU WANAOJAZA VITU. WAPO WANAOBEBA NDOGO NA HAZINA VITU VINGI.NA WAKO WANAOBEBA ZAIDI YA MOJA. MIMI NINAYO MATATU NATEMBEA NAYO KILA SIKU. SIO MAKUBWA NI SAIZI YA KATI.

    MOJA NABEBA VITU VYOTE MUHIMU, WALLET YA PESA INA KADI ZA BENKI, KITAMBULISHO, BUSINESS CARD, LESENI N.K. PIA INA SIMU, NOTE BOOKS, DIARY, KALAMU,FUNGUO ZA NYUMBANI (CHUMBA CHA KULALA), ZA POSTA, ZA GARI NA ZA OFISINI. LESO, KITANA, KARATASI LAINI, MWAMVULI MDOGO, LIP BALM NA MFUKO WA KUBEBEA VITU VYA DHARURA HASA MBOGAMBOGA NA MATUNDA, NAUKUNJA VIZURI NDANI YA HANDBAG.

    JINGINE NABEBEA VITAFUNWA NA CHAKULA KUTOKA NYUMBANI.

    MFUKO MWINGINE WA MANUNUZI YA MAHITAJI YA NYUMBANI. HUU HAUTOKI NDANI YA HANDBAG MPAKA NINAPONUNUA VITU HIVYO.

    TENA NIKIBEBA HANDBAG PEKE YAKE NAJISIKIA KAMA NIMESAHAU KITU. NIKIWA NIMEBEBA NA FAILI AU LAPTOP NAJISIKIA BURUDANI NA NIKO KAMILI.

    ReplyDelete
  52. mimi hapa ninalo bonge ya handbag swali lako imenifanya nifungue nikuelezee kuna nini labda itakusaidia,

    EVERYDAY LIFE BIBBLE by JOYCE MEYER

    MWAVULI MDOGO

    BIG G kama tano hivi

    KIPOCHI CHA MAKE UP ZOTE

    KIPOCHI CHA PAD

    FUNGUO ZA NYUMBA NA GARI

    IPOD

    CHARGER ZA IPOD,SIMU

    FLASH DISK

    KIPOCHI KIDOGO CHA INSURANCE CARD NA IDENTITY

    SUNGLASSESS

    NOTE BOOK NA DIARY

    SHAJARA YA KIFRANSISKO 2009

    nadhani umepata picha kidogo

    ReplyDelete
  53. Wewe unayesema wanawake wachafu basi temea mate chini maana kila siku nazalisha watoto wakike na wakiume na wote wanapitia kwenye njia moja na kutoka nje.

    ReplyDelete
  54. Mie naongezea. Nabeba kitambulisho changu na hand sanitizer. Naweza nikapita mahali hakuna maji na nahitaji kunawa mikono ili nile kipande cha kuku.

    ReplyDelete
  55. ISIWE TABU YAWEZEKANA MDAU UNATAKA KUNUNULIA UMPENDAYE HAYA MWAMBIE AWEKE VIFUATAVYO
    1. Kitabu cha neno la Mungu mfano Biblia. Pia Rosali
    2. First Aid ndogo kama panadol, maginizium, plasta nk.
    3. Vipodozi mbalimbali vikiambatana na chana za nywele na vibanio, nail cutter,mswaki na dawa ya meno ndogo, pair ya hereni mara nyingi zinaanguka hivyo uwe na ya kubadili nk
    4. Pochi ndogo ya pesa na id mbalimbali
    5. Kanga, Mtandio au Kitenge
    6. Kila siku awe anatembea na always yaan pad tatu au nne ili kama sio yeye atamsaidie na mwingine. Hata one pair ya chupi kama upo kwenye siku zako sio mbaya ina tegemea na matatizo yako.
    7. diary, pen, nk stationaries
    8. Funguo za nyumba au gari
    9. chaja ya simu
    10. Mimi natembea na radio ndogo
    11. Novel ambayo unaendelea kuisoma au magazine kama wewe ni mpenzi wa hayo
    12.Freshiner ya mdogo au Pik au Big G, JOJO
    13.Simu za mkoni
    14. Kitambaa cha mafua hata viwili
    15. Miwani ya jua na ya kusomea

    Nichoka leo nitakwambia kesho tena

    ReplyDelete
  56. ww unayetukana wanawake ww inawezekana ukawa huna dada..mama wala penzi!!na kama unao...aibu yako....unawakosea heshima!!

    newayzzz mm kwenye koba langu hua naweka....
    a)Lotion
    b)Perfume
    c)Deodorant
    d)Tissue
    e)Handkarchief
    f)Novel lazima..gazeti na Bible sumtymz
    g)Pads
    h)Kibanio cha nywele
    i)Underpants
    j)Kanga na kamtandio
    k)Note book na kalamu
    l)Make up na kioo
    m)Walet muhimu
    n)Viatu inategemea na ratiba
    o)Mfuko mdogo wa plastic
    funguo...simu na earphones!

    Kwa mtaji huo lazima nikitoka nionekane kama nahama!ila ndo comfort yenyewe...bila mzigo wangu nakua sina amani!!

    Lily

    ReplyDelete
  57. Hakuna kitu kinanifurahisha kama mautundu ya kufurahisha, eiwaa! nimecheka sana kuona mzee wa mikindani alipochokonoa mada, nikajua leo abaa kunankanyaga nyenga wa mshihiri. utajibiwa humu mpaka ukose dira.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...