wachezaji wa taifa stars na kocha wao wakihamisha goli wakati wa tizi. vijana hawa, ambao baadae mwezi huu wataelekea ivory coast kwenye michuano ya afrika kwa wachezaji walio nyumbani maarufu kama CHAN, wameshaingia kambini toka juzi chini ya kocha wao marcio maximo na leo wamekwenda zenji kwa tizi la siku mbili kwenye uwanja wa mao tse tung. wanarejea jumapili na kuendelea na tizi karume. february 11, 2009 wanakipiga na msumbiji neshno ya kale katika mchezo wa majaribio

wanacheza na MSUMBIJI au ZIMBABWE?? friend game??
ReplyDeletewanapiga na zimbabwe wewe sio msumbiji, msimbiji tayari tumewapiga 1 ingawaje moja lao limetuuma hadi leo,
ReplyDeleteanyway naomba wachezaji waelewe kuwa sisi huko watakuwa hawatupi nafasi kubwa,lakini ukiangalia sisi ndio timu kali kuliko zote zilizoko huko,kama hao babazao akina etoó na wengineo senegal wanaocheza soka ya nje wamepata tabu kwetu,inamaana hao waliobakia kucheza nyumbani sisi ndio tuna timu kali,hata wakija hao madrogba wao, sisi tupo tayari kucheza na yoyote hivi sasa,thanks
Na hao mmachinga wataliona kabumbu la aina yeyote bure tu...manaake hapo kwetu Ilala kwa Karuma huo ukuta sio mrefu!!!
ReplyDeleteNingependa Kuuliza je hawa ni wachezaji wa taifa stars walio bebe milingoti ya goli? kama ni wenyewe je taifa limeshindwa kutoa ajira kwa watu ambao wangeweza kubeba huo mlingoti? kwani mchezaji akiumia si ni pigo kwa timu?
ReplyDeletehivi hakuna timu ya kucheza nao kila siku zaidi ya msumbiji?
ReplyDeleteMAALIM ISSA TUNASHUKURU KWA PICHA "MWANANA" WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA PAMOJA NA KOCHA WAO "WANAJITUMA" KWA BIDII NA KUHAKIKISHA KWAMBA HAKUNA "MAJERUI/MAJERAHA/AJALI" NJE NA NDANI YA UWANJA..SHUKRANI KWA MANAGEMENT/MANAGER WA KIWANJA HIKI...
ReplyDelete