
MAMBO YAKIENDA SAWA UNAWEZA KULIONA GEMU HILI KUPITIA
http://www.tvchannelsfree.com/watch/6241/RTS1-senegal.html
kwa maelezo zaidi ya michuano hii
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mhh sidhani kama wataonyesha mechi yetu,waache kuonyesha ya timu yao,senegal.tusubiri tuone maana zote zachezwa muda sawa.
ReplyDeleteTukifungwa wakina Mziray na Sapi tutawakoma ila poa tu. Maximo oyeee
ReplyDeletesaa ngapi???weye unatupa website tuu !!!wengine tupo huku west coast-ughaibuni.time plzzzz.
ReplyDeleteKaka Mithupu,gemu hizi mbili leo zinachezwa wakati mmoja,hivyo basi inaniwia vigumu kuamini kama wasenegali wataacha kuonyesha gemu yao ,ili tu waonyeshe ya kwetu,ila we keep our fingres crossed an hope wataonyesha au hata kutupa matokea kila wakat.
ReplyDeleteAsante kwa habari ,bro!!
Misupu wape watu hii link myafricanfootball.com wanatakiwa kuregister kwa sasa hivi ni bure mpaka 3rd march. Na hata mechi zilizopita wanazo unaweza kuziangalia dk zote 90.Mimi niko Uk huwa naangalia mechi za africa kupitia huko.
ReplyDeleteHello all Tanzanians: We should really pray for our National Soccer Team so that we win with countless goals and cruise through to the quarter fines. Yes We Can! Tunawaomba Taifa Stars watupe Raha, hapa mgodini tupo na wa Tanzania wote hapa nchini na duniani kote kuishabikia timu yetu ya Tanzania.
ReplyDeletekasengo@hotmail.com
Alex Mawazo Kasengo,
Mine Safety & Training Officer,
Barrick Tulawaka Gold Mine,
Kagera
myp2p.eu then nenda live sports mpira Saa 17.00 za UK Saa Moja Usiku za Tanzania sema wanaonesha Ivory Coast Vs Senegal. Sasa sijui ya Tanzania tutapata wapi?.
ReplyDeleteile myafricanfootball.com kweli au ndio Scam Web tusije kuzikana.
ReplyDeletemyafricanfootball.com inaonyesha kweli na kwa sasa ni bure mpaka Machi 3. Maswali ya lazima ya kujibu ni ya e-mail yako na jina. Sio lazima uwaambie kama umeoa, kipato nk.
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeleteETI Zambia na Tanzania matokeo ni
1-1?Wazambia wamesazisha dakika ya 90 baada ya kufungwa kwa penalti dakika ya 88. Naomba tuthibitishie habari hizo.Mdau UK.