kaka habari za siku na heri ya mwaka mpya!
katika kuperuzi peruzi kwangu nimekutana na picha zilizo kwenye setalite, nimependa miundo mbinu ya mji wa tanga, itakuwa si vibaya kuwaonyesha wadau wengine popote walipo duniani.
vinginevyo wape hii link
http://www.panoramio.com/photo/14395856
Ahsante
mdogo wako

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. jamani mji wa tanga umepangwa vizuri kweli

    ReplyDelete
  2. kwetu hukooooooooooooooo.mambo ni barabara tu, njooni muone mengi mazuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...