Washindi wa Mdau wa Kili Winners wa A-Taun wakiwa na meneja wa mauzo wa TBL kanda ya Kaskazini Goodluck Kway (mwenye maiki) muda mfupi kabla ya kuwapa milioni 5 za ushindi wa kikundi na 500,000/- kwa wahudumu na zingine 500,000 kwa mwenye baa.
mhudumu akilamba 500,000/- yake ya wadau wa kili jana huko A-taun


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...