kiongozi wa bendi ya wahapahapa paul ndunguru akiimba huku mashabiki waliovamia jukwaani kwa utamu wa midundo yao wakicheza kwa furaha. mashabiki wa muziki tayari wanamfananisha paul na youssou nduor kwa sauti na umahiri wake jukwaani.
mkongwe teddy mubarak anaungurumisha gitaa la bezi kama hana akili nzuri vile. kwa wanaoikumbuka bendi ya tatunane hili jina si geni kwao
kwenye magoma na ngoma kuna hawa mabwana ambao ni balaa
wahapahapa wanapokuwa jukwaani hawana mzaha wahapahapa wakiaga baada ya bonge la shoo





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. KINA DADA NA HIZO AFRICAN OUTFIT MMETOKA SAFI. NO WORDS TO EXPRESS HOW GOOD N NATURAL YOU HAVE MADE THE SCENERY.

    KEEP UP THE AFRICAN SPIRIT.

    ReplyDelete
  2. dah kaka kweli palinoga hapo bt hebu niambieni jamani hiyo nsoma cjui ndio band ya "wahapahapa" ndio kina nani na wako bongo au?

    ReplyDelete
  3. wadada wamependeza sana, huyo mwenye kanga ya white and red ni mke wa Paul Ndunguru anaitwa Robby. Mwanamke kumsapoti mumewe!

    ReplyDelete
  4. napenda kujibu swali lako. Hiyo bendi iko tanzania na hao mabwana ni wasanii hasa, paul ndunguru ni mwanafunzi wa chuo cha sanaa na bwana fujo pia. Fujo ni huyo mpiga ngoma, huyo bwana si mchezo kwani anatambulika hadi sweden kwa umahiri wake wa kuzicharanga ngoma. Hao wadada ni kama aliyechangia mwanzo kuwa mwenye red in white ni mke wa paul na huyo dada mwingine ni mchongaji maarufu tanzania na daima huyo dada anavaa kiafrika kwa kweli anapendeza sana. Watoto wa chuo cha sanaa sio mchezo kwa kweli nawazimia. Hongereni sana na nitawatafuta nikirudi home.

    Dada Mdau Netherlands

    ReplyDelete
  5. napenda kujibu swali lako. Hiyo bendi iko tanzania na hao mabwana ni wasanii hasa, paul ndunguru ni mwanafunzi wa chuo cha sanaa na bwana fujo pia. Fujo ni huyo mpiga ngoma, huyo bwana si mchezo kwani anatambulika hadi sweden kwa umahiri wake wa kuzicharanga ngoma. Hao wadada ni kama aliyechangia mwanzo kuwa mwenye red in white ni mke wa paul na huyo dada mwingine ni mchongaji maarufu tanzania na daima huyo dada anavaa kiafrika kwa kweli anapendeza sana. Watoto wa chuo cha sanaa sio mchezo kwa kweli nawazimia. Hongereni sana na nitawatafuta nikirudi home.

    Dada Mdau Netherlands

    ReplyDelete
  6. Big up Robby, mwanamke kumsapoti mumeo, I Liiiiiike it, pia mmependeza.mambo ya khanga!!!
    Your friend

    ReplyDelete
  7. Siku ya kwanza nilisema hivi...."KINA DADA NA HIZO AFRICAN OUTFIT MMETOKA SAFI. NO WORDS TO EXPRESS HOW GOOD N NATURAL YOU HAVE MADE THE SCENERY.

    KEEP UP THE AFRICAN SPIRIT".....Leo naandika hivi..
    IMEBIDI NILIRUDIE TENA KUANGALIA HIZI PICHA, IM VERY IMPRESSED BY THE SCENERY AND THE PEOPLE ALIKE, ESPECIALY THE TWO LADIES ON THEIR OUTFIT....U KNOCK ME OFF MY FEET GIRLS!!! Keep up supporting your hubbys

    Shabiki wenu # 1 MARYLAND

    ReplyDelete
  8. Wahapahapa big up! Nitakuja sweet easy kama kawa jumamosi. Nyie ndo bendi ya ukweli!
    Big up!
    From shabiki no 1 wa wahapahapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...