

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani nadhani wakati umefika tumpate panya anaeweza kumfunga paka kengele. Jamani ndugu zetu mliopo zanzibar tafuteni mtu wa kumuasa bi kidude awache haya mambo kwa umri alo nao.
ReplyDeletebi kidude kwa umri wako na music wako ni nyota ya walioendelea. mungu akubariki uzidi kuishi na kutuburudisha. asiyekupenda aende na meli mpaka katikati ya bahari ya hindi akajitupe baharini akiweza aogelee. hata siku moja bi kidude usiwasikilize loosers. ninakueshimu sana kwa mungu kukupa maisha marefu na kuweza kuburudisha watu. usiache music kwani utachoka haraka sana. endelea kufanya what pleases you. hao wenye wivu na wewe ni wale wakifika miaka 50 wanakua vikongwe. BI KIDUDE GO GIRL
ReplyDeleteAnony wa 1:27am Naungana na wewe kumpongeza Bi Kidude..nashangaa watu wenye negative thoughts. Kwanza ni faraja kuona mzee kama yule bado anajitahidi kuendeleza kazi yake katika umri ule.Na kwa kujishughulisha namna hiyo kunapunguza athari nyingi zinazotokana na(umri)uzee. Na ntashangaa kama kuna mtu anamuona Bibi yule ni threat kwake kimuziki, basi huyo atakuwa ameishiwa kweli. Yule kwa sasa hivi anafanya kutumbuiza na kufurahisha watu hashindani na mtu sasa wivu wa nini?! Mwatakiwa kumpa heshima yake..Jamani!!
ReplyDeletejameniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeletehuyu bibi vipi?
hebu apumzike.
kwani hana watoto wamkalishe chini?
mwenzie kafia kwenye daladala sasa
yeye atafia stagini
Mnajua hashuo limemzidi na anahashuliwa huko kwao(maneno ya kizanzibari hayo jamani)
ReplyDeletekweli hata mimi naupenda mziki wake bt ukweli alitakiwa aache coz huyu anafika 100 nakitu miaka yake bt ndio hivo ''udongo upati uli maji'' ukizingatia mpk leo moshi anapuliza hiv kuna kumkumbuka mungu hapo,
Niliwahi kupata story ya huyu bibi alivorudi toka germany miaka ya nyuma nlipokua mdogo,alipewa msala na mas'haf,sasa wadau wenzangu mlio upande wa kutaka astaafu mnajua alijibu nini mh!! ni hivi...anhelikua akisali angefika ulaya..n.k..(cjui imani hiyo aliipata wapi duh) so naamini ashakalishwa na kuambiwa kwa sana tu mpk leo but ndo hivo sikio la kufa haliskii dawa.. may be one day atajua km kuna kufa na mungu hupaswa kuabudiwa.
mdau wa ughaibuni
sasa kaka mbona unabania comment yangu jamani!
ReplyDeleteSafi sana Bi Kidude. Endelea kutupa burudani bibi yetu. Maana taarabu ya sasa imekuwa kuchambuana tu. Tunahitaji kusikia taarabu ya asili.
ReplyDeleteNi jambo la kujivunia kuona bi Mkubwa kama wewe bado uko ngangari na hata mgongo haujakupinda. Vizee vya kizungu miaka hiyo vishapinda migongo na vingi havijiwezi na vishachanganyikiwa. Mimi kama mtanzania najivunia kukuona Ngangari.