wachezaji wa timu ya libya wakishangilia baada ya kufunga bao neshno dhidi ya prisons. ni kipindi cha pili sasa na wageni wanaongoza bao 2-0

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sijui nchi gani ati wanajela wanalitwanga kabumbu? si jamani wawalinde mahabusu na wakorofi wa maisha!!!!

    ReplyDelete
  2. Kwa anony wa kwanza, Mbona kenya kuna timu ya jeshi (Ulinzi) na Mahakama? Kwa hiyo Kenya siyo nchi?

    ReplyDelete
  3. Ndugu zangu wa Prisons kazeni buti vinginevyo mtapewa alba au hamsa huko Umangani! Naona Prisons wamekuwa hodari sana wa soka la mdomoni nao siku hizi. Kila siku wanaelezea jinsi watakavyoshangaza mechi inayofuata.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...