ali kiba


CHARLES GADI PROMOTIONS & ENTERTAINMANTS




INAWALETEA


ALI KIBA EUROPEAN TOUR 2009




BAADA YA KUVUNJA RECORD KWA KUJAZA MAKUMBI MAREKANI KWENYESTATES 18 WADAU WA ULAYA WAAMUA KU REVANGE.TOUR INAANZA17 MARCH 2009 - 04 MAY 2009 AMBAPO ATATEMBELEA MIJI MIKUBWA 15 ULAYA.




RATIBA INACHEMKA JIKONI ITATOKA MUDA SI MREFU.PROMOTER YEYOTE AMBAYE ANAMTAKA AWASILIANE NASI.


TEL:+31634236408.


AU


TEL:31108482191


E-MAIL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. RECORD GANI ALI KIBA ALIIVUNJA?????

    Wewe mdau ambaye umeleta hiyo promotion yako jaribu kutumia lugha sahihi, hata kama ni mtangazo ya biashara lazima usiwe muongo.Unaposema Ali Kiba alivunja rekodi, lazima useme ni rekodi ipi iliyovunjwa?Nani alikua anashikilia rekodi hiyo, na sio kujisemea ili mradi tu uwashawishi watu waingie kwa Ali Kiba huko Ulaya.

    Mfano, kila watu wanapoandika khs Juma Nature, ni msanii aliyejaza ukumbi wa Diamond ktk uzinduzi wa album yake ya Ugali, hiyo ndiyo rekodi inayoshikiliwa na NATURE hadi sasa.Sasa msanii wa kitanzania wa hiyo bongo flava akiweza kujaza watu yeye atakuwa amevunja rekodi hiyo.Hapo ndio unasema fulani avunja rekodi hiyo ya Juma nature.Na kama Juma Nature mwenyewe ataifunika rekodi yake, itaandikwa Juma Nature avunja rekodi aliyojiwekea mwenyewe ktk uzinduzi wake.

    NOTE: Ali Kiba hongera sana kwa juhudi na uwezo ulionao, naamini juhudi zako na Mola anakulipa.Nakutakia ziara njema, kamua ipasavyo huko.

    MAKULILO Jr,
    www.makulilo.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. hawa mabos hata kuandika Entertainments wameshindwa ?
    mnatutia aibu hapa !

    ReplyDelete
  3. we need promoters in finland mjitokeze tunataka ali alikiba suomiiiiiii jamani

    ReplyDelete
  4. jamani kwa mtazamo wangu, all those accessories na outfit gives him a very busy appearance, au ndo fashion??

    ReplyDelete
  5. Makulilo naona unatafuta Bibarua,Jitahidi huwezi jua.

    ReplyDelete
  6. Ulaya hawam feel huyu jamaa labda T.I.D na Wanaume TMK. Ndio watajaza watu kwa Bongo Flava.

    ReplyDelete
  7. Ali muimbaji mzuri sana na ni mtu poa nakumbuka alipokuja hapa Muscat kutumbuiza New Year, Wadau walifurahi sana siku hio na nilimuona ni mtu safi sana tofauti na wasanii wengine, Si mtu wa maringo kabisa hebu mcheki hapa alipokuja Oman (http://borntosuffer1.blogspot.com).

    ReplyDelete
  8. ivi imekaaje hii:
    jamaa unakaa kabisa "bize" unavaa urembo mfano izo pete unaingiza moja moja nk

    mwanaume urembo/mvuto thz dayz

    wheww!!

    ReplyDelete
  9. nenda ukamuone ukiweza. tuli enjoy sana alivyokuja USA. he is very talented, na na very entertaining

    ReplyDelete
  10. pete sijakubaliana nazo kwa mtazamo wangu ila mavazi mengine kapendeza sana

    ReplyDelete
  11. wewe anony wa 11:38 kazi yako kukandia tu sasa kidole kukosea herufi moja ndio imekuwa Issue afadhali hata wenzako wanatoa mchango wao kwenye taifa kusaidia vipaji..wewe unafanya nini? ama kazi kukosoa tu..Ovyo

    ReplyDelete
  12. Am not a fun of Kiba or his music but its very true that the boy is GREAT. Kenyans and Ugandaz cant sleep without Kibaz music.
    Most Americanz in USA especially Houston can sing his songs and likes him so much
    Again the boy is making his life. And he is more accepted internationally than any Tanzanian star. No Juma nature, TID no nothing. They ar the best in Tanzania but Kiba is the best internationally.
    God bless u boy

    ReplyDelete
  13. huyu kijana anapendeza sana na hayo mavazi yake. in fact anaanza kuonekana kama yule singer wa congo fally ipupa. zidi kutuburudisha na mungu azidi kukujalia kila unalofanya. keep it up.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...