Home
Unlabelled
ALIYEMPIGA KIATU BUSH ALA MVUA 3
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wakati wa utawala wa Sadam Hussein Bwana Tareq Aziz kala mvua 15.
ReplyDeletewewe ndie kidume inshaallah utapata ujira mkubwa kutoka kwa mola wa ulimwengu wote mimi mdau nakutakia kila la kheri hiyo miaka mitatu sio mingi ni kama kufumba na kufumbuwa.
ReplyDeleteJamaa aliweza kuuza vile viatu kwa bilionea wa Saudi?
ReplyDeleteDuh ni noma sasa jamaa aliyemzaba kibao mzee ruhsa nae adhabu yake itakuwaje?
ReplyDeleteanonimus08:22 usifurahiye wewe unafurahia baba yako kupigwa au jaji yako kupigwa unaonekana sio kabisa . kwani marekani ni mtetezi wetu ingawa ni mkristu ndio maana tukitunguliwa au tukikolofishwa tunakimbilia ubalozi wa marekani eti watusaidie. tujifunze uvumilivu na kutafakari ya mbele zaidi kuliko yale ya karibu tu. amevunjwa mikono kanyeshewa nvua tatu. huu si ushindi vipi familia yake kazi yake je atafanya kama awari sidhani tena huyu jamaa hatarudia labda sasa atajiripua ndio salama yake. tujaribu kuweka amani duniani ukatili tuwaachie waarabu ambao waliwahasi babu zetu .sisi tuige yaliyo mema tu .
ReplyDeletealiyemchapa kibao Mzee Mwinyi naye atapata thawabu yake mbinguni kama atakavyopata aliyempiga Bush kwa kiatu
ReplyDelete