angalia asili ya kustua 'kijoti-joti' katika kipande cha video hii ya zaiko langalanga ya mwaka 1994 ambapo mwishoni mwishoni utaona wanenguaji hawa wanastua 'kijoti'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. newton ,yule mwanasayansi nguli aliposema jiwe embe juanguka kutoka mtini kuja chini, ulishangaa nini,si ilifahamika hivyo tangu zamani, sasa hiyo ya joti haijaanzia hapo unapofikiri, jaribu kujikwaa,halafu angalia mwendo utakaotoka nao baada ya tendo, ndo mwanzo wa style ile ya kushtua kijoti, hata hivyo amekula hati miliki ya style ile, aheshimiwe.
    unamfahamu mwanzilishi wa neno 'bongo flavor'

    ReplyDelete
  2. Michu sasa hapo mbona hamna kitu. Sijaona chochote kinachofanana na Kijoti joti. Sasa hembu cheki kwenye TV SHOW ya FRESH PRINCE OF BELL AIR inapoanza pale anapokwenda kwa Anko wako mwanzo kabisa anafanya ya joti

    ReplyDelete
  3. Kweli bwana hapo hakuna mtu aliyeshtua kijoti...Joti alikuja na style ya pekee na hata kama aliiga mahali lakini aliibadilisha na kuwa style yake peke yake ambayo haijawahi kuonekana mahali, Congratulations Joti!! mimi nina mpwa ambaye hata kuongea hawezi lakini anaweza kushtua kijoti joti

    ReplyDelete
  4. Angalieni vizuri hapo karibia na mwisho, hao kina dada kila mmoja anapoenda mbele kutoa style yake, wawili hao kabla hawajamalizia wana toa kijoti joti, hawajafanya sana kama Joti mwenyewe anavyofanya, ila ipo! Pia waneguaji wa zamani wa Koffi nao walikuwa wanatoa kijoti joti, ni style ya zamani ya mziki wa lingala, hapo ndipo joti alipochukulia title yake.
    Duh! zaiko langalanga walipotoa hii album waliwika sana.

    ReplyDelete
  5. huyo aliyeleta clip yake hap ya Zaiko Langa Langa ya wakina Nyoka Longo ni muongo, kwa kuwa kaona hii video juzi anadhani ndio mwanzo wa style hiyo.
    mimi Wakati nasoma Shule ya Msingi Oysterbay mwaka 1983 tulikuwa tunashtua hiyo style iliyobatizwa jina la KIJOTIJOTI, kwa kuiita DOUBLE CLUTCH (DABO KLACHI) kwa hiyo mwaka 1994 ni miaka 11 baadaye na tena tukawa tunaiita hivyo hivyo dabo klachi pale TAZARA BOMBASTIK SAUNDI, kulaaaaleki. ila hongera kwa kuwaza angalau kuliko ungeiba, inaonekana ni jinsi gani unakaa nyumbani na kujaribu kuvumbua mambo-BUBERWA (TABATA-MANGUMI)

    ReplyDelete
  6. afu iweje????????????????????????

    wivu na majungu,tafuteni life lenu nyie na wewe uliebandika hio clip

    mtu akifanya kosa,usipofanya mvivu
    ukibeba box kosa usibobeba mtakufa njaa

    mind ur own business,dudes

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...