QUARTER-FINALS MATCHES
07/08 AND 14/15 APRIL

VILLAREAL VS ARSENAL
MAN UNITED VS PORTO
LIVERPOOL VS CHELSEA (Shughuli ipo hapa kazi kweli kweli)
BARCELONA VS BAYERN

SEMI-FINALS MATCHES
28/29 APRIL and 05/06 MAY

WINNERS QUARTER-FINAL 2 VS WINNERS QUARTER FINAL 1
WINNERS QUARTER-FINAL 4 VS WINNERS QUARTER FINAL 3

FINAL 27 MAY – ROME

WINNERS SEMI-FINAL 2 VS WINNERS SEMI-FINAL 1

Mdau Derrick

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Mwaka huu lazima tutungue kila atakaye ingia emirates.Mwaka jana bwawa la maini liliokolewa na Refa.Mwaka huu tunaanza kwa kuizamisha MANOWALI YA NJANO(VILLAREAL) kisha MAJINI WEKUNDU wanalishwa kitimoto uhondo mtupu.
    LETS GO GOOOONERS

    ReplyDelete
  2. mimi ni man u lakini kusema ukweli fifa inatupendelea sana hili kombe linaweza kuwa letu kabisaaaa
    kile chombo cha draw walichochezeshea nahisi blatter anaipenda sana man maana kila ratiba kwetu ni bomba.
    poleni ndugu zangu
    sasa liver mtaifunga tena chelsea?kazi kweli kweli........
    usije ukalia michuzi maana last tym ulicheka sana 4-1

    ReplyDelete
  3. Hureeeeee! kwa mtaji huu fainali tutakutana Man U Vs Chelsea pale Rome 27/5

    ReplyDelete
  4. hi!

    sasa uefa hawana mpya, kila siku livapoolu na chelsiii tuu? inachosha na kuboa, kwani hata wakibana final ni team za Engilandii tuu...mimi.

    ReplyDelete
  5. HAPOOOO NDO NILIKUWA NAPATAKA YANI MAN-U NI MCHELEA KWENDA MBELE MPAKA ROME HIYOOOOOO!!!! YANI FULLY SHANGWE,ANAYEBISHA NI MWEHU NA HAJUI MPIRA NA MPANGILIO WA VIGEZO VINAVYOTUMIKA KUTABILI NI TIMU GANI ITAENDELEA KATIKA HATUA FLANI YA KIMCHEZO NA IKITOKEA TOFAUTI BASI HAPO NDIPO TUNASEMA MPIRA NI DK 90,NAOMBA TUJARIBU KUJIFUNZA HAYO NI SI TU USHABIKI MTU UMEANZA KUSHABIKIA CHELSEA YA MOURINHO THEN WAJIFANYA ULIANZA MAN-U YA 1999

    ReplyDelete
  6. Final MAN U Vs BAYERN

    ReplyDelete
  7. Haya wazee Emirates ratiba ni nzuri kwenu, HILI HALINA UBISHI...kwa kweli msipofika semi final>>>na hatimaye fainali mwaka huu, basi msahau kunusa nusu fainali nyingine kwa miaka ya karibuni...hao Villareal size yenu kabisa. Hata mtakayekutana naye nusu fainali sio mbaya sana kama ambavyo mnaweza kufikiria Porto vs. Man U. wote wanafungika, so Fainali ya mwaka 2006 inaweza kujirudia tena mwaka huu. Bwawa la maini na wazee wa darajani hapo sina kauli kwani hapo ni kama CUF na CCM zanzibar wote wababe. Barca na Bayern, Barcelona naipa nafasi kubwa ya kushnda ingawa lolote lawezekana.
    Naomba kuwasilisha;
    Mdau wa soka mwenye mahaba kidogo na Arsenal lakini "SINA MASLAHI BINAFSI"

    ReplyDelete
  8. HII IMEKAAJE KAMA KUMBUKUMBU ZANGU ZIKO SAHIHI NI MARA ZAIDI YA NNE BWAWA LA MAINI NI WATOTO WA STANFORD BRIDGE WANAKUTANA KATIKA HATUA HII, WANAPANGA KWA BAHATI NASIBU NINA MAANA KWA KUOKOTA VIKADI TOKA KWENYE BAKULI SASA INAKUWAJE KILA MWAKA WANAKUTANA HAWA WATU? SOMETHING FISHING HERE, IS NOT THAT?

    ReplyDelete
  9. Shughuli kweli kweli. Nusu fainali zitakuwa:

    Man. U vs Arsenal
    Liverpool vs. Barcelona

    Fainali itakuwa:
    Liverpool vs. Man U.

    Kombe linaenda Anfield. Mshindi atapatikana kwa penati baada ya sare ya bao 1-1.

    ReplyDelete
  10. Man Utd tushaingia fainali maana sioni wa kutuzuia.FC Porto ,Vilareal na hasa arsenal ndio kabisaa I'm speechless.
    UTD Rule.
    Mdau India

    ReplyDelete
  11. HIVI SISI WANA IMARATI NDIVYO TULIVYOKUW TUNATAKA!
    TUKISHAM-BANJUA VILLAREAL, TUNAMTWANGA TWANGA SHETANI MWEKUNDU KAMA TULIVYOMFANYA SIKU ILEEE KWA PASI 17.
    FAINALI TUNAWAFIRIGISA BARCELONA-TUNALIPA KISASI-HAAFU MWENYE KUSEMA NDIO ATASEMA HAPO.
    THIS INDEED IS THE OPPORTUNITY EVERY GUNNER HAS BEEN PATIENTLY WAITING FOR.
    TUNAOMBA TU VIJANA WASIJERUHIWE TENA,MAANA JAMAA SI MNAKUBALIANA NAMI KUWA KAMA TUKITIMIA HATUWEZI MTU HUKU ULAYA?
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  12. sisi kama washika bunduki hatuna la kusema sana zaidi ya kumwomba Mola wachezaji wetu wote wawe fit then uo mziki mtauona wenyewe iyo inaitwa mtafute mtafute kudadadekkki na zaidi ya yote awa wajomba Rosicky na mdogo wake fabregas wakirudi alaaa sina ka kusema inshalaah Fa cup & Uefa zitakuwa Emirates

    ReplyDelete
  13. fainal safari hii lazima ijurudie tena kati ya arsena na barcelona hakuna ubishi

    ReplyDelete
  14. Wadau naomba kuwaelimisha kidogo maana kusaidiana pia ni moja ya maendeleo na burudani kwa jamii.
    Mdau wa Man u na upendeleo toka FIFA sio ukweli ndugu yangu Eleweni nini maana ya DROO tena inayochezeshwa live mbele za watu na vyombo vya habari.huwezi kusema ni upendeleo wakati hakuna mtu anajua kuwa ni kitufe gani anakichakua kinawakilisha timu ipi.ONDOENI FRIKRA za kizamani.Liverpool vs Chelsea ni zali tuu linatokea sio kuiponda Uefa kuwa hawana jipya.hakuna anayeamka asubuhi na kusema flani atamvaa flani.
    Wakereketwa wa Man u,Chelsea,Liver n Arsenal tuache ushabiki wa kizami kuwa ukiona jina kubwa basi ndio mnashinda.ikumbukwe kuwa hao Porto,Virrariel na Bayern wametoka mbali na soka lao ni la kitimu zaidi ya individualism.Henry,Ronaldo wote wamekiri kuwa timu ngumu ni Bayern na waliombea kuikwepa bt henry anayo.wana ushirikiano kama siafu jamani 12-1 sio masihara,ooh

    ReplyDelete
  15. Ni rahisi kusema flani na flani watacheza fainal but soccer la siku hizi sio sawa na la zamani.one mistake then they kick u.man u kafungwa na liver last week kwa makosa ya mabeki,na wenger kakiri hilo,man city walifungwa na chelsea kwa kosa dogo mno,so kama bahati sio yako hata ukipangiwa Faaru dume,utatolewa tuu,sitashangaa kuona fainal kati ya bayern vs porto,au villariel.wadau mpira unabadilika kila siku na pia tunasahau kuwa kuna RESPECT(REF BLANDER)kampeni zinazoendelea.ni ukweli usiopingika kuwa MAREFA kote duniani mwaka huu wamechemsha kuliko miaka ya nyuma na bado wanaendelea kuchemka vizuri,Tambueni hilo jamaniiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  16. MDAU MMOJA WA MAN U ANASEMA FIFA INAWAPENDELEA, HII FIFA NI UEFA, FIFA HAIUSIKI NA MASHINDANO AMA YA NCHI AU BARA, HUSIKA MASHINDANO YA DUNIA TU. HII NI KAZI YA SHIRIKISHO LA SOKA LA ULAYA==== UEFA EUROPIAN FOOTBALL ASSOCIATION, YAANI KWA KIFUPI NI FA YA ULAYA.

    ReplyDelete
  17. jamani naona watu wanabisha kusema kuwa man tunapendeew mfano mzuri kama mmnakumbuka mechi ya marudiano ya man na inter kama ulikua makini walimuonyesha blatter wakati man waliposhinda nae alikua anafurahi sana
    huo ndo ukweli yeye anauwezo mkubwa wakufanya mambo yakaenda sawa kwa man
    bush aliiba kura iwe blatter kufanya changa la macho
    kifo kwenu liva na chelsea

    ReplyDelete
  18. redio mbao hapa anfild inadai majina ya timu za uk yaliwekwa kwenye macrowave kabla ya droo. kazi ipo.platin si mnamjua ni anti english? mnakumbuka hizi statement: real madrid zey can buy any one zey want and ronaldo can go any were he likes. hilo lilikuwa deal la mil 70. ilivofika ya kaka na man city? ziz iz rediculaz we need to put cap on how much team can spend to buy playerz.

    ReplyDelete
  19. Mdau wa Man u unayedai kuwa Blatter anawapendelea unajua kwa nn alikuwa Old Trafford?ni kwa ajili ya kukabidhi na kuzindua jezi zenye nembo mpya ya FIFA kwa club bingwa ya dunia,jezi hizo zitatumika hadi hapo atakapopatikana bingwa mwingine na zitavaliwa katika mashindano yote ikiwa Carling Cup,FA,Champs League na Premier league lakini premier wamebana white nembo hiyo ya FIFA man u asiitimue katika league.
    Sasa turudi kwenye mada,Hakuna mtu yeyote anayenyimwa kushangilia kizuri duniani,tena kwenye soka mtu ambaye haruhusiwi kufurahia au kushangilia goli ni refa na waamuzi wenzake.Mbona makocha kibao wakifungwa goli zuri na timu pinzani wanalisifia?ndio Burudani hiyo sio upendeleo,Goli alilofunga ESSIEN vs Man City hata ukiwa shabiki wa man City utakubali,Goli la ARSHAVIN na blackburn hata ukiwa shabiki wa blackburn utalikubali goli lilivyo na unaweza shangilia pia but haitakuwa upendeleo.SOCCER NI BURUDANI JAMANI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...