Naibu waziri wa Afya Dkt. Aisha Kigoda akitoa chanjo mpya kwa watoto aina ya ENTAVALENT yenye uwezo wa kumkinga mtoto dhidi ya magonjwa sita ambayo itaanza kutolewa mwezi ujao. Uzinduzi wa Chanjo hiyo Kitaifa umefanyika leo wilayani Kisarawe mkoa wa Pwani.
Picha na Aron Msigwa –MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. TANZANIA INAMWENDO WA KOBE KWA KILA KITU HADI CHANJO ZA WATOTO SINDANO HII IPO KITAMBO KWA WENZETU SISI NDIYO KWANZA JAMANI
    KWELI ULIMWENGU SIO MBAYA ILA WALIMWENGU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...