Home
Unlabelled
china and tanzania sign finance development protocals
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wataalam wa protokali niambieni kuhusu uwepo wa rais kwenye utiaji saini huu.
ReplyDeleteAt least rais yupo pembeni ana witness ili kesho na keshokutwa isitokee lawama kwa Governor kwa nini alisaini mkataba peke yake mimi ntakuwa shahidi yako Governor manake watanzania hawaaminiki, mambo yakienda vizuri hawakusifu wanakaa kimya lakini yakienda kombo midomo juu.
ReplyDeleteThis is yet another Open Cheque from the friendly peoples of China!But have we put our Development Priorities right?Scratch my back,I will scratch yours!There is no free lunch in economics,ain't that right?So,while programmes proposals are being sorted out,by whom you should ask me!I wish I knew boy!This chinese assistance should go to those sections of the society who need it most!Lets think of employment creation industries and other poverty alleviation schemes!But how transparent will this flow of chinese assistance be?Do we need to know what could be in the Pandora's Box?Before it is too late to do anything that is!My only worry is,often times we have misused a lot of good chinese aid!Initially,we had thought of chinese as mere bystanders in the world of technology!That wrong perception has continued to dogg Tanzanians until today!How about this time around?Are we well prepared to take the challenge?Mebbe Ndullu should tell us something more about it!What do they really mean by economic growth and development?Does it imply impressive economic data?Has it got to do with people being assured of atleast two meals a day?Or what are we really talking about?
ReplyDeleteMashaka, Shayo na watanzania wenzetu, bila ya majungu usenene au wivu, nadhani muda umefika kwetu sisi kuwa macho. haya yanayosainiwa ni vitu gani? Isije ikawa ni buzwagi nyingine au Richmond nyingine kwani wachina ni wajanja sana
ReplyDeletemijadala ya hivi karibuni imegusia mambo ya kichina sana, mashaka, na mdau toka tanzania walituonya kuhusu kuwepo umakini na hawa wachina winvinevyo tutakuja kulia, na hasara tutakazozipata bila ya kuwa makini ni hasara ambazo zitalipwa na vizazi vijavyo
vijana natumai mnachukua pointi, ili mtuletee mada nyingine. mungu na awabarikini. 2015 tunawasubirini
UK-Pundit
Haya Wakuu na Viongozi tuliowaachia Nchi well done kwa huo mkataba na hongereni kwa kazi njema. Sema mimi nina dogo sana tuu mbona hayo maelezo yanalenga ya kwamba only Tanzania ndio itafaidika kwa hili so what about China ? what is in it for chinese people and their coutry ? Hamna cha Bure dunia hii ya leo sasa mimi sikubaliani na kwamba lengo tuu ni kututoa sisi katika Umasikini so everything better be clear, tunahitaji Ukweli na Uwazi na kuangalia mbeleni coz sidhani kama wao wanatupa tuu hayo mapesa yao kwa imani yao ya kututoa sisis kwenye umaskini . Sasa hapo ndio welcome to Tanzania wachina watakuwa kama kawa mpaka mikokoteni watabeba wale mana huwa hawachagui kazi na huko kwao mamejazana kuliko wanatafuta nafasi, mwisho uwiano utakuwa wabongo 6 na wachina wanne kati ya watu kumi hayaa wee sie tupo na macho na masikio yetu!! Kwa kweli huu umasikini n ahii ombaomba itatuacha pabaya sana. Lakini sina la kusema midhali Proffesa Ndulu umesaini na Mhishimiwa Raisi akiangalia mimi nina imani na nyinyi , am sure mmeconsider mpaka implications za wajukuu zenu za baadae zitakazootokana na hii Chinese Charity or any other for that matter. Haya wacha mimi nikatafute hiyo shule ya Ki-Mandarin ilipo nianze kujitayarisha na ka-lingua chinese mana hapa jirani yangu nyumba inapangishwa so you never know nani nitaombana nae chumvi baadae .......!
ReplyDeleteJamani dhiki itatupeleka pabaya , sasa hii nchi tumeshaiuza wee kwa western counties na sisi wenyewe kuimaliza na Ufisadi na masalia yaliyobaki tunamkabidhi Mchina ndio aje kutumaliza kabisa ! makubwa haya.
ReplyDeleteProtocals ndiyo nini?
ReplyDeleteJohn Mashaka hivi karibuni alizua mjadala mkubwa sana kuhusu kuwa waangalifu kuhusu uhusiano wetu na Wachina. Nadhani Rais hapa hawezi kumkamata mtu au kusaini mkataba unaoutafuna nchi, kwani yeye mwenyewe ameshuhudia, na nina uhakika atafuatilia ili swala likitokea aweze kutupa maelezo. Wadau maswala ya kitaifa yanahitaji umoja kuyajadili, siyo kama tufanyavo wengi wetu kuwajadili watu badala ya hoja zao. Hii tabia imekithiri sana kwa wenzetu mnaohishi ughaibuni ambao amtaki mwenzenu yeyote kuwashinda.
ReplyDeleteIli swala la kichina inabidi uanzishwe upya ili tujadili kwa undani
Mdau Tabata
Protocol ndio protokali ndio itifaki, sio? Tafsiri yangu isiyo rasmi ni utaratibu wa kiurasimu wa kufanya mambo kwa kuzingatia ngazi ya mhusika. Mathalan, kama kuna sherehe ambayo rais, makamu wake na waziri mkuu wake wanahudhuria basi kanuni za kiprotokali zinataka rais apokelewe na wasaidizi wake, sio atangulie. Halafu haondoki mtu mpaka mkuu ameondoka.
ReplyDeleteRais mwenyewe ashasema::ukitaka kula lazima uliwe kidogo
ReplyDeletewachina hao
ReplyDeletemdau msc
CHIBIRITI TUNAOMBA USHAURI.
ReplyDeletehuo ni mwelekeo mzuri. keep up jk
ReplyDeleteMuhshimiwa Rais, kwanza kabisa pole kwa kazi ngumu ya kuongoza taifa letu.pili nakupa ongera kwa strategy nzuri, ulio ifanya kuanza kutembelea nchi za nje kuandaa strategy za kuendeleza nchi yetu, matunda ya safari zako, tumeyaona, tumepata misaada mingi kuanzia kotomeza malaria na umasikini, leo napenda kukupongeza kwa kusaini mkataba na marafiki zetu china, the frame work agreement for Development finance. Ndugu zangu watanzania, muda wa kulalamika umepitwa wakati, niwakati wa vitendo kila mtu anatakiwa ku take Responsibility, tusitegemee serikali kufanya kila kitu, ni wakati wa private sector kuendeleza uchumi wetu, sisi watanzania tunao ishi ughaibuni, tunatakiwa tutumie uzoefu wetu, na exposure tulioipata kuendeleza nchi yetu. kwani watanzania kwa ujumla tunatakiwa kubadili attitude zetu, tukubali kwamba uchumi wetu utaendeleza na wananchi wenyewe, kwakushirikiana watanzania wenyewe na mataifa ya kigeni. inasikitisha kusikia watu wanalalamika kusikia serikali ina saini mkataba na china. Jamani, tunatakiwa kuamka kutoka usingizini, Taifa kubwa kama marekani uchumi umeanguka, watu wanakosa kazi na sehemu za kuishi, imebidi waende kuomba mkopo china. Harafu unasikia mtu analalamika kwanini serikali saini mkataba na china, Jamani wachina ndio nchi pekee ina zihada surplus balance of payment}jamani tuache siasa, it is high time now.Ndugu zangu viombo vya habari, tunakiwa kuongelea ufsadi,lakini sio kila siku ufsaidi, kuna mambo mengi ya kuongelea, mnatakiwa kuwa motivate wa tanzania na sio kuwakatisha tamaa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika. MDAU WA UK
ReplyDeletejamani wabongo, nawahurumieni. yaani kila sehemu kila kitu ili mtu achagie cha maana lazima mtaje jina la mashaka, ikiwa mnataka kuwa kama yeye nendeni akawaoe. tumechoka na wimbo wa mashaka, kama ni kijana mwenye akili siyo kawaida, akili ni zake siyo zenu. ni mibaraka yake na mungu wake, nyie yanawahusu nini????
ReplyDeletehaya akiandikwa mnakandya, yenu hakuna, sasa mnasema alituamba, aliwaambia nini? kumbafu zenu wanafiki watanzania. subirini kesho alete makala yake tutasikia mtakavojifanya kujua,,, sasa ya uchina hayajalala hata wiki mbili leo mnamsema, mwacheni mtoto wa watu wanga wakubwa
Jamani hii mikataba mingi kweli sisi wananchi hata hatujui inatusaidiaje...tunaendelea kukinywea kikombe kichungu..sasa sisi tutashuhudia tu mikataba kwenye magazeti na mkono hauendi kinnywani mpaka lini?
ReplyDeleteEBU VIJANA TUMPENI HONGERA RAISI WETU JK KWA KUFANIKISHA HILI DEAL.TATIZO LETU SISI VIJANA ESPECIALLY TULIOKUWA NJE YA BONGO TUNAJIFANYA TUNAJUHA SANA KUTOA KASORO, OOH CHINESE HIVI CHINESE VILE SIO SIRI WAMEFANYA MENGI AMBAYO YAMEWAWEZESHA KUFIKA WALIPO FIKA NA SIYO YOTE WALIYAFANYA NI HALALI BALI ILIWABIDI WAFANYE ILIMRADI WAFIKE WALIPOFIKA.MIMI NATAKA KUWAULIZA WAKINA MASHAKA NAWENZAKE WANGEKUWA RAISI WANGEFANYAJE WANGESUBIRI MPAKA MIAKA KUMI IISHE KWA KUWA WANAOGOPA CHINA WATAWAPIGA CHANGA LA MACHO AMA WAACHE WATANZANIA WAENDELEE KUTESEKA.KWANZA UNAJUHA KWA KIPINDI CHA MIEZI MITATU ILIYOPITA CHINESE IMEFANYA DEAL NA NCHI NGAPI KILA PANDE YA DUNIA KWAHIYO HAO WOTE WAJINGA MFANO NCHI KAMA BRAZIL.KWAKUSEMA KWELI CHINESE NDIO WENYE PESA SASAHIVI NA NDIO TUNAITAJI KUDEAL NAO. MAREKANI WENYEWE WANAIESHIMU CHINA SASA HIVIWAO NDIO WAKO PESA CASH YAKUSPEND NCHI NYINGI SASAHIVI ZIKO RECESSION LAKINI CHINA SASAHIVIIKO NA DEMAND YA VITU VINGI NDIO MAANA WAKO ALL OVER THE WORLD.KAMA MIMI NINGEKUWA JK NINGEFANYA HIVI KWANI NINGEWAWEZESHA WANACHI KUPATA AJILA,ATLEAST INFASTRUCTURE ITA IMPROVE NA WATU WA DAR WATAPUMZIKA NA FOLENI,AMA WATASAIDIA KUJENGA MTAMBO WA UMEME RUFIJI MGAO UKAPUNGUA NA K.Z, KUANA WATU WAPONJE YA NCHI WAMESAHAU MIAKA KUMI ILIYOPITA BONGO KULIKUWAJE NA SASA KUKOJEE WANAMUNGUSHA NIWALE MAFISADI WANAHAMISHA PESA NJE.
ReplyDeleteMdau UK
Kwa wale tunacheza na uchumi wa nchi zinazoendelea, we already smell fish kutoka kwa muandishi huyu. Huu msaada ndio ule ambao raisi wa china alihaidi last week? Ambao ni 20 million ambazo zinakwenda kwenye kilimo na matumizi yake ni pamoja na kununua machine zitengenezwazo China?
ReplyDeleteBeno and JK hawaoni wanaangusha tuu sign bila kujua kwamba China wanatumia njia zile zile walizotumia western kwa miaka na miaka. Nakupa msaada kwa condition kwamba kitu fulani lazima ununue kwangu, matekeo yake unakuwa huna bargain power.
Poleni
Mchumi wa Texas
Do amakweli lisemwalo lipo. Shayo na mashaka walipoanza kuyazungumza haya mambo ya kutikisika kwa uchumi wa dunia na adhari zake wengi wa wasomaji waliwaona kama vijana waliopotea vile.
ReplyDeleteSasa yale waliosema yanatokea. Hapa kuna haja ya kujiamini na kuwa wakali .Dr shayo aliwahi kutoa tahadhari kwa kuwapatia baadhi ya waheshimiwa tena wa ngazi za juu hapa Tanzania kitabu kilichokuwa kinaitwa "Economic hitman"
Sasa sijui kama waliopewa walisoma au walifanya mapambo.
Ukweli ni kuwa hawa vijana wetu wamefanikiwa kuona upande wa pili wa shilingi, ndiyo maana wanakuwa na machungu na taifa letu.
Cha msingi tu ni wahusika kuweka kautaratibu ka kuwatumia hawa wataalamu, kwani Taifa litanufaika.
Mimi nikiwa kama kiongozi katika wamu ya nne ya J.Kikwete ni mmoja nilinufaika na hicho kajitabu. Nililetewa ofisini na kuambiwa mzee zawadi toka kwa kijana wenu.
hii mikataba bila kuangalia madhara yake ni kitu cha hatari sana kwa taifa.
Dr shayo au huyu mwenzie ambaye amekuwa akitoa michango na mawazo mapya ya kuboresha hali ya watanzania sikupata nafasi ya kuwaona ila taarifa nilizonazo ni kuwa Cabinet Ministers wasiopungua 13 walipewa hako kajitabu.
Dr. Shayo hongera kwa mchango wako
utakapokuwa dar usisite kunitafuta.
Jamani mnataka mchango wa namna gani?
rais wa china ameondoka na kasema atatoa msaada wa bil 20, na hao ndio watu wake wamekuja kukamilisha mambo ni kwenye kilimo....
ReplyDeletehaifikii hata ile dowans waliokuja kuzulumu
uk kila mwaka wanatoa minimum £120m kwa ajili ya bajeti peke yake, na bado marupurupu mengine kibao. na hamuwafagilii hata siku moja.
ndio maana rais kabla ya bajeti lazima aje uk au amtume makamu/waziri mkuu au mtumishi wa juu serikalini. sababu lazima ipatikane ya mtu kuja uk
msishituke hiyo ya china ni ile $20m rais wao aliyosema.
Hapo ndo unakuta kalamu ya Prof.Beno Ndulu inagoma kuandika. Ananza kwaaa-kwaaa kwenye karatasi za watu. Wabongo bwana hatukosi balaa
ReplyDeleteWHY DON'T WE LEARN WHAT THESE PEOPLE NEED FROM OUR COUNRIES? WE READ ABOUT HOW THEY COLONIZE DEVELOPING CONTRIES IN DIFFERENT WAYS, BUT STILL WE ALLOW THEM TO SIGN CONTRACT!! FAUSTIN MUNISH HAD A REALLY GOOD SONG "WHEN THEY SAY THAT A PERSON IS GOOD, CHECK WHAT THEY SAW IN YOUR COUNTRY" THESE PEOPLE ARE PRETENDING, THEY NEED US TO DEPEND ON THEM, THEY NEED TO GET MORE AND GIVE LESS! COME ON!! PEOPLE WHY ARE YOU BLIND! GOVERVERMENT! LEARN FROM WHAT HAPPENED!
ReplyDelete