naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa akisalimiana na mwentyekiti wa wanawake na maendeleo (wama) mama salma kikwete alipomtembelea ofisini kwake jijini dar leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hina hina mwanagu naona festi leidi imekubali.

    Mmependeza wakina mama na muendelee kufanikisha maendeleo ya wakina mama TZ

    ReplyDelete
  2. tumekubali bwana jakaya;

    ReplyDelete
  3. Mama muguro diet. Mama kikwete amenenepa kapendeza .

    ReplyDelete
  4. Salaam kwa mama wataifa(kwanza) ´nafurahia sana juhudi yako ya kuleta maendeleo kwa kina mama. UJUMBE WANGU MÁMA KIKWETE NAKUOMBA UENDE PALE HOSPITAL YA TEMEKE UONE KITONGOJI CHA WAZAZI, ON MY VIEW MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA KWA WAZAZI HAPO TEMEKE HOSP. ASANTE KAZI NJEMA.

    ReplyDelete
  5. Mama umependeza hina yako ile mbaya na hizo dhahabu na matenge duh!
    Mama Migiro I love you sana and your hair style... you looks so mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  6. Uongo mbaya, vazi letu la kitenge ni babu kubwa. Masuti masuti wala hayapendezi. Mmependeza kina mama vitenge hivyo naviona tu vinavyomeremeta. Hongera first lady wetu kwa jitihada za kuwakwamua kina mama wa kitanzania kwenye matatizo sugu mengi tuu.

    ReplyDelete
  7. mama migiro nenepa kidogo mama yetu, muone first lady kanawiri uso unaonekana wa kitoto...safiii, ongezeka mana utakuwa bibi kwenye sura mama migiro..pleez

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...