wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa ndege ya fast track wakiwa kwenye sherehe za uzinduzi wa safari za kampuni ya ndege ya misri ya egypt air mwishoni mwa juma katika hoteli ya movenpick. wa sita toka shoto ni mustafa rajani, bosi wa kampuni hiyo ambayo imesema libeneke la egypt air litaanza muda si mrefu ujao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...