Wadau wa Dallas na vitongoji vyake mnakaribishwa kwenye ibada siku ya jumapili saa kumi na mbili jioni.
Mtumishi wa Mungu
Pastor ANDREW MUKASA KUTOKA TANZANIA ATAHUBIRI.
Maombi mbali mbali kwa wagonjwa na wenyeshida yatafanyika. Tunaomba kila moja atakaesoma tangazo hili amtaarifu mwingine.
Anuani ni
12727 Hillcrest Road,
Dallas Texas 75230.
Simu ni;214 554 7381,
469 279 1762,
682 552 6402.
Karibuni sana.
Umoja Church

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...