Home
Unlabelled
karibu afande!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
magwanda ya porini mwayavaliani mjini?.
ReplyDeleteHaya maswala ya kuwa na wanajeshi wazee inakuwaje?
ReplyDeleteMaprofesa wengi ni wazee!
ReplyDeleteKikwete wewe ni mwanajeshi hebu fuatilia kama kweli General Nkunda akitustukiza kipigo tutaweza kukabiliana naye ama atatutia bakora kama DC Mnali na walimu wazembe?
ReplyDeleteKikwete wewe ni mwanajeshi hebu fuatilia kama kweli General Nkunda akitustukiza kipigo tutaweza kukabiliana naye ama atatutia bakora kama DC Mnali na walimu wazembe?
ReplyDeleteKuuwa bila ya haki ni kuchagua njia pana isiyoenda uzimani.
ReplyDeleteAnon wa kwanza hapo si mjini ndugu yangu bali ni porini hasa au hujasoma vyema maelezo na wakurupuka kutoa maoni??
ReplyDeletewabongo bwana taaabu sana.
Kama kuna kitu kimoja tu tunachoweza kujivunia hapa nchini katika miaka takriban 45 iliyopita,basi kitu hicho ni Jeshi letu la Wananchi,JWTZ!Lina Nidhamu ya hali ya juu;ni shupavu na lenye ujasiri mkubwa;limedhihirisha kwa vitendo kwamba lina uwezo wa kukabilina na changamoto zozote;limethibitisha kwamba kweli ni Jeshi letu Wananchi na si la KIKUNDI FULANI CHA WATU WACHACHE!Imeanza kudhihirika wazi kwamba katika siku zijazo Jeshi letu litatumika mahali pengi katika kutuliza ghasia na kulinda uhuru wa raia bila ya ubaguzi wowote katika nchi nyingi za bara la afrika na sehemu nyingine duniani.Huu ni ushindi ambao kila mtanzania hana budi kujivunia.Viva JWTZ!our army has been able to break all barriers of division and use of excessive force to quell social instability!it has indeed demonstrated to the world that it is an army of Liberation!Not of Proliferation of Hatred and Suppression!Congratulations to all those who have contributed to this big Success.No easy task.----papperazzi antonnio---
ReplyDeleteNajivunia JWTZ na historia yake jana, leo na kesho (kesho?). Namsapoti CDF na Amiri Jeshi Mkuu kwa falsafa yao yao kujenga jeshi la kisasa. Ila maswali na vizungumkuti kibao vinanivuruga...
ReplyDeleteMV Alina juzi ilidakwa na wala mirungi wa hapo jirani, na watani wa jadi wanadai ile shehena ya vifaru matata sana vya Kirusi vya T-72 ni ya kwao. Ni vizuri kuwa prepared for the worstcase scenarios, na kwa jinsi tusivyotabirika hapa Maziwa Makuu, anaweza chizi mmoja akabwia unga na kugida ulabu kisha akaibukia Kigoma au Taveta na kuleta rabsha. Sasa hiyo falsafa ya jeshi la kisasa, je inazingatia mazingira ya 21st century? Unajua tena miICBM, miApache attack gunship, maF-16 ya kumwaga, unmanned drones na military hardware za kutosha, chemical na nuclear warfare preparedness na vitu kama hivyo. Sisemi kwamba nasi tuingie kwenye arms race hapa Maziwa Makuu, la hasha! Lakini kama tukiwa na walau aircraft carriers tano hivi za kubeba hata viji jet fighters vyetu kumi kila moja, nina uhakika wengi wetu tutapata usingizi usio na mang'amung'amu, wakiwemo CDF na Amri Jeshi Mkuu wenyewe...
After all, ndani ya miaka 15 au 20 ijayo wakati first born wangu yuko University, sidhani kama kuna mtu anaweza kunibishia kuwa Bongoland itakuwa superpower ya hapa maskani Isti Afrika ya Mashariki na Maziwa Makubwa, in all senses... uchumi, military, social etc.
Tupo?
WEWE MICHUZI,SASA WABANIA NINI??
ReplyDeletendio mwamunyange ni "handsome" ile kinoma ilo jicho balaa,yan na ayo makombati ndo balaa
sasa wataka nikusifie wewe??
aaagh@*='##, acha izo wewe!!!
aya na hii bania!!
Katika watano kuna wanajeshi wawiri tuu, JK na huyo kushotoni kwake. Mwanajeshi hakuna kuinamainama, angaria mita 100 bere.
ReplyDeletedavies mzuri acha ni balaa.. aisee mwamunyange nakufagilia much loveeeeeeeeeeeee.........
ReplyDeletewe unayesema kati ya hao watano wanajeshi ni wawili what is your problem. kashifu ni za nini ndugu. pengine maisha yana kuchanganya. wivu ni wanini. kama huna la kusema nyamaza. mimi ninakubali na huyo hapo juu DAVIENDS MWAMUNYANGE ni mzuri sana kwa sura na umbo. raisi kikwete pia ni mzuriiiiiiiiii.
ReplyDeletenani kawaambia mjeshi anapimwa kwa sura....sifa ya mulume ni kazi na ukakamavu..sio sura!!!
ReplyDeletehakuna fashion show..tena nikiwa trainer mwenye sura nzuri ndie nampa mikiki kiki hadi sura ikakamae....