kijana ibrahim saidi akitoka katika mahakama ya hakimu mkazi wa kisutu baada ya kusomewa shtaka la shambulio la kudhuru, ambapo anatuhumiwa kufanya kosa hilo machi 10, 2009 kwa kumpiga kofi la shavu la kushoto rais mstaafu alhaj ali hassan mwinyi kwenye ukumbi wa diamond jubilee hall wakati wa baraza la maulid


nadhani utaratibu wa kutuletea picha za video utkua mzuri sana muheshimiwa mwenyekiti intia raha unapoona vijana wa said mwema wanavyotoa maelekezo kwa waandishi wa habari ,ila nashangaa imekuwaje kesi isogezwe tena mbele wakati mwenyewe ameshakiri nildhani hapo ilikuwa ni hukumu tu
ReplyDeleteYule mwingine aliyemrushia Kiatu Rais Mstaafu George Bush wa Marekani hivi karibuni,Leo naye kalambwa Miaka Mitatu JELA kwa kosa hilo!Naye pia alikuwa anapitisha ujumbe wake kwa staili ya peke yake,baada ya kuona magazeti na mitandao haitoshi!Sasa huyu jamaa yangu anayejiita Sultan Ustaadh "moto utamwakia".Kutenda bila kufikiri kwanza,akili za Panzi kwelikweli!Majuto mjukuu sasa!Sitashangaa akilamba miaka mitano!
ReplyDeleteInasikitisha kuwa mbali ya kujaa jela zetu, mtu anapokiri kosa lake bado anapelekwa tena kumande. Nafikiri kwa kesi kama hizi inabidi hukumu hapohapo
ReplyDeleteBlackmpingo
Namvizia huyo jamaa nimlambe kibao hapo kisutu! hawezi kumpiga Mzee wetu na sisi tukamwachia! Dini inaheshimu sana watu wakubwa waliokuzidi umri...huwezi kumpiga mzee wako kofi tena mbele ya hadhara eti kwa kisingizio cha dini!!Mbona sijaona mtu anapigwa vibao au hata kutukanwa anapozungumzia kondom barabarani??/ kwa nini iwe mzee Mwinyi?? alaaniwe huyo kijana hata kama anatetea Dini!! Namlaani huyo kijana na hata asipofungwa hilo kosa alilofanya litamfata kila atakapokuwa na hatafanikiwa maisha yake yote!! Kitendo cha kumpiga kosa Mzee wetu mpendwa kimeniuma sana na sina raha toka siku ile...Namwomba mzee wangu Mwinyi atulie na mimi nitamlipizia kisasi!!Wadau tushirikiane kumlaani huyu kijana
ReplyDeletehivi ndio vitu unavyotakiwa kuviongeza ktk blog yetu ya jamii,
ReplyDeletekuna wanablog millions wanaotembelea hapa tokea ifunguliwe,kila kitu kipo poa hapa,lakini naona tusiendlee na kila siku mmbo hayo hayo,tubadilike kwa kuweka video sasa ili wanablog wajionee watukio mbali mbali pamoja na kauli za kusikia ,na kuchangia maoni,video ni muhimu sana,na sio picha tu miaka yote.
Dawa wamweke Jangwani na apigwe risasi hadharani! Wakifanya hivyo wengine hawatamwiga!
ReplyDeletemie naona mwinyi ndio mwenye makosa kuzungumzia watu kutumia kondomu kwenye sherehe ya dini ni kama unaunga mkono zinaa.hio topic angeiruka tu na angeizungumzia kwenye sehemu zingine.kwahio ustadhi kama alivyojielezea yeye alitaka kutuma ujumbe tu kupinga zinaa na njia hile ndio aliona ina faa kwa vile yeye mlala hoi.
ReplyDeletediwani alicha bakora walimu sasa raia kamchapa kibao kiongozi ha ha ha.tanzania tambarare.
Hongera Michuzi kwa kutuwekea video ya mbaya wa Rais Mwinyi akitoka mahakamani.... tunaomba utuwekee na video wakati akimulamba kibao Rais Mwinyi...tafadhari
ReplyDeleteLike if I was dreaming...niliangalia ile picha ya maulidi nikajiuliza hivi wanawapa walinzi kwa muda gani baada ya kuachia uongozi??????
ReplyDeleteJamani wamlinde baba wa watu....hata kama mtu humpendi mtu mwingine huna right ya kumpiga....kwanza kapiga the wrong person baba wa watu hakufilisi nchi...waliofilisi nchi wako na mabody guard kila siku
Hekima sio kuzungumza neno zuri tuu, ni kuzungumza neno zuri pahala na wakati muafaka na kwa hadhira muafaka ukitumia njia bora kabisa bila kukinzana na maadili ya hadhira.
ReplyDeleteKijana alikuwa anaondoa tatizo kwa mkono.
ReplyDeleteBasi tu kwa sababu sisi ni wepesi wa kusahau vinginenyo. Shinyanga siku ya kupigwa kibao Rais Mstaafu kungekuwa na Bugobogobo la kufa mtu.
ReplyDeleteBAADA YA KUTOKA KATIKA GIZA KALI LA 70s NA 80s WATANZANIA WANAMUONA MWINYI KAMA ALMASI.VIPI AL HAJI TENA MZEE MBELE YA WAUMINI UNFUNDISHA UCHWARA INAMAANA WEWE UNAYAFANYA HAYO. INASIKITISHA KUPIGWA. LAKINI INASIKITISHA ZAIDI KUPINGA AYA ZA M MUNNGU.TUBU NA UMSAMEH HUYU MUUMINI.
ReplyDeletefair play ni kuwa mzee mwinyi mwenyewe amsamehe huyu jamaa,kwani hata yeye mwenyewe nadhani alikose kuongelea ngono sehemu hio,pia hata ktk utawala wake sio yote mazuri aliyoyafanya,kuna makosa kibao,lakini binadamu wote wa bongo tumemridhia na kumsamehe kama mzee wetu,
ReplyDeletehakuna aliekuwa hana kosa,
Ningefurahi sana angemchapa kibao mkapa.
ReplyDeleteTuanzishe tamaduni za kuwachapa vibao MAFISADI na kuwazomea,Sio Mzee Mwinyi.Yani Imeniuma sana
ReplyDeleteJIONEE VEDIO YA MZEE RUKSA AKILA KIBANO www.youtube.com/watch?v=DFzsCShW-Xg
ReplyDeleteWatoa maoni wengine hawana akili kabisa!Sipendi kuwaita watoa maoni watanzania,kwasababu natambua wazi kwamba watoa maoni wengine humu wako ughaibuni na hata Mashariki ya Kati!Kumbe usipozungumzia mambo ya Ngono na Zinaa katika mihadhara ya Dini,iwe makanisani au misikitini,kumbe Ukazungumzie Wapi?Vilabuni na kwenye Madanguro? Wajinga kwelikweli!Ukweli hauta badilika,utake usitake watu wataendelea kufanya zinaa kila siku!Maelfu ya watu wanakufa kila siku kutokana na maambukizo ya ukimwi!Lipi jema na la busara zaidi,Kiongozi wa Dini akae kimya na kuacha kulizungumzia tatizo hilo na maelfu ya waumini wake waendelee kuteketea AU Kiongozi wa Dini awe jasiri wa kuzungumzia masuala hayo katika hali ya uwazi na kistaarabu zaidi? Wajinga watatamka,acheni hao malaya wafe,wakumbane na hukumu ya Mola!Lipi Baya zaidi,kuoa wanawake wengi au kutumia kondomu hata kama una mke mmoja tu wa ndoa? Huyu Kijana Laana itamshukia!Labda ahame nchi hii akatafute huko kunakomfaa wanako ishi kwa "Sharia!"Tanzania hatutaki "shari".
ReplyDeleteannon apo uko sawa
ReplyDeletendo nchi sasa ikiongozwa na SHARIA NA MAHAKAMA YA KADHI
yan sheria mkononi,kukatana vidole,kupigwa mawe,kuchapwa makofi nk
kaaazi kweli
Tz is secular state,,,basi
hawa wenye imani kali sijui waangaliwe sana wako wengi sana misikitini.watafutiwe kisiwa chao wakae huko