Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. This is so fun. Wanasubiriwa na kiboko.Toba

    ReplyDelete
  2. Hili la timu ya taifa kusubiriwa na bakora limeshawahi kutokea Afrika. Ibrahima Bakayoko wa Ivory Coast anaweza kuwasimulia maswaibu yaliyowapata.

    ReplyDelete
  3. ha ha ha ha ha
    ni kweli heri MNALI angeenda kuwapokea na angeanza na MAXIMO maana anabagua wachezaji na kutaka aheshimiwe kama MUNGU MTU!!!!
    mi nina wasiwasi na huyu jamaa,inawezekana ana mchezo mbaya kwa wachezaji wetu na wale wanaokataa ndio anawachukia kama CHUJI na BOBAN
    habari ndiyo hiyo

    ReplyDelete
  4. Nasikia yule X DC wa Kagera Bw Mnali aliyewatia bakora walimu ndie alipewa mualiko wa kuwapokea stars. Maximo akasema ashushiwe Nai, ikabi mkubwa Tenga amstopishe Mnali kuja kuwapokea.

    ReplyDelete
  5. kiboko vikianzia bungeni kwa ubunge wasio fanya kazi katika majimbo yao itakuwa sawa

    ReplyDelete
  6. MBONA WABUNGE WA TZ KARIBIA 90%WANAKAA DAR??MAJIMBO YAO VP WATAJUAE YANAYOWASIBU UKO?IZO TRIPS ZA KUMALIZA DIESEL NA VX ZAO NA PER DIEMS ZA KUENDEA UKO WATOA WAPI?

    IVI WHY HATUFATILII HILI??

    KTK KAMPENI UTAWAONA WAKO VIJIJINI WAKISHAPATA BASI WOOOTE WANARUDI DAR,,,

    =/.,~~###**"£./;;~'@ zenu sana

    ReplyDelete
  7. Lakini jamani waungwana naomba tuangalie kitu kimoja.Kuna baadhi wametoa sababu ya kuwa eti Maximo anawachukia baadhi ya wachezaji, mi sidhani kama ni kweli. Kubwa zaidi ni kuwa wachezaji wetu wanakosa nidhamu. Mchezaji apata umaarufu tu baaasi, dunia yote yake, hawataki kuzingatia mazoezi wala maelekezo ya kocha.Sasa na kocha anapokuwa ni msisitizaji wa nidhamu ndipo hapo msigishano unapoanza.Nina mfano mdogo wa kuonyesha upungufu wa nidhamu miongoni mwa wachezaji wa timu ya Taifa. Walipoalikwa Ikulu kwa chakula kabla ya safari yao ya Abidjan, kuna baadhi ya wachezaji walimsalimia Raisi wakiwa wameweka mkono mfukoni....?!(kama mliziona picha zile)Wachilia mbali mavazi waliovaa..!Sasa huo ni mfano mdogo tu wa tabia ya mtu binafsi ambayo pia inaweza ikaathiri mwenendo wake kwa ujumla.Mi nadhani pia mafanikio katika kitu chochote yanatokana na nidhamu. Nidhamu ya kazi, mazoezi..nk. Nidhamu hujenga bidii na kujituma na ukiongeza na ujuzi ndipo mafanikio yanapopatikana!!

    ReplyDelete
  8. WATANZANIA TUNADANGANYWA KUWA HUYU KUKU ANAYELALIA ATATOTOA LAKINI MBONA MIMI NIKICHUNGLIA ANACHOKILALIA NAONA NI MPIRA WA GOFU! JAMENI SI MPAKA TUTAZEEKA HATUJAONA KIFARANGA. HAYA TUSUBIRI KWANI NI DESTURI YETU TULIYOIZOWEA YA KUDANGANYWA.

    MUNGU IBARIKI TANZANIA NA ZIDUMU FIKRA ZA MWALIMU.

    ReplyDelete
  9. Anomy wa March 05, 2009 12:49pm
    Nakuunga mkono kabisa. Tunapaswa kuangalia uwezekano wa katiba kubadilishwa. Ikiwa Mbunge ameshindwa kutimiza matazamio ya waliomchagua basi zipigwe kura za maoni na apigwe chini. Tatizo ni kuwa hao hao wabunge hawataupitisha huo mswada.

    Ila hili ni jambo la kuzingatia. Wakishapata kura wanatelekeza majimbo yao moja kwa moja.

    ReplyDelete
  10. Mie sisemi kitu ila Wasubirieni "Original Comedy" watakavyo wananga hawa kaka zangu!!!! Yaani kama vile namuona Joti atakavyo wananga!!!!!! Nemburis!!

    ReplyDelete
  11. Dereve wa hiyo ndege angesubiri yule DC afike hapo uwanjani kwanza ndio awashushe...wanahitaji kiboko hawa kuanzia viongozi wao mpaka daktari wa timu.

    ReplyDelete
  12. kp! u made my day!haha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...