Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiagana na viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano baada ya kuzungumza nao , Ofisini kwake jijini Dar
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano ((Telecommunication Workers Union of Tanzania) baada ya kuzungumza nao ofisini kwake jijini Dar. Shoto kwake ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Dr. Maua Daftari na kulia kwake ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Miundombinu, Hezekiah Chibulunje


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Waziri Mkuu Pinda ni mchapakazi hodari na maamuzi yake ni ya busara sana yanayoweka mbele maslahi ya nchi na watu wake kwanza. Kwa kweli anasthahili pongezi kwa kuondoa mizengo na urasimu mwingi wa baadhi ya watendaji serikalini inayokwamisha maendeleo ya nchi. Chapa kazi kijana wa Mwalimu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...