
inawaletea kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania shindano la
THE MOST HANDSOME MAN IN TANZANIA 2009
Shindano litafanyika katika NEW AFRICA HOTEL mwezi huu March katika tarehe itayotangazwa karibuni.
Majaji ambao watawachagua hawa ma HANDSOME MAN au Vijana watanashati wa kitanzania ni Mr. KANUMBA the film actor and Director, LATOYA the BBA3 participant, MISS TZ 009 NASRIM, and Former Miss TZ 006, BELLA.
Mshindi atapata USD 1000 na kupata nafasi ya kushiriki katika Fashion show za SOUTH AFIRCA kama Mwanamitindo kutoka Tanzania na pia kupata kazi za matangazo hapa hapa TZ.
Washiriki wamepatikana kutoka Agency mbali mbali za Wanamitindo hapa TANZANIA
Bro. michuzi, you rock. This's the kind of stuff we should do more na si misses tu. Damn!, I'm really gonna miss that, I wish I was there kushuhudia. Wakaka wa bongo jamani ni wazuri uongo mbaya.
ReplyDeleteBro. michuzi, you rock. This's the kind of stuff we should do more na si misses tu. Damn!, I'm really gonna miss that, I wish I was there kushuhudia. Wakaka wa bongo jamani ni wazuri uongo mbaya.
ReplyDeleteMost handsome man? au kids mbona hamna wanaume wakubwa wote kama watoto vile....au ni kwa mwendo wa jones brothers hapo.......LOL
ReplyDeleteBro. Michuzi you rock!
ReplyDeleteThanks for info, guess it's perfectt time to have the most handsome guy in TZ. enough of the misses. I wish I could be there to witness the competition.
Tanzanian guys are hot!
Atakayekua mzuri zaidi, yupo mume tayari amepatikana ?
ReplyDeletewatanzania hatuna la kufanya?
ReplyDeleteyeah, the guys are cute BUT wenye manywele makubwa naomba tu wakakate-I'm not feeling it!
ReplyDeleteHii ni kama male miss tanzania?
ReplyDeleteHapo hakuna mtoto hata mmoja wote watu wazima hao! Mbona wakiwa wasichana hamsemi 'wadogo'??
ReplyDeleteKumbe na wanaume wanaweza kufuga minywele na ikarefuka ki-hivyo..
ReplyDeleteSasa kwahiyo wale wasiozifuga ina maana zinabakiaga ndani ya mwili? lolol
si zitawapa maradhi? maana lundo lote kama la huyo mkaka hapo mweusi alochuchumaa lingebakia mwilini miaka yote ? kah
Nyota
habari ya kazi bro michuz, pole na majukumu.
ReplyDeleteSamani naomba ufafanuzi kidogo katika maelezo yaliyotolewa hapo kwamba washiriki wamepatikana kutoka Agency mbalimbali za mitindo. Yamaanisha hamna mshiriki atakaye ruhusiwa kushiriki katika mashindano haya kama hajatoka kwenye Agency?
Asante.
kaka michuzi nimefurahi sana kuona hayo vijana wazuri, wabongo hatukubali kupitwa.... sasa kaka naomba utuweke warembo yani ma miss..
ReplyDeleteBro Michuzi...hili niswali kwa hiyo Angels entertainment.... Je kuna criterias za kuchagua the most handsome man? handsome in what? sura(face),mavazi (appearance) au Akili (exposure) ....Maana Bongo kuna watu wengi sana tunaowaita mahandsome na mabeautiful lakini ni sura tu na uvaaji wa vi-body suit na kwenda gym, lakini akili finyu huwezi hata kukaa nae dk 10 mkafanya maongezi ya maana!...Na hao majudge wenyewe wako exposed to the extent waweze chagua mtu alie exposed?? Eti Kanumba???.. Inshort Angels entertainment inatafuta hela ya kula tu lakini ubora wa hilo jambo sidhani kama upo. Watanzania tubadilike, kuuza sura tu sio solution, we need to work hard, be assertive, have goals in life and achieve the best! Na nyie waandaaji msichoreshe watu jipangeni muandae vitu vya maana! mbona ideas zipo tu jamani....
ReplyDeletehalow brotha Michuzi, you are rock as usualy, mi nafurahi sana kuona vijana wa kitanzania wakifanya vitu kama hivi, sio kila siku ma miss tu, tumechoka na miss, kwenye miss lazima hawepo mr. au handsome man. big up angels entertainment na brotha michuzi.
ReplyDelete