Home
Unlabelled
siku ya mazingira afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni vizuri kuonyesha msisitizo wa usafi maeneo ya jiji, lakini kwanini mmeziba pua zenu, mmevaa gloves, mifuko rasmi ya taka na fagio mpya? sababu mnajali afya zenu na ubishoo tu?! Basi muone umuhimu wa wale kina mama na baba wanaotufagilia kila siku barabara zetu kuwa na wao ni binadamu pia kama nyinyi na wanahitaji vitendea kazi muhimu kama hivyo kwa ajili ya afya zao na ufanisi zaidi wa kazi siyo mpaka wajifunge handkerchief, chini wavae ndala, taka wanakusanyia mikono na pakacha na fagio iliyokwisha kabisa. Ni aibu kabisa leo kukuona wewe umejikinga namna hiyo!
ReplyDeleteswali...je na hao wanaofagia kila siku wanapewa vitendea kazi zaidi ya fagio, kama vile mask?
ReplyDeleteWIZI MTUPU......................WHY?????????????????????????
ReplyDeleteNashindwa kuelewa kabisa wanamazingira wanapo adhimisha siku ya mazingira kwa shuguli za USAFI kufagia barabara nk nadhani hii ni dhana potofu na ya kijinga.. Mazingira ndio kiini cha maisha yetu ya kesho uchavuzi wake sio wa taka nyepesi kama maganda ya machungwa.. huyo Waziri mzima badala ya kuangalia Uvuvi wa baruti, mimonyoko ya ardhi, kuyeyuka kwa barufu Kilimanjaro,upandaji miti,uwezo kuzalisha mbinu mpya za kuni za kupikia upigaji maruku mikaa nk anakwenda kusafisha kituo cha mabasi... hizi photo Opprotunity nyingine zinathibitisha kuongozwa kwetu na wajinga
ReplyDeleteJamani waziri huyu kwenda kusafisha hapo Ubungu kituo cha mabasi sio jambo lakini kama kiongozi wa serikali angetakiwa kwenda maeneo sugu kama Tabata dampo, Kinondoni shamba, Tandale na maeneo kama hayo ili aweze kutoa mwamko kwa wakazi wa maeneo hayo kujua umuhimu wa kutunza mazingira tatizo la viongozi wetu ni kwamba wanaowasaidia kazi wanaogopa kuwapnesha hali halisi ya sisi wanaotuongoza tunavyoishi.
ReplyDeleteWAZIRI huna AIBU KABISA NA NYOTE APO MNA ROHO ZA SHETWANI NA HAMNA UTU,,
ReplyDeleteao watu wanaotufanyia usafi barabarani ata viatu hawana,sembuse gloves?new brooms,mifuko mipya?
YANI HII PICHA INAKERA INAKERA INABOA INADHARAU INA KILA AINA YA UFISADI WA kumfisidi mwanadamu mwengine ukijiona bOOOORAAAAA
aya majumban mwenu tumejua mnatumia vaccum machine,km si haus-geloz na boyz wafagia
Hii CCM na Serikali yake ni usanii mtupu hata mama mzima tena DK nae hata aibu hana.
ReplyDeleteYaani MAZINGIRA anataka tuamini kuwa ni USAFI??!!
Mimi sielwi hawa viongozi wanatuonaje sisi wenyenchi ni Mabwege kiasi gani. Kama wadau wengine walivyosema usafi ni jambo la kila siku na tena la kawaida haliitaji kampeni.
Bw Keenja wala hakufanya kampeni ya kwenda kushika fagio bali aliweka utaratibu wa kuhhakikisha hiyo shughuli inafanyika. Ndio maana ya kiongozi, uongozi si picha.
Sasa huyu Dk yeye anaenda kuingilia shughuli za Serikali za mitaa badala ya kufanya kazi yake ya mazingira.
Lakini kwa maneno mengine afanyeje wakati serikali nzima imekuwa ni ya shoo, Bosi wake mwenyewe juzi hapo bandarini sijui alitokea Rose Garden au Slip way maana ofisi gani unavaa hivyo tena hakuzingatia sheria ya usalama kazini.
Hao ndio viongozi wetu sasa tutegemee nini zaidi??
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Iokoe Tanzania
Mzawa