beki wa taifa stars shardack nsajigwa akiongea mara tu baada ya kutua dar leo0 wakitokea ivory coast
kiongozi wa msafara waziri wa nchi ofisi ya maikamu wa rais mh. muhammas seif khatibu akiongea mara bazada ya taifa stars kutua leo dar

kocha marci maximo akiongea na katibu mkuu wa tff frederick lameck lugano mwakalebela



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. oya t-shirt yangu niliyokuomba nikiwa wapi.co.tz iko wapi kaka......na je huyo jamaa hapo alikuwa analia ama lah umbea tu....?Picha ya pili kati.

    ReplyDelete
  2. Wadau, ingawa nimechanganya mambo. Naomba mwenye kufahamu ilipo SANITARIAM CLINIC, nataka kumwona Dr Isack Ndodi. Huyu Dr alikuwa anahojiwa saaana Channel Ten. Mara ya mwisho alisema yuko Mwembechai, nimefika pale, kibao anachosema kipo kuelekeza alipo, sikioni. Tafadhali! Just write here, I will read.

    ReplyDelete
  3. dah mwakalebela mtu unayejishughulisha na michezo unaachiwa mwili hivyo kaka?? unafikiri jamii inajifunza nini kutoka kwako kaka?? samahani kama hujapenda ila nimuono wangu tu.

    ReplyDelete
  4. Mr Lugano, hiki kitambi si cha afya, this is obesity! Fanya mazoezi and you do not practice what you are preaching!!

    ReplyDelete
  5. Du kaka yangu Fredric punguza kitambi. Ukikilea hicho kitakuletea matatizo kaka. Nakumbuka jinsi ulivyokuwa na mwli mzuri kipindi unaishi Wilolesi Iringa

    ReplyDelete
  6. My friend unayemtafuta Dr. Ndodi don't ask his sema Halelluya Clinic for sure hakuna mtu asiyepafahau. nenda tena uliza yeyeyote Haleluya Clinic ni wapi.

    anafahamika kwa jina hilo sana.
    SANITARIAM Clinic sio wengi wanao ifahamu. niulize swali out of this mada, hivi nyie taifa star mlibeba darkblue suti za nini? vaeni nguo zenu za michezo mnajidai mmekuwa kina Ardebayor wakati bado kabisaaaaaaaaa.

    Lakini mlijitahidi bwana hongereni. ukiuma kidogo halafu unapuliza.

    ReplyDelete
  7. Mwakalebela mfano gani huu tena !
    Suti umeshindwa kuvaa ,hata mazoezi ya kutoa kitambi pia yumekushinda ?
    Hata tai ,aibu hiyo ,utawaambia nini hawa wadogo zetu wanaochezea stars ?

    ReplyDelete
  8. Wabongo kwa kupenda vitambi,ukiwa na kitambi tu basi wewe ni pedeshee.

    ReplyDelete
  9. Huyu jamaa ana kitambi ama ni mavi tu yamejaa humo.Nadhani anakoishi hakuna maji ya kutosha hivyo anaenda haja kubwa kwa msimu kubana matumizi ya maji.Akili ni nywele.

    ReplyDelete
  10. wadau mie nauliza tu,hivi huyu kocha MAXIM anaongea lugha gani?

    ReplyDelete
  11. Lazima niwalaumu Taifa Stars kwa "Uzembe" na "over confidence",kuvimba kichwa kwa mafanikio ya muda mfupi kiasi cha kupoteza ushindi dakika za majeruhi kabisa,wakati walikuwa na kila uwezo wa kushinda mechi ile na kuingia nusu fainali.Kitu muhimu walichofanikiwa Taifa Stars ni kututoa aibu watanzania kwamba hata sisi tunaweza kutoa timu yenye uwezo wa kushinda katika michuano ya kimataifa.Makosa yaliyofanyika lazima yafanyiwe kazi na kurekebishwa na lazima tujiimarishe zaidi kwa kutafuta vipaji vipya zaidi.Maximo anastahili kupongezwa kwa mafanikio yaliyopatikana na kwa kuwajenga vijana wetu kisaikolojia zaidi na hata katikamfumo wa uchezaji.Halikuwa jambo rahisi.Penye ukweli lazima tuseme bila hiyana.Uzembe huo hatutaki utokee tena,tunajua ilikuwa bahati mbaya,Stars walijiamini kupita kiasi kwamba kwa sekunde zile zilizosalia walikuwa wameshashinda.Kumbe katika Soka mambo hayako hivyo.Mtu anaweza kufungwa hata zikisalia sekunde MBILI!Ushindi ni pale Kipenga cha mwisho kitakapo pigwa!

    ReplyDelete
  12. maximo speaks spaninlishi (spanish+inglish ya brazil)
    or brazil-kreole

    me uwa simuelewi kabisa,zaidi ya neno footballee,we goooo basi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...