beki wa yanga nsajigwa akiwa ameweze kumdhibiiti winga wa vancouncer white caps kwenye mechi yao ya kirafiki leo katika neshno jipya.


mabingwa soka nchini yanga leo wameibanjua timu ya vancounver white caps toka Canada kwa mabao 3-0 katika mchezo wa kitafiki wa kimataifa uliofanyika neshno leo.
Jerry Tegete alitingusha nyavu mara mbili, dakika ya 37 na dakika tatu baadaye. Mike Baraza alimalizia msumari wa tatu




Jumamosi White Caps watakipiga na Taifa Stars katika mchezo mwingine wa kirafiki, ambapo Maximo anatarajiwa kupima wachezaji wapya aliowateua.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Jamaa wamelalamika sana kuhusu hali ya hewa ya bongo.Wanashangaa hata watu wanaishije.Ukisoma kwenye tovuti yao utaona jinsi wanavyolalamika.Wanasema wameshindwa hata kufanya mazoezi.Miguu inawaka moto.Wamepima joto la bongo wakakuta uwanjani ni 56c.Ama kweli bongo tunaiweza wenyewe..

    ReplyDelete
  2. www.whitecapsfc.com
    Tanzania Hot Hot Heat
    Today's training session was at 10 a.m. in what I can only describe as the most intense heat I have ever experienced. We were training on field turf (exactly like what we have in Vancouver) and the plan was to have an intense session before our game on Monday.

    However, two minutes into the warm-up it was clear that what would normally have been a typical practice was going to be a serious physical and mental grind. The temperature on the turf was 52 degrees Celsius; four feet above the pitch it was 42 degrees Celsius.

    Despite having to take many water breaks (both to drink and to water down burning feet), we made it through training without major incident. During training, hundreds of Tanzanian kids and other football fans stood around watching, curious to both witness our different training habits and also to catch a glimpse of the competition that will be playing Yanga FC on Monday (the country’s most popular team).


    Our Sea Cliff hotel is stunning. We are on the edge of a cliff, with the ocean right below. We have buffets for breakfast, lunch, and dinner, outside in the shade of an outdoor patio. The food is great: bacon, eggs, chicken breast, rice, steak, pasta, and prawns the size of boomerangs. Beautiful…nothing more to say.

    ReplyDelete
  3. Hongeraz..Go Yanga,am your fan.

    ReplyDelete
  4. Vancouver White Caps Vision 2011

    The Whitecaps organization dates back to 1974. The club has been known as the Whitecaps and the 86er’s at various times during its lifespan, but regardless of which name it carried, it has always made a unique and important contribution to professional sport and entertainment in Vancouver and British Columbia.

    In the 1970’s, 80’s, and 90’s, the club experienced years of on-field success, winning the 1979 NASL Soccer Bowl and four consecutive CSL championships. Since 2002, under the ownership of Greg Kerfoot, Vancouver Whitecaps FC has taken on a new life, with a clarity of vision not seen in earlier incarnations.

    Over the past two years, the club has engaged in an increasingly integrated and planned approach, guided by three organizational goals which form our mission:

    To be one of the best small market sports franchises in the world
    To grow the game of soccer in British Columbia & Canada
    To be a significant community asset

    With four United Soccer League Championships since 2004 (one First Division; two W-League; and one Super-Y); an established Super-Y affiliate program; Prospects training programs for elite youth development; improving on-field product; rising attendance; increased exposure through international exhibition matches; and the development of North America’s first elite youth development Residency program, the foundations of a club philosophy have been firmly established. With planned facilities (stadium, fields, and training centre) also underway to support these endeavors, the club is now in a position to move forward with Vision 2011.

    Vision 2011 is the Whitecaps’ four-year plan, incorporating milestone goals for all aspects of the club, including player development, fan loyalty, ticket sales, facilities, youth development, and community relations, among other things. Vision 2011 is about connectivity, integration of various teams and programs under a true club philosophy, and steering the club towards a sustainable future.

    The four-year timeframe, leading to year-end 2011, was chosen specifically with thought towards several critical internal and external events:

    Anticipated completion of proposed Whitecaps Waterfront Stadium
    Window of opportunity to align men’s first division team with best North American league available
    Building momentum for the 2010 and 2014 Men’s World Cup
    Legacy planning for Vancouver and British Columbia post 2010 Olympics
    Two major men’s tournaments (U-17 and U-20 World Cups)
    Potential to host 2011 Women’s World Cup (N.B.; this opportunity was recently awarded to Germany)
    Goals for each piece of business have been aligned with overall organizational goals, with an aim that the whole will be greater than the sum of its parts.


    Goals for success by the completion of Vision 2011 include:

    Economic sustainability of all major lines of business, with net revenues redirected to Whitecaps Foundation for investment into Club programs and other community initiatives
    75% fan loyalty as measured by a combination of on-going surveys and ticket renewal rates
    Completed construction of new facilities throughout the Lower Mainland including Whitecaps Waterfront Stadium; a National Training Centre; and six Community Fields
    90% year over year employee retention

    On the way to reaching these goals, some key milestones that the Club is actively pursuing for 2008 include:

    Grow awareness of Whitecaps brand by 10%
    Develop and implement phase II of “Whitecaps FC University” training programs for staff, volunteers, and vendors
    Continuing to build youth programming through affiliations and regional partnerships
    Increase Season Tickets by 40%

    We will continue to unroll Vision 2011 as part of major announcements throughout the year, and look forward to reporting on the achievement of milestone goals as they happen.

    http://www.whitecapsfc.com/club/vision2011/

    ReplyDelete
  5. Tukiwaambia Bongo kugumu mnakasirika na kututukana. Basi wacha wazungu wapake wenyewe labda kitaeleweka.

    ReplyDelete
  6. Hata wazungu huwa wanatoa visingizio.

    ReplyDelete
  7. kulia kwa zamu.najua hata wabongo walio huko Canada washalia sana tu kwa baridi.wastake kuleta visingizio wala nini,summertime hata viwanja vya kwao huwa ni kizaa zaa somehow.hiyo staili ya kujimwagia maji hadi ktk viatu hata USA wengi hufanya hivyo wakati huo wa summer.haswa kwa zile games za mchana.

    ReplyDelete
  8. Hongera yanga kwa ushindi mkubwa dhidi ya hao WATALII!,ushindi huo usiwape matumaini kwamba mambo sasa safi na AL Ahly wataondoka tu!.
    Tunauhakika mtapigwa bao hizohizo kama mlivyo wapiga WATALII na hapo kama mtawakuta jamaa wa Al AHLY wako UNFIT!.
    Na nyie andaeni visingizio kuwa Cairo kuna BARIDI KALI!.

    ReplyDelete
  9. Nyie ngojeni tu mmewapata hao wahindi mnaona ndio kipimo cha muarabu toka lini canada wakacheza football ebu nitajie mchezaji mmoja tu wa canada anaecheza mpira ulaya. subilini jumapili mtalijua jiji la cairo kwa uchache tu mtapigwa saratha kama mlizo wapiga hao mabaharia.
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  10. Yanga kushinda White Caps sio kipimo. Hao kama walivyodai joto limewachesha.

    Lakini Al-Ahly wanatoka Jangwani ... wao joto la Dar ni kama aircondition vile.

    ReplyDelete
  11. Mnatuletea vijitimu vya America hata havijulikani wachezaji hatuwajui TIMU ZA CANADA na USA zibaki hukohuko kwao leteni TIMu za UK,SPAIN,ITALY au FRANCE au ZA BRAZIL NA ARGENTINA USA hakuna mpira wa miguu Biashara tu. Mwanza

    ReplyDelete
  12. HAHAHAHAHAHAH jamaa wanaleta Visingizio kwani California wanachezaje? siwanadai Jezi zao kwenye Joto zinakamata ngozi zao ziwek idogo baridi na baridi ziwe kidogo joto si NIKE hiyo au wanaleta Sababu leteni timu za Bara la Ulaya au South America msituletee tena vitumu vya North America hata LA Galax msituletee.

    ReplyDelete
  13. Hehee ati jumamosi inacheza na Taifa stars....si afadhali ungesema kuwa inarudiana na Dar Yanga African , Maana mimi me najua na kuamini kuwa Taifa stars ndiyo Yanga au nimekosea wadau,maana me mwenzenu niko mbali kidogo ,nje ya nchi kikazi....!!!.

    ReplyDelete
  14. hako ka-timu kawala pizza hako kanaonyesha vitambi vimewatoka wachezaji kwa pembeni utasema mbuzi mjamzito eti joto mbona stars ilienda kucheza denmark kwenye baridi????

    ReplyDelete
  15. Hii noma kweli. Mbeleko mpaka kwenye mechi na watalii!!! Michu mbona hukumwambia mtu kwamba kuna mtalii alipewa kadi nyekundu kwa makosa?

    ReplyDelete
  16. Anon 9:04Am ww ni kati ya wale wengi ambao mnafuatilia soka juu juu.Kwenu soka ka sio Man Utd,Chelsea,Arsenal,Brazil nk sio soka. Kuna wachezaji kibao watokao Canada wanaocheza Ulaya. Everton(miaka ka 5 iliyopita) walikuwa na mchezaji atokaye Canada. Owen Hargreaves wa Manchester Utd alizaliwa Canada ila ana passport ya England(sababu ya wazazi wake wa-english)
    Pia kuna wachezaji kadhaa watokao Canada wanacheza ligi za Ulaya km, Belgium,France,Italy na German.
    Katika Ligi ya championship ya England kuna timu moja (nimeisahau) ina Mcanada.
    Kwa hiyo acha kubwabwaja bila mpango.

    ReplyDelete
  17. Wewe Mbigili ndio una bwabwaja tutajie hao wacanada wanacheza ulaya eti wapo italy,france wataje basi unakimbilia kusema owen wa man kwasababu eti alizaliwa canada sasa wazazi wake mbona wauk wewe ukizaliwa china utasema wewe mchina?
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  18. Hahahah leo mmempatia jamaa Owen Hagreves kama nimekosea jina haya ushasema anachezea Taifa uwengereza sio M Canada tena. ila yupo mmoja kachezea Everton na mwengine alimuowa Mwanamke mmoja mwenyekiti au katibu wa birmingham jamaa alicheza Birmingham akaenda Sheffield jamaa kazaliwa Europe ana uraia wa Canada. sema USA NA CANADA timu zenu hatuzitaki leteni wa EUROPE wachezaji wetu waonekane.

    ReplyDelete
  19. Canada wanaye mchezaji japo wa ngama anayecheza soka Ulaya. Anaitwa David Edgar na anaichezea Newcastle United ya Uingereza.
    Wacanada wana mafanikio makubwa kuliko sisi katika soka la kimataifa. Mwaka 1986 timu yao ya Taifa ilikuwa Mexico ikishiriki katika fainali za kombe la dunia. Sitaki kutonesha vidonda lakini timu yetu haijawahi kufika huko.
    Ila kama ni kuleta klabu ya kucheza na timu zetu za bongo wangeleta timu ya Toronto inayoshiriki MLS. Kwani USL ndio ligi kuu kama premier league au ni kama ligi daraja la kwanza? Tena basi Taifa Stars haikupaswa kucheza na hawa watalii. Wacheze tu na kina Simba, Yanga, Manyema, African Lyon basi. Taifa Stars ilitakiwa kupambana na timu ya taifa ya Canada.

    ReplyDelete
  20. kama nilivyosema Jana kuwa wabongo wengi mnafuatilia vitu juu juu.Mnadai hakuna wacanada wanaocheza soka la ulaya.Nina majina kibao hapa na mnaweza kuthibitisha ninayosema kwa link hii.
    Yule mchezaji aliyewahi kuchezea Everton ni TOMASZ RADZISK ila sasa anachezea timu ya Skoda Xanthi nchini Ugiriki.Jamaa kacheza sana English Premier league miaka ka mitano au sita iliyopita.
    Pia kuna wachezaji kama

    PAUL STALTER yupo Tottenham( England)
    Iain Hume yupo Leicester City(england)
    Jaime Peters-Ipswich town(england)
    Jason De Vos-Ipswich Town(england)
    Jonathan De guzman-Feyernood(Holland)
    Julian De Guzman-Deportivo la coruna(spain)
    Daniel Imhof-VFL bochum (german)
    Ryan Gyaki-FL itansa Rostock(German)
    ***Kisheria Utaifa wa kuzaliwa una nguvu kuliko wa kununua. Owen Hargreeves anahesabika ni Mcanada hata baadhi ya waingereza wanampiga madongo kwa kuchukuwa nafasi za waingereza wa kuzaliwa.Kuna aliyesema ka umezaliwa china utaitwa mchina offcourse yes Utaifa si lazima ufanane na watu wa asili ya pale. Kuna Watoto wa kiafrica kibao wanaozaliwa Uturuki,Ujerumani,Oman nk na wanahesabiwa ni wananchi wa nchi hizo.Wabongo acheni hisia za kizamani.
    Mfano huyu mchezaji wa Inter milan Zlatan Ibrahimovich ambaye anahesabika ni Msweden sababu kazaliwa Sweden lakini wazazi wake wametoka Nchi mbili tofauti.Sasa Mtu kama huyu mtamwitaje?
    Acheni Upumbavu wa vijiweni.Nendeni na wakati.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...