Washindi BSS Mtwara (wenye t-shirts nyeupe) wakiwa kwenye picha ya pamoja na 
Mwakilishi wa Vodacom Elihuruma Ngowi baada ya kumalizika kwa usaili wa BSS Mtwara 2009.
 
Mshiriki wa BSS Mtwara akiwa kwenye foleni ya usaili wa M-PESA    
Washiriki wa BSS Mtwara wakiwa kwenye msururu mrefu
wakati wa usaili Mtwara Technical College

Washindi wa BSS Mtwara  (wenye t-shirts nyeupe) wakiwa kwenye picha ya pamoja na 
               Majaji wa BSS Mdame Ritha Paulsen, P-Funk na Master J.

Hii  ni mara ya kwanza nchini Tanzania kwa  Vodacom Tanzania kuwekeza kwenye kinyang’anyiro cha kuibua na kuendeleza vipaji vya muziki ijulikanayo kama Bongo Star Search 2009. Uwekezaji huo wa Vodacom umelenga katika kuongeza mikoa ambayo kuna vipaji vingi vya kuimba ambavyo vinahitaji kuibuliwa na kuendelezwa tofauti na miaka ya nyuma. Mikoa iliyoongezwa ni pamoja na Tanga, Kigoma, Tabora na Kigoma.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nawapa tano Vodacom kwa kuwekeza katika shughuli za Watanzania.

    Endeleeni na moyo huo huo.

    ReplyDelete
  2. Natumaini bongo star search ya mwaka huu itakuwa nzuri.Elihuruma vipi unaoa lini? mie mdau mwenzio tulisoma wote pale Moshi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...