JK akifungua kikao cha Viongozi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kilichofanyika ikulu jijini Dar leo
Katibu Tawala mkoa wa Mwanza Bibi Dorothy Mwanyika akila kiapo mbele ya JK Ikulu jijini Dar leo asubuhi.
JK akimkabidhi nondozzz za kazi katibu Mkuu wa Wiazara ya Sheria na Katiba Bwana Oliver Mhaiki muda mfupi baada ya Kumwapisha ikulu jijini Dar es Salaam,leo asubuhi. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
Wizi mtupu
ReplyDeleteHuyu Mhaiki ni mmoja kati ya wachapa kazi hodari tuliobaki nao hapo nyumbani TZ, lakini tatizo ni kuwa amezungukwa na mafisadi watupu tokea alipokuwa mkuu wa chuo cha ualimu pale Moro.
ReplyDeleteAlipopandishwa cheo na kuwekwa pale wizarani ndio mambo yakaharibika zaidi baada ya kulazimishwa na kuingizwa katika mtandao wa wezi wa serikalini.
Labda atajirekebisha kidogo maana kama ni utajiri tayari anao wa kutosha hadi karne ijayo.
kila ck tanaona na kusikia watu wanaapishwa je wanaambiwaga ni nini kazi zao au ndio yaleyale bandika bandua au toa na weka.
ReplyDeleteCongrats OJ, keep the good spirit up,through hard work anything is possible!!
ReplyDelete