Home
Unlabelled
bongo tambarare: mafuriko dar baada ya kamvua ka saa moja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh, kaaz kweli kweli Bongo.... Hapo mwanangu hukawii kuzama manake sio maji hayo, ni mito mwanawane!!
ReplyDeleteBongo Tambarare....
Ni kama vile nchi na miji yetu imejengwa kwa nyakati za kiangazi tu. Ni kama vile Mamlaka za maji zinajihusisha na maji safi (ambayo hayapo kwa kiwango kinachotakiwa) na hazihusiki na mifumo ya maji taka ambayo ndiyo isababishayo yote. Ni kama washughulikiao uwekezaji wameelezwa kuwa kazi yao ni kukusanya kodi na si kurekebisha mazingira safi na salama kwa wawekezaji / wajasiriamali hao. Ni kama vile sehemu watu wahishipo na / kufanya biashara hazina nafasi katika mipango ya waendesha mji.
ReplyDeleteKwa ujumla ni kuwa wenye kutakiwa kihudumia jamii wameamua kukacha majukumu yote yasiyoonekana kwenye uso wa wapiga kura. Ndio maana mifumo ya maji taka na mengine mengi inapuuzwa
WAKATI NCHI ZINGINE VIONGOZI WAKIONA SWALA KAMA HILO WANAJARIBU KULITATUA,VIONGOZI WA NCHI HIO WANAO NI KAWAIDA MIAKA NENDA RUDI.
ReplyDeleteSEMA NDIO HIVYO UKIJITOKEZA KUWAKOSOA WANA KUNDI LAO LA LUPOTEZA JAMII LINALOONGOZWA NA WATOTO WAO KAMA { US BLOGGER} NA KUKUZULIA KILA SABABU KWAMBA NIA YAKO NIKUGOMBEA URAISI KWANI SWALA HILO SERIKALI INASHUGHURIKIA HAMNA KIPYA.
INAMAANA MIAKA YOTE HIO WAMESHINDWA KUTATUA HILO SWALA HAO MPAKA WATOKE MAJUU NCHI HAINA WAKANDARASI WANAOWEZA KUTATUA HILI? KWELI BONGO LALA.
mdau "cha mtu mavi"
KWELI BONGO TAMBARARE, YANI DAILY TUNATETEA ETI OOOHH mifereji imeziba kutokana na udongo sijui nini. JAMANI eehh JK fukuza wakurugenzi wa manispaa zote, itasaidia hawa jamaa km wamezaliwa siku ya kero duniani. Mara mafuriko coz of mifereji imeziba, mara uchafu wa maji ya chooni posta pale, masoko na majalala ya ovyo. Mie napinga kusema tunaishi karne ya 21. Sisi bado 2po karne ya 10.
ReplyDeleteNi mimi mdau niliyekata tamaa na propaganda za bongo.
Kweli Bongo tambarare..tatizo ni kwamba malka husika pamoja na kuwa zinaliona tatizo hili hazitaki kuchukua hatua stahili. basi hapo utasubiria mpaka yatakapokauka yenyewe kwa msaada wa jua la Mungu. jamani Wadanganyika tuamke, hamna mzungu atakayekuja toka Ulaya na kutuzibulia mifereji yetu. Kwanza jiji linatia aibu, karibu miaka 50 ya uhuru lakini hali za maisha ya mdanganyika haiwi bora, hebu fikiria kama hapo nyuma ya Alpha House, si ndio mwanzo wa magonjwa ya milipuko, nani kasema kuwa kipindupindu kitaisha bongo? je Malaria? yataendelea kutuandama mpaka tutakapoamua kubadilisha attitudes zetu. we need changes and it is us who will bring those changes.
ReplyDeletemanispaa mbalimbali za jiji ziamke na kuhakikisha hali hii inatoweka kwa kweli..........inatia kinyaa na aibu.
Hivi wahandisi wa Bongo wanapoona hivi wanajisikiaje? Mambo haya yanadhalilisha taaluma yao km kweli wao ni wazalendo lkn kama suala ni "vijisenti" haya bwana. Nasema hivi kwa sababu ukifuatilia takwimu utaona kuwa barabara hizi kwa vipindi tofauti zimekuwa kwenye matengenezo na hatujawahi kusikia waliobuni michoro ya barabara hizi ni akina Kipanya bali ni wao kwa misingi kwamba wana taaluma hiyo sasa kama hii ndio taaluma "kalagabaho." JK tazama hawa watu wanaojiita wahandisi inawezekana ni wakulima wa mpunga na matokeo yake wanatutengenezea majaruba badala ya barabara.
ReplyDeletewhat can i say?
ReplyDeletewhat can i do?
nothing,
as
i am a tanzanian,
maneno mengi,
hakuna matendo,
I see wrong in what you do,
but what i do is always right,
i am a tanzanian.
i do not work effectivelly here, where i can,
where i am given the opportunity, where i am supposed to make the difference,
but i want you to make the difference,
i am a tanzanian,
i want you to change,
I do not want to change,
I feel passionately your mistakes,
i dont want you to touch mine,
i am right,
want you to be led by the bukoba DC,
not me though
I am a tanzanian
I want to be a journalist also,
my responsiblity is to show you what to do,
and let you do it,
I am a tanzanian
natumaini wote tunakumbuka ile adha ya wale wachina waliochimba mji mzima ili maji ya mvua yapite, ni juzi tu, hata ukarabati wa muindo mbinu iliyotutesa vile hatutaki, watakuja tena kuchimba upya!!!
tukome
Yaani kama kuna kitu ambacho ninamshukuru Mungu kwa kwetu Tanzania, nadhani ni kuhusu kutuepusha na mvua za Typhoon ambazo huwaga zinatokea upande wa Asia,i.e Japan,Vietnam, China n.k. Yaani hii kitu huwaga inapiga kwa karibu masaa zaidi ya 12 na upepo mkali ambao mtu huwezi hata kutembea nje au hata magari. Sasa hii kitu ikitokea Tanzania, mhhh! maana kama nusu saa bila upepo hali ni hiyo aise. Tushukuru Mungu.
ReplyDeleteWallahi kwa mtindo huu, sirudi Bongo Ng'o.Likizo tu two weeks then Mwendo juu.
ReplyDeleteMungu Awabariki kwa Picha hizi na taarifa za kukatisha Tamaa.
Nashukuru Mungu alinitoa kwenye giza na kunionyesha Mwanga.
Mdau UK.
Audhubillah
ReplyDeleteNaona nikirudi Dar afadhali nilete dahabiyya badala ya gari
Really this is not funny somebody has to look into this, otherwise one day lives will be lost for nothing
Wakatabahu
Oyee VikWanGuAa AnGa
ReplyDeleteMiundo Mbinu ni dhaifu sana, Je Serikali ina mpango gani wa kupanua zaidi mifereji (sewage system). Mji ulijengwa kukabiliana na idadi ya watu 100,000 lakini sasa Dar ina watu zaidi wa Millioni 3. Wazee wa jiji wanakunywa kahawa tu, hakuna lolote wanalofikiria
ReplyDeleteKuna kazi kubwa sana iliyofanyika maeneo mengi ya jiji ya kupasua barabara wakidai kwamba ni kuweka mabomba makubwa ya kupitisha maji ili wakati wa mvua hali kama hii isiwepo, karibu sasa ni miaka mitatu tangu "wamemaliza" na sijaona tofauti yoyote mvua inaponyeshakazi. Mbaya zaidi barabara ziliachwa bila kuzirudisha kama ilivyokuwa mwanzo na sasa kuna mashimo sehemu nyingi. Wadau ninauliza kazi hii haijaisha, au kama kawaida yetu tumetapeliwa au kazi ile haikuwa kwa ajili ya maji ya mvua?
ReplyDeleteBongo tambarare kwa starehe tu CCM watatawala milele bila kuleta maendeleo ya kweli. Ndio maana Mabutu hakupata shida Zaire jamaa wanakata viuno yeye anafisadi sasa hivi wamehamia Bongo, Something has to change people.Money you spend on alcohol is not going back to your comunities I guess
ReplyDeleteNCHI YA WAJINGA!
ReplyDeletePOLENI WANA DAR!!
ReplyDeleteHUU MJI MIMI UMENISHINDA JOTO LIKIANZA JOTO KWELIKWELI NA MVUA ZIKIANZA NAZO NDIYO KAMA MNAVYOONA YAANI NI ADHA
MIMI DAR SIPAPENDI KABISA BORA UKAE MIKOANI NA NINAWASHANGAA SANA WATU KUNG'ANG'ANIA DAR NENDENI DODOMA DAR HEWA YENYEWE CHAFU JOTO LIKIANZA KILA MTU MIJASHO SASA MMEAHIDIWA NINI?
AU NDIO UBISHORORO WA KUVUJA JASHO?
Du hii kali!
ReplyDeletewataalamu walishayaona kuwa baada ya miakla 50 dar itamezwa na bahari, nawashangaeni sana mnavyozidi kujenga vigorofa uchara hapo au mnawajengea papa na nyangumi??
ReplyDeletenikiwaona watu wanaendelea kujenga dar nawashangaa sana sijuwi huwa hawaangalii news au ndiyo wameweka inta masikioni? dar si mji kwa ujumla mwalimu pia aliyaona akaanmua kujenga dodoma lakini watu wanavyokuwa wabishi wamekataa kuhama haya matokeo yake mtaanza kuvua samaki mlangoni
TUTAFUTE WAWEKEZAJI KATIKA UONGOZI.
ReplyDeletewewe hapo juu uliyesema tutafute wawekezaji unahakili sana hata mimi nakubaliana nawewe
ReplyDeleteviongozi wetu hawakuhitimu kuongoza bali wamehitimu kuongozwa milele wasipoongozwa madhara yake mtaendelea kuyaona
HIZO GARI KAMA ZINGEKUWA HUKU, WENYE GARI ZAO AKHAAAA KAMA WANALIA VILE. INSURANCE COMOANIES ZINGEWAFIDIA NA MAGARI YANGEPIGWA MNADA KWA LOSS YA WATER FLOOD DAMAGE. SIJUI BONGO KAMA KUNA KITU KAMA HICHO. WENYE NYUMBA SIDHANI KAMA WAMEKATIA BIMA NYUMBA ZAO AU SIJUI KAMA BIMA YA MALI ZA NDANI.
ReplyDeleteAIBU TUPU!!
ReplyDeleteheheheheh lady driven cars hizo kila siku zinatangazwa kama hazipiti kwenye haya maji. Hao ladies wao wana barabara zao maalumu kuepuka haya mafuriko? Kesho ikiuzwa wala hawasemi iliingiaga maji hivi.....duh wallah bongo tambarare .....mhhh...but what can I say.....it's always home sweet home..... I miss so much that kind of life style though with mahindi ya kuchoma pembeni man...you don't see that foleni or those pot holes at all......I'll trade nothing for my lovely country...soon narudi nyumbani...getting ready for myself...I think I'll try to swim around
ReplyDeletetanzania nchi yangu hivi nini viongozi wanaweza kufanya kweli????mitaro ya maji ina washinda,kichekesho viongozi wamekaa wanaangalia tv,jiji lina viongozi luluki lakini wapi kazi zao,ndiyo maana wazungu wanatuita manyani,nina kubaliana na mdau hapo juu bora kubinaifisha hiyo serikali,nina mpango wakuleta familia yangu yote USA,hapo dar likizo wiki mbili nduki.kazi kujenga vikwangua anga tu this is some BULLLLLLL!!!! if u know what i mean.
ReplyDeleteKUSEMA KWELI MIMI NAKUBALIANA NA WENGI WENU HATA WALE WANAOWAZA TOFAUTI NAMI, IKIWA NI HELA! KUNA NGO's KIBAO HAPO BONGO ZINAZOTOKA NJE NAKUONYESHA PROJECT ZAO ZA HAPO BONGO NA KUPATA MISAADA YA MAMILIONI YA DOLA KUTOKA KWA WAFADHILI (IKIWA TUNADAI HATUNA UWEZO WA KUTATUA MATATIZO YA KIJAMII KAMA HAYA)BASI HIYO MISAADA KIBAO MNAYOPATA KUTOKA KWA AKINA BUSH JUZIJUZI HAPA MLILAMBA MILIONI KADHAA!!! AU TATIZO HILI HALINA KIUPAMBELE?HALINA UMUHIMU WA KUPATA MGAO WA HIZO FEHA NA KULITATUA ?CHOO KIKIMWAGIKA KIUKWELI HAPO MUJINI ! SIKU TATU NNE HAKUPITIKI ! WATALIA WATU HAPOOO! NA KWA WALE WAOSHA VINYWA WANAODAU WANAMSHUKURU MUNGU KWA KUWALETA ULAYA!!! MAMA ZENU NA WAZEE NA JAMA ZENU WAFE TU "NO SWETI"? HEBU AMKENI HOME NI HOME TU, HATA KAMA HUISHI HAPO UTASONONEKA NA KUSITIKA UKIONA CHOO CHA KWELI KIMEMWAGIKA NA WATU HAWANA CHA KULA, KUNYWA WALA SIMBA NA YANGA WALA MAGARI YA KIFISADI. HAPO NDIO UTAJUWA KWENDA ULAYA SIO BORA ZAIDI YA KWENU, AMKENI....UONGOZI BORA NA USHIRIKIANO YA WATANZANIA KWA UJUMLA NDIO UTAOSAIDIA KULETA MAFANIKIO,
ReplyDeleteNUTRO
Tukipata viongozi waadilifu kama kina Mnali mnawafukuza,sasa namna hii hawa waandisi, madiwani mameya na mkuu wao wa mkoa si walistahili kutandikwa viboko tu... Mnali kokote ulipo nakupa shavu mwana njoo uchukue kazi hapa jamaa washaumbuliwa tandika wote bakora
ReplyDeleteNDUGU MICHUZI,NINA SWALI MOJA.HIVI HUYU RAIS KIKWETE KUKIWA NA MVUA HUWA HATOKI NJE?NA AKITOKA HUWA ANAYAONA MAJI YANAYOFURIKA?NA KAMA ANAYAONA LABDA ANAYAFURAHIA?NAOMBA MAWAZO YAKO.
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeleteUna maana gani kusema BONGO TAMBARARE wakati nyumba za binadamu wenzetu zinaelea kwenye maji? au nini maana ya bongo tambarare? mimi nilifikiri ukisema bongo tambarare una maanisha bongo mambo safi. Naomba ufafanuzi wadau.
Maji yote hayo inakuwaje mabomba yetu hayatoi kitu?
ReplyDeleteTatizo la Tz ni wengi hawana uaminifu wengi ni wizi ukimuajiri kazi atakubali kwa mshahara wowote kwa sababu ana ajenda yake ya wizi hawezi kujali wala kua na imani na nchi wala raia wala uungwana wa kutimiza wajibu wake Hilo ni tatizo sio umasikini ni kukosa kujua halali katika kazi yako ni maadili ya upuuzi ndo yenye kuthaminiwa baada ya wizi.
ReplyDeleteKakas
VUNJILIA MBALI HALMASHAURI ZOTE. RUDISHA DAR CITY COMMISION.
ReplyDeleteWE NEED ANOTHER KEENJA
I WAS THINKING PALE CHUO KIKUU KUNA WAHANDISI VITENGO MBALIMBALI, PIA KUNA CHUO CHA ARDHI VITENGO MBALIMBALI. KATIKA HALI YA KAWAIDA HAPA NDIO MAHALI PA KUFANYIA "FIELD WORK" AU ..... KINGINE KUSEMA SERIKALI THIS AND THAT HEBU TUBADILI TABIA MIFEREJI IWE KWA AJILI YA MAJI TU SIO TAKATAKA NGUMU AU KUHIFADHI MCHANGA UNAOFAGILIWA BARABARANI, MIMI NAAMINI UNDERGROUND MIFEREJI IPO ILA IMEZIBWA NA TAKA TUTUPAZO NA MICHANGA .
ReplyDeleteHAPO JIJI INABIDI MFANYE KAKAMPANI ILI KUZIBUA HIZO CHEMBERS KAMA WALE 'GREEN PEACE" WANAVYOJITOLEA KUFAGIA "BEACH"
:-)
Sawa kabisa anon wa 9 April 12:07 AIBU TUPU, jana nilikua naangalia taarifa ya khabari ya ITV huko kinondoni ndio utatamani kulia maji hadi ndani ya maduka hapana pa kupita, gari zinazama yote unaona paa la juu ndo unang'amua kuwa pale kuna gari, madarasa yote yamejaa maji walimu wamepanda juu ya madawati wakikwepa maji hayo machafu yaliyochanganyika na maji machafu ya vinyesi, looooo, puuuu inasikitisha sana.
ReplyDeleteJamani sasa vyoo vya shimo ?
ReplyDeleteNa ile stendi ya mabasi yakwenda mikoani pale ubungo.
ReplyDeletemvua ikinyesha, basi maji hayana pakwenda .
hivi unajenga stendi bila kuwa nakufikiria kwamba kuna siku mvua zitanyesha na maji yanatakiwe yaondoke kwa urahisi.
kweli hii BONGO
HAYO NI MAAFA YA MVUA KALI PENGINE ILIAMBATA NA KIMBUNGA(STORM). HAKUKUWA NA TAHADHARI YOYOTE YA HALI HEWA NA HAKUNA KIONGOZI YEYOTE ALIYEAMKA NA KWENDA KUANGALIA WANAOWAPIGIA KURA.
ReplyDeleteTATIZO NI KWAMBA, IDARA YA HALI HEWA(AMBAYO SIJUI KAMA IPO), INAFANYA KAZI KIENYEJI MNO NA SIJUI KAMA INAKWENDA NA WAKATI.
HILI LAZIMA WANGELIJUA ANGALAU WIKI MOJA IN ADVANCE NA KUWATAHADHARISHA WAKAZI WA JIJI WAKE TAYARI KWA MVUA KUBWA.
NCHI ZILIZOENDELEA NA ZINAZOENDELA UTASIKIA SERIKALI IKIHIMIZA WANANCHI WAONDOKE MAENEO YATAKAYOKUMBWA NA HALI HIYO AU WAJIANDAE KUZOLEWA NA MAJI!
SIJUI KAMA KIKOSI CHA ZIMAMOTO KILIENDA KUANGALIA AU KUOKOA WATU WALIOKUMBWA NA MAFURIKO HAYO. SIJUI KAMA KUNA TAARIFA KAMILI ZA WATU KUPOTEZA MAISHA NA HAIJULIKANI NI HASARA KIASI GANI ITAKAYOPATIKANA KUTOKANA NA MAFURIKO.
YOTE HAYO HAYAWEZI KUJULIKANA KWA VILE NCHI INAENDESHWA KIENYEJI MNO...YAAANI MNO! KAMA WATU HAWAJAENDA SHULE BWANA.
NCHI INAENDSHWA NA WATU WENYE DIGRII ZA JUU, MASTERS NA USHUZI WOTE WAJUAO WASOMI. LAKINI WENGI HAWANA IDEA HATA MTAZAMO WA MBELE WA KUJIADHAHARI NA HALI KAMA HII AMBAYO SI MARA KWANZA KUTOKEA.
MENGI YANAHITAJI MAJIBU HAPA. IPO WAPI MIFEREJI YA MAJI AMBAYO YENGEPUNGUZA MADIMWBI NA HATA MAJI KUTUAMA BARABARANI WAKATI MABILIONI YA FEDHA YANAISHIA KWENYE 4X4?
SIJAMALIZA NAENDA KUJISAIDIA NTARUDI TENA....
MIKINGAMO BLOG-SAUTI YA WANYONGE, SAUTI YA UMMA
TANZANIA IUZWE/IBINAFSISHWE!!! NCHI ZILIZOENDELEA HAMTAKI KUNUUA NCHI ILIYOLALIA UTAJIRI??!!
ReplyDeletedah nimemiss sana ayo maisha,naja ths easter tu mguu dar!!
ReplyDeletehahahahahahaaa
wee annon taahira apo juu unaesema nchi ya wajinga!!wee wa wapi?ata km umejilipua yan mtoto wa nyoka ni nyoka uwezi kufafanana nao,afu ata km ukiwa ni "jirani yetu"wee ni africa tu na twajua hali zetu uku.
unalo ilo,jijuuuu
yaaaaani kijitonyama yangu ndo imekua ivo???
ReplyDeletebahari adi mlangoni??
toba kwani kupanuliwa vile road ndo madhara aya?mitaro vipi?
millenium tower??
shughuli pevu
yaani inasikitisha kweli yaani dar eti jiji mara tambarare yaani huruma kwelikweli
ReplyDeleteILA NDUGU WATANZANIA KAENI MKIJUWA UGUMU WA MAISHA UNALETWA NA SISI WENYEWE
HAYA SI MAISHA JAMANI TUWE WASTAARABU NA SISI WENYEWE UCHAFU KILA KONA LEO HII CHOO KIMEJAA LEO MVUA IMENYESHA MNAOGA KILE KINYEASI MAGONJWA YAKIRIPUKA MNASEMA UCHAWI JAMANI ETI NCHI ZINAWASOMI HAYA NDIYO MATATIZO YA WATU KUSOMEA CHINI YA MWEMBE HAWAWEZI KUWA WASTAARABU KATU WANASOMA UTUMBO MTUPU.
Halafu mnatuchuza turudi. Bongo tambarareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
ReplyDeleteHiyo ndiyo faida ya kuweka viongozi ambao hawajaenda shule, mnaacha wasomi ambao wamebobea kwenye fani zao, mnaweka ndugu, marafiki. Lini nchi hii itaendelea, miaka mingapi tangu tupate uhuru, tunashindwa na nchi zilizopata uhuru juzijuzi, kazi kweli
ReplyDelete