
BONGO FAMILY (UK) PRESENTS
JOSE CHAMELEON EASTER TOUR UK
GOOD FRIDAY 10th April, 2009
@CLUB AFRIQUE, LONDON
EASTER SATURDAY 11th April 2009
@PANAMA BARA (BOBBY BROWN) GAS ST (OFF BROAD ST)BIRMINGHAM
EASTER SUNDAY 12th April, 2009
@BYBLOS GLASGOW
FOR TICKET INFO FONE 07533512670
OR VISIT
WWW.BONGOUK.COM
BIG UP CHAMELEON......
http://www.youtube.com/watch?v=avbxtttg5mE
Thi nilithikia Kamilioni kaokoka! Litakuwa ni tumbuizo la nyimbo za injili?
ReplyDeletelast time nilisikia ameokoka hospitali, what happened?
ReplyDeleteNafikiri atakua anaenda kupiga show ya injili kwasababu nilisikia ameokoka.
ReplyDeletemkulima-Kijijini Gezaulole.
huyu jamaa tulikuwa tunamsubiri kanisani!tuliambiwa kuwa kaokoka!
ReplyDeletekumbe hilikuwa danganya toto ya kupata mchango na misaada kwa jina la BWANA??!! Haleluya
Chonde chonde maghorofa huko kaka, ya huko ukidondoka huponi.....
ReplyDeleteIna maana hamjui maana ya Kuokoka?
ReplyDeleteJamaa aliokoka kifo.Ukisalimika mwanguko toka ghorofani ujue ww umeokoka hapo ama sivyo watu wangekuja kuzoazoa mifupa,kusafisha damu na mavy.