
Federico Macheda rescued Manchester United for the second successive league game as his goal sent the champions back to the top of the Premier League.
Paul Scholes had given United a first-half lead with a fine header before Kenwyne Jones bundled home from close range to equalise for Sunderland.
Read more from BBC by Clicking here
P GD PTS 1 Man Utd 31 33 71 2 Liverpool 32 38 70 3 Chelsea 32 35 67 4 Arsenal 32 26 61
5 Aston Villa 31 6 52 6 Everton 31 13 51
7 West Ham 32 1 44 8 Tottenham 32 2 41 9 Wigan 32 -5 41 10 Fulham 31 3 40 11 Man City 31 7 38 12 Bolton 32 -10 37 13 Stoke 32 -16 36 14 Portsmouth 31 -14 34 15 Hull 32 -19 34 16 Blackburn 32 -19 34 17 Sunderland 32 -13 32
18 Newcastle 32 -15 30 19 Middlesbrough 32 -22 30 20 West Brom 32 -31 25
Hapo wadau si mnaona hiyo GD,Man wakijipindua tu wazee wa Anfield tumebeba kombe na kulipeleka BWAWANI.U'LL NEVER WALK ALONE!Mheshimiwa kwa sana wa wilaya ya NANIHII naomba kuwasilisha HOJA hii ambayo ni HOJA binafsi!
ReplyDeleteTIKA(THE KOP)
ST-JEAN
CANADA
Bado game 7 kwa Man na 6 kwa Liver. Hapo najua washabiki wa Liver haja zinagonga kufuli maana hata kama mnagawa dozi lakini sisi ni ado ado Man utd.
ReplyDeleteKWA HIYO MAN U AKIMTAMDIKA MTU 2-1 IMEKUWA CHUPUCHUPU. LAKINI BWAWA LA MAINI WALIPOWAFUNGA FULHAM, VICHWA VYA HABARI AAAAHHHH...
ReplyDeleteLIVERPOOL BACK ON TOP OF PL! NILIDHANI BIAS IPO UK TU KUMBE HATA BONGO NAKO WAMELOGWA.
KWA TAARIFA YENU SCOUCERS, MNAPEWA MUDA MUWE NA IMANI YA KUTWAA KOMBE KAMA CHELSEA ILIVYOKUWA MWAKA JANA HALAFU WATU WANAIBUKA KIDEDEA SAFARI HII ITAKUWA PALEPALE TENA...JJB STADIUM MEI 17 SIKU AMBAYO TUTAKUWA TUMEPIGA GAME SAWA.
WAJOMBA MDOMO MWINGI TUNAANGALIA TUU WAKATI TUNAJIWEKA SAWA KUBAKI NA KOMBDE LETU. MTAHESABU MWAKA MWINGINE WA KUMALIZA MIKONO MITUPU.
Nilikuwa sijaangalia msimamo wa ligi muda mrefu. Arsenal watapeleka kombe Anfield. Kibaya zaidi Man U watamaliza wakiwa washindi wa tatu nyuma ya Liverpool na Arsenal ...si mmeona Bolton walivyowatoa kamasi vijana wa darajani
ReplyDelete