Habari Mzee wa Libeneke, Mr Misupu, Balozi wa nanihii, mbunge wa wilaya ya nanihii na mchumba wa nanihii,
 
FM academia "The Dream Team", Wazee wa Mujini, Wazee wa Pamba, aka Wazee wa Ngwasuma alhamisi kuu tarehe 09/04/2009 watatumbuiza pale Vatican City Hotel Sinza katika kuwaaga washabiki wao wakielekea huko majuu uingereza.
 
Wazee wa Ngwasuma wataondoka Ijumaa hivyo basi wanawaomba washabiki wao wote kuja kuaagana nao hapo Vatican city hotel, na katika kuwaridhisha watapiga nyimbo za zamani, kati na mpya kabisa.
 
Wadau wa dansi msikose usiku huu wa kipekee wa alhamisi kuu na Ngwasuma.
  
Nawasilisha  
Mdau Dean

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. JAMANI MWEEE KIINGILIO BONGO SAWA NA £2.60. JAMANI WE MASANJA WEWEEE. IWEJE UNATAKA KUTUKANDAMIZA NA MAPAUNDI £20.00 (50,000 SHS) KWA KICHWA HUKU ULAYA. IIII. UNAKANDAMIZA SANAAA.
    HAO WATU WAKIJA EBU FANYA ANGALAU PAUNDI 1(£1) TU AMBAYO SAWA NA SH2000 HUKO KWENYU ITAWATOSHA SANA.
    HALI YA UCHUMI HUKU WAJAMENI NI NGUMU MNAONA HATA MTANI OBAMA KAJA KUSAIDIA TUJIPATIE VISJENTI WAJAMENI MNATUKANDAMIZAGA TU KILA MAHALI.
    HATA KOFFI ALIPOKUJAGA HUKU TULIINGIAGA KWA MAPAUNDI 5. III..PUNGUZAGA MATAMAA WEWE MASANJA. TEHETEHEEHETEHEEEEEE. III PUNGUZAGA NATAKA KUJA NA MAMA WATOTO WANGU, MAMA WA MKE WANGU, SHEMEJI, WATOTO WAWILI WA SHEMEJI NA MKEWE WAKUBWA HAO NA MATITI NJE.
    BADO SIJAMTIA MWANANGU WA NYUMBA NDOGO NA MAMA YAKE, NAYE ANA WADOGO ZAKE WAWILI, III NA RAFIKI YAKE JUU HAPO WOTE HAO WANAANGALIA KIKADI CHANGU HAPO...EEEH WAJAMENI.
    NA YULE JIRANI YANGU MZUNGU ANANG'NG'ANIA KUJAGA HUKO KUTAKA KUONA WANAMUME WAKIKATIKAGA. YEYE NAYE ANA MUKE WAKE, WATOTO WAKE VIGOLI WAWILI...
    WAJAMENI NGWASUMA ANGALIA NISIJE NIKAKOSA NGOMA YA KWETU. SASA HAPO NIKIANGALIA HIYO TIMU HAPO, NI AFADHALI NIKAOMBA MTUWEKEE HATA BEI SELI JAMANI. SIJAUA NITAVAA KIATU NA NGUO GANI. AAAA MASANJA...EBU PUNGUZAGA HAKO KABEI WAJAMENI. BASI NIPUNGUZIE HATA MIMI TUU NA HII TIMU YANGU. MASANJA IIIIIII NISAIDIE KADI YANGU ITAPURURUKAGA.

    ReplyDelete
  2. walete walete,wazee wa chaga bite wanawasubiri kwa hamu!

    ReplyDelete
  3. AHAAA!!! MAKUBWA WEWE ULIYE UK UNALALMIKA UPUNGUZIWE SI WENGINE TUNAWAPANDIA NDEGE KUWAFATA NA BADO HIYO POUND 20 NAONA PIA KIINGILIO RAHISI DUUUUU!! WATU WA UK KWELI NAAMINI WAGUMU JAMANI MAISHA YA MTNZANIA ALIYE BONGO UNAFANANISHA NA ULIYE UK!!!! MIMI WANGEWEKA POOND 50 PIA POA WEWE

    ReplyDelete
  4. NGWASUMAAAA NAKUJAAAAAAAAAAAAAAAA!naondoka
    AMSTERDAM THIS WEEK-END

    ReplyDelete
  5. All is well …Michuzi, are these people serious coming to the uk? as far as concerned these people used to have problems with their immigration status down there in tz, now I wonder if they have already sort out those problems and having their uk visas? I don’t want to be nuisance, just to know and we don’t want to be embarrassed on that day if they won’t be in the venue

    ReplyDelete
  6. WALETENI MAREKANI TUTATOA HATA DOLA $ 100 WATOTO WA OBAMA HATUNA UBISHI KWENYE STAREHE. TE TE TE TE TE! STAREHE GHARAMA KAMA HUNA HELA, KAA NYUMBANI NA MKEO MUANGALIE TV.

    ReplyDelete
  7. hawa wakifika majuu hawarudi tena!!!!!! TZ wanausongo kinoma na parie (paris)
    mtaona soon mtasikia wameingia mitini majuu.

    ReplyDelete
  8. ETI HAUTAKI MUWE EMBARASED????JAMANI
    HIVI MTAACHA LINI KUWA NA NEGATIVITY HIVYO VIROHO VYA KWANINI
    HAMVIACHI???ME NIMEONGEA NA NYOSHI AL-SADAT KASEMA WAPO TAYARI SASA
    WEWE HUWE VIPI EMBARASSED HAPO???WADAU KAMA PESA NYINGI KAAENI NYUMBANI NA KAMA UNAONA HAWAJI PIA DONT GUMBLE KAAA HOME
    IF U AINT GOT MONEY GET YA A....
    HOME...MIMI NI MSHABIKI SANA WA NGWASUMA NA LAZIMA NIWAUNGE KOTE WATAKAPO PIGA ACHENI FIKRA POTOFU NA TUWASUPORT JAMAA WA NYUMBANI
    WATANZANIA WA U.K KWA MAJUNGU!!!KHAAA!

    ReplyDelete
  9. Mdau hapo juu upo juu!!!umenifurahisha kweli..eti kama huna pesa get ya ....malizia basi
    ngoja nikusaidie if u aint got money take ur broke ass home
    hahahahhahha....kweli jamani ebu
    fikiria baada ya ku support kama kawaida yetu MAJUNGU PLACE!!!nomaaa
    wabongo hapa uk kuna watu wanapenda sana ku put other people
    down..

    ReplyDelete
  10. iiii wajameni. mimi nimemuomba ndugu yangu Masanja na wala sitaki muwahusishe wajameni wa UK. Iiii Watanzania muna mudomo mwingi. Hata ntu akisema kidogo tu basi imekuwa wote. samaki mmoja akioza, wengine ukiwawahi watapona, hawataoza. kwa heri masanja wajameni wamenitukana kama vile sijavaa nguo. ntuza kale kang'ombe kangu nijege kuwaona wana wa ngwasuma lakini najua masanja wewe ndugu yangu tu utanipunguziaga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...