Hasheem Thabeet
Kijana Mtanzania Hasheem Thabeet ataongoza timu yake ya chuo kikuu cha Connecticut katika nusu fainali au Final Four za michuano ya mpira wa vikapu hapa Marekani Jumamosi watakapochuana na Michigan State mjini Detroit.

Nusu fainali nyingine itakuwa baina ya North Carolina na Villanova. Washindi wanakutana katika fainali Jumatatu Aprili 6 hapo Detroit.


Timu itayoshinda leo itaingia fainali ambapo mabingwa watapata nafasi ya kwenda White house kukutana na rais wa kwanza wa Marekani mwenye asili ya Afrika tena jirani na Tanzania Barack Obama.

Hasheem anasema yuko fit na tayari kwa mpambano huo na kundi la watanzania kibao wakiongozwa na mama yake mzazi kwenye mechi hiyo litakuwapo kumshangilia Hasheem na timu yake.

Hasheem amehojiwa na Sauti ya Amerika kuhusu mpambano huo.

Kwa habari zaidi bofya
pia usikose atiko ya hasheem kwenye USA Today kwa kubofya hapo chini
columnist/lopresti/2009-04-02-
tanzania-thabeet_N.htm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. PhatlorenzoApril 04, 2009

    Hasheem akicheza vizuri lets say na points 14 na rebound 10 (double double)na asiwe na fouls nyingi mwanzoni mwa game, UConn watashinda. Lakini akianza tu na fouls na kukaa kwenye benchi muda mrefu wa kipindi cha kwanza, basi hii game itaenda kwa Spartans ambao wanatarajiwa kuwa na washabiki wao wengi kutokea Lansing.
    Either way, my bracket is so screwed so I really don't care who wins but this is to say I will be watching # 34 hoping to see him playing the best game of his life vs. Michigan State and later against the Tar Heels in the championship game on Monday, otherwise if the UConn don't make it nitakuwa namshangilia siku akimshika mkono Kamishna David Stern wa NBA hapo mwezi June. All the best Thaabet!

    ReplyDelete
  2. kila la heri hasheem , tupo pamoja mtu wetu

    ReplyDelete
  3. mkuu wa wilaya ya nanihii kibaoni unatisha,gazeti la jana tarehe 3 la USATODAY kwenye habari za michezo walikua wanaongelea habari za hashimu,basi ndio ile kusoma nikaona mkuu wa wilaya bro michuzi nae alitoa maoni,nikaona ishakua sooo wilayani kashfa kibao,unamfunika mpaka mkuu wako wa inji,we mwana mwehu sana,hahaaaa

    ReplyDelete
  4. kuangalia live cheki:

    www.ncaa.com au www.espn.com

    game inaanza saa 4 usiku.


    big up hasheem beba vizuri bendera ya nyumbani!!!

    mdau hapo juu, I'm 3 for 4 on my bracket! just praying it goes all well.........

    ReplyDelete
  5. Mwaka huu tutashuhudia mengi kwani pumu imepata wakohozi

    ReplyDelete
  6. Huyu hapo juu naye vipi ? saa nne za usiku za wapi ?

    ReplyDelete
  7. na mie nitakuwa naangalia #34. Kila heri Uconn na bwana Thabeet.

    ReplyDelete
  8. THIS KID IS WAY TOO MUCH OVERRATED BY AMERICAN MEDIA. GOODLUCK IN YOUR FUTURE BROTHER. ONLY SKY IS THE LIMIT.

    ReplyDelete
  9. aaaaaaaaaargh!!! too bad tumefungwa ndio hivyo tena!!! big game from thabeet though..........

    ReplyDelete
  10. I have to agree with one of the earlier comments.
    I think he is a little overated,may be because of his height,not sure.
    He is above average,and he is getting the best of his height,may be if he could just be a little mobile on the court,not exactly like Richard Hamilton or Ray Allen,but enough not to wait for rebounds below the rim.
    Anyway,I'm happy to hear my country mentioned in US media without being attached to Kenya.
    And IMPORTANT SUGGESTION: don't get drafted for NBA yet,get done with your bachelor first!!
    Goodluck and all the best!!

    ReplyDelete
  11. Baba Ubaya(Chifu Ofu Difensi,Michuzi Blog)April 05, 2009

    Poleni UCONN/Hashimu.that's how the game is.sometimes you dont get things ur way.
    abt NBA,inabidi amalize 2 shule kwani NBA doesnt go anywhere.life besides Basketball inahitaji shule unless kama anaamini shule haina umuhimu zaidi in managing his future.
    i know most "VIHIYO" ball players keep getting rich bila shule lkn si lzm for everyone to follow the same path.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...